Vikosi vya Israel vyapata kiwewe kuingia Gaza huku vikosi vya Marekani Mashariki ya Kati vikianza kushambuliwa

Jee na safari hii askari wa Israel watamwambia kamanda wao kama vile mababu zao walivyomwambia Mussa a.s ?
Bado haujasema.
Ugaidi siyo mzuri, ona wapelestina na ugaidi wao. Makazi yao yamekuwa magofu.
Hili ni somo kwa magaidi wengine. Usivamie vamie na kuua watu ovyo
 
Hayo maneno ni mazuri wakayasikia serikali ya kiyahudi
 
Usichokijua ni kwamba siku baada ya siku makamanda wa Hamas mmoja baada ya mwingine wanawaishwa kuzimu kupata bikra 72 na airstrikes za Jeshi la Israel kwahiyo hakuna haraka ya kuingia Gaza.
Siku tatu baada ya shambulio la Hamas,tuliambiwa askari wa Israel 100+ hivi ndiyo wameuawa,lakini Sasa hivi tunaambiwa ni 300+,hawa wameuawa lini!?
 
Matangazo mengi kuhusu wanamgambo wa Hamas kinyume na uwezo wao inaonekana kumelitia hofu kubwa jeshi la Israel ambalo linaundwa zaidi na vijana wadogo.

Hayo yameonekana katika kurudiwa kwa ahadi na kuwatia moyo askari hao wakatishe mpaka kuingia Gaza.

Waziri wa ulinzi wa Israel Yoav Gallant hapo jana alipovitembelea vikosi vyake vilivyopiga kambi kweny seng'enge na mpaka wa Gaza aliwaambia askari hao kuwa wamekuwa wakiiona Gaza kutoka mbali kwa muda mrefu, muda mfupi ujao mtaiona Gaza kutokea ndani .Kauli hiyo imezidi kuwatia hofu vijana hao waliokuwa wakimsikiliza, ikidhihirika kwenye nyuso zao.

Israeli defense chief says troops will soon see Gaza 'from inside'

Kwa upande mwengine mchecheto kama huo umeonekana kutoka kwa raisi Biden wakati akihutubia taifa hapo jana siku moja tangu arudi kutoka Israel.Katika hotuba yake aliweza kuwafananisha wanamgambo hao wa Palestina na nchi kubwa ya Urusi pale aliposema kwa kulalamika kuwa Putin na Hamas wanataka kulifuta taifa lake na lile la Israel lakini hawatoweza.

Akawataka wananchi wa Marekani wazidi kuiunga mkono serikali yao.
Raisi Biden alisema anakusudia kupeleka ombi baraza la congress ili waongeze mafungu ya fedha kwa ajili ya vita vya Ukraine na Israel. Hata hivyo maamuzi ya kuzidisha misaada kwa Ukraine kabla vita vya Gaza yalikwishakataliwa. Muda huu pia mabunge ya Marekani yapo kwenye mzozo wa uongozi wa spika hivyo maamuzi magumu kama hayo yanaweza kuchukua muda zaidi kufikiwa.

Biden says he will not let Hamas and Putin win
Hayo yote yakitokea kuna ishara mbaya kwa vikosi vya Marekani vilivyopo mashariki ya kati.Hapo jana meli ya kivita ya Marekani ilifanikiwa kurudisha droni zilizorushwa kuishambulia kutokea upande wa Yemen.

US troops attacked in Middle East

View attachment 2786937
View attachment 2786938
wewe unarepoti kutoka Ghaza au uko wap kwasasa
 
Siku tatu baada ya shambulio la Hamas,tuliambiwa askari wa Israel 100+ hivi ndiyo wameuawa,lakini Sasa hivi tunaambiwa ni 300+,hawa wameuawa lini!?
Hata hao raia jumla na askari wanaofikia 1400 hakuna uhakika.Wanajifanya wana akili sana kudanganya ulimwengu kila siku.Ni kweli Hamas walipenya kwenye ngome zao lakini wanatia chumvi ili kufanikisha mpango waliokuwa nao tangu zamani.
Tukio mfano wa hili walikuwa wanasubiriri ili kufanikisha kuifuta Gaza.Japo wameshapewa baraka na US na UK bado inaonekana wamepata vipingamizi mpaka sasa.Waliwaza Misri ifungue mpaka waingie Sinai lakini Elsisi amewashtukia.
sasa wanatumia mbinu ya kuvuta muda ili kuuwa kwa mabomu,njaa na kiu.Hii mbinu nayo ina ishara ya kuwarudi wenyewe kwani watu muhimu kwa usalama wa Israel ambao ni Misri na Jordan wanafanya mashauriano kwa haraka kuona ni wafanye kuwaokoa wapalestina.Kwa upande wa dunia wanaonekana ni wauwaji zaidi kuliko kuonekana wanajitetea.
 
