Nani asiyezijua hizo Apache!?Unazijua helcopta za apatche wewe?
Muulize pakistan ndo anajua utamu na machungu ya hizi helcopta hata alquaeda wanazijua. Kukubali au kukataa hizo sio shida zetu.
Kwahiyo unataka kunidanganya kuwa hizo ni stealth chopper haziwi detected!??
Basi huko ni mbali,yani kitendo cha kuingia ndani ya nchi nyingine halafu mnashusha watu na helikopta taratiiibuuu kabisa wanashuka mbaka wanamaliza wenyeji wamekaa tu!??
Tena mwenyeji mmoja wapo Iran!??
EMbu muulize Obama na Trump watakupa jibu.
Hiyo haijatosha wameenda askari 18 tu na wakarudi kama walivyo.
Weeeh huongei na watoto wadogo hapa sawa mzee!?