Vikosi maalum vya Israel vyavamia 'eneo la makombora' nchini Syria

La Ismail Haniyeh na hili ni tofauti.
Hii habari ina ukakasi.
Kwasababu huwezi ukaleta helikopta hadi ndani ya mipaka ya nchi nyingine na wao wasi react aisee.
Usichukulie watu viazi tunajielewa.
Hizo habari mimi nilijua fake ndo mana hata sikutaka kujibu utumbo wa hi mada. Israel analia huko anasema Yemen anataka kuwashambulia kwa kutumia ground force. Israel wanasema Al Houth wako Syria wanafanya mazoezi ya kutumia tunnels na vipi namna watakavyo vamia base za Israel. Wacha mwenye mada na wafuasi wa 1=3 wajifurahishe 😄
 
Kenge sana hawa,yani helikopta ishushe askari wa nchi nyingine taratiibuu halafu eti wawe 18 tu😂😂😅😅😅😅😅.
Na anayevamiwa ni Iran😅😂😂😂😂😂zingepigwa bomba hapo Israel wakataftana.
 
Tulishakubaliana kuwa IRAN ndo taifa lenye wayahudi wengi. Hivyo huwezi jua kuwa siku ya kuitekeleza operation upande wa WALINZI WA IRAN kulikuwa na moles wa kiyahudi. Unategemea nini sasa hapo.

Ipo siku kitamkuta KOMENI afu tutaulizana imekuwaje tena?????
 
Aisee usiongee kiwepesi hivyo.
Yani jambo kama hili unatoa point nyepesi namna hii!??
Halafu bora ungesema IDF walikuja kwa siri eti na helikopta inaunguruma.
Hivi hao askari wa Syria nao walilala au!?
 
Kwenye hiyo operation huko syria wameua zaidi ya magaidi 18. Na wengine wa Iran wametekwa
 
Hawa 1=3 hata kenge ni bora kuliko wao. Iran kamuwacha US ale hasara wee mwisho kamua kuondoa carries 😄 Afu Iran muhuni kweli anawambia kipigo kipo pale pale sijui watarudisha tena carries.
 
Bado hawajaamua kuwaokoa mateka lakini hasara ya mali na maisha iliyotokea baada ya tukio lile si umeiona, huenda hata hao Hamas wanajutia walichokifanya October 7.
 
Aisee usiongee kiwepesi hivyo.
Yani jambo kama hili unatoa point nyepesi namna hii!??
Halafu bora ungesema IDF walikuja kwa siri eti na helikopta inaunguruma.
Hivi hao askari wa Syria nao walilala au!?
Hata syria ni moja ya nchi yenye wayahudi wengi. Myahudi yupo vixuri kwenye intelijensia naamini hata wewe unakubaliana nae. Hupachika moles wengi kwenye jeshi pinzani au nchi adui zake
 
Hata syria ni moja ya nchi yenye wayahudi wengi. Myahudi yupo vixuri kwenye intelijensia naamini hata wewe unakubaliana nae. Hupachika moles wengi kwenye jeshi pinzani au nchi adui zake
Lete ushahidi wa Syria kuwa na wayahudi wengi kama Iran.
Maana Iran mayahudi wanafika laki nane.
 
Hata syria ni moja ya nchi yenye wayahudi wengi. Myahudi yupo vixuri kwenye intelijensia naamini hata wewe unakubaliana nae. Hupachika moles wengi kwenye jeshi pinzani au nchi adui zake
Lete ushahidi wa Syria kuwa na wayahudi wengi kama Iran.
Maana Iran mayahudi wanafika laki nane
 
Hueleweki nini unapinga.
Mimi sipingi chochote napokea taarifa kama zinavyotolewa na waliopo uwanja wa medani. Wewe kaza komwe eti waliwezaje kuja na helicopter wasionekana. Sasa hapo hujiulizi kuna uzembe kiwango cha SGR jeshi la IRAN na SYRIA na yumkini vikosi vya IRAN au SYRIA vina mamluki wengi wa IDF?;;?
 
Hueleweki nini unalenga.
Ila kiufupi Iran imekanusha hiyo taarifa ya Israel kuvamia.
Na kiuhalisia hata mimi nashawishika na kukanusha kwa Iran.
Kwasababu hilo eneo kuna millitant wengi hadi Hizbollah huwezi ukanishawishi mshuke na helikopta mkiwa 18 tu na mrudi kama mlivyo.
Brooo am an adult with my sanity.
 
Nakusubiri uje ukanushe unachikiamini muda sio mwingi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…