Mbinu hio haijatoa matokeo kijesh.hao wanaoitwa wanamgambo wenyewe inasemekana wapo kwenye mahandak wametulia na huja nje inapokuwa na ulazima tu. Nimetoka kusoma uchambuz wa genaral wa urusi anasema opereshen yao ukrain imewapa somo kubwa sana. Kinachosubiriwa ni urban warfare na ni vita ngumu sana hio uliza bhakmut ilikuwaje. Ndio mana leo kama umepitia mitandaon kuna habar hii
Brigadier General Tamir Hayman, head of the National Security Research Center and former head of the Military Intelligence Organization, told Channel 12 News:
If Hezbollah increases the tension in the north, it is better to delay defeating Hamas for a while so that we can defend ourselves against Hezbollah. Huyo ni kamanda wa isrel anatoa ushaur huo.shida innaanzia hapa,maana kama hezbola ataanza vitimb vyake inakua tabu sabab kila idf inapopambana na hizbola matokeo huwa ni majanga.magorofa yatabomolewa yote yataisha utapaswa ukafanye ground clearance, unaifanyaje? Lazima uingize ground troops,pale gaz sio mapor ni mji, urban warfare ni mbaya kupita maelezo sababu hujui adui kajificha wap anakusubir tu .
 
Wanatumia akili zao nyingi.Za Allah ndio mwisho wa akili.
 
Israel haingizi vikosi kwa sasa, anajua fika silaya ya total blockage inafanya kazi kubwa.
Hata mim ningekuwa commander ningesubiri kwa miezi miwili ndio niingize vikosi
 
Siku tatu baada ya shambulio la Hamas,tuliambiwa askari wa Israel 100+ hivi ndiyo wameuawa,lakini Sasa hivi tunaambiwa ni 300+,hawa wameuawa lini!?
Hoja Yako ilikuwa kwann mpaka sasa vikosi vya Israel havijaingia rasmi Gaza ndio nimekujibu lengo la kuingia Gaza ni kuangamiza Hamas na kwakuwa sasa hivi viongozi wa Hamas na wanamgambo wao wanaangamizwa kwa airstrike hivyo hakuna haraka ya kuingia huko, hilo la kwann idadi ya vifo inaongezeka ni issue nyingine haiusiani na mada nakushaur anzisha Uzi mwingine utajibiwa vizur.
 
Mbinu hio haijatoa matokeo kijesh.hao wanaoitwa wanamgambo wenyewe inasemekana wapo kwenye mahandak wametulia na huja nje inapokuwa na ulazima tu. Nimetoka kusoma uchambuz wa genaral wa urusi anasema opereshen yao ukrain imewapa somo kubwa sana. Kinachosubiriwa ni urban warfare na ni vita ngumu sana hio uliza bhakmut ilikuwaje. Ndio mana leo kama umepitia mitandaon kuna habar hii
Brigadier General Tamir Hayman, head of the National Security Research Center and former head of the Military Intelligence Organization, told Channel 12 News:
If Hezbollah increases the tension in the north, it is better to delay defeating Hamas for a while so that we can defend ourselves against Hezbollah. Huyo ni kamanda wa isrel anatoa ushaur huo.shida innaanzia hapa,maana kama hezbola ataanza vitimb vyake inakua tabu sabab kila idf inapopambana na hizbola matokeo huwa ni majanga.magorofa yatabomolewa yote yataisha utapaswa ukafanye ground clearance, unaifanyaje? Lazima uingize ground troops,pale gaz sio mapor ni mji, urban warfare ni mbaya kupita maelezo sababu hujui adui kajificha wap anakusubir tu .
Huyo ni mfuasi mwenzako wa munyaazi mungu sasa mbona unambishia?
 
wanapata kiwewe kwasababu ya hao mateka, isingekuwa hao mateka wanao uwezo hata kugeuza ardhi juu chini chini juu kuharibu hayo mahandaki walimojificha. wakileta za kuleta hamas wanaweza kuchinja hao mateka kwa kisu na kurusha picha kama walivyochinja na kuchoma moto watoto wakiwa hai kwenye operation yao ya juzi.
 
Picha za Hamas wakichinja watoto wa Israel hakuna.Zile za watoto wa kipalestina wanaokufa kwa mabomu kila siku wala si za kutafuta.
 
Back
Top Bottom