Kabisa, hicho kinachoitwa anti Talibani nikikundi kidogo ambacho hakifikiuwezo hata wa sungusungu wa d'salaam. Walifahamika kiasi enzi za kumueka madarakani Hamid Karzai na kwa sasa ndio wamebaki kama wafuasi wa Ashraf Ghani alieiba pesa za raia wake.Hiki ni kikundi kidogo sana cha kikabila la Tajik, sasahivi kinaungwa mkono na Ashraf Ghani rais kibaraka akiekimbia Afghani.
Talbani wako vizuri, kilichobaki na DIE HARD SUPPORTERS wa mabebebru.
Tokea Talibani walipotawala 1990 - 200s Kulikuwa na kikundi kidogo kama hicho kilichoitwa Orthern Allience ambacho baadae kikiungana na Marikani kuwaondowa Taaliban, awas wasaliti na vibaraka watakuwepo
Kwa sasa hivi afganistan inatawaliwa na Taliban. Hivyo wanaepingana na Taliban ni waasi. Sawa sawa na Zambia sasa hivi chama cha Raisi aliyeshindwa ni chama cha upinzani na ndiyo mwenzao na vyama vya upinzani vya Tanzania.Huko mbona hapaeleweki asee.?
Kuna kundi lingine la waasi tofauti na Taleban?
Changamoto ya Russia kubwa ni financial resources,uchumi wake umeporomoka sana-hana capacity kubwa ya kupambana na makundi tofauti tofauti kwenye nchi mbalimbali kwa wakati mmoja kama US.ISIS hawawezi kuwatoa hapo Taliban, Russia haitaki kusikia IS wapo hayo maeneo, lazima Taliban atakuwa backed up, hii ni kama 2018 Alice Wells Assistant Secretary wa US aliilaumu Russia kwa kuwapa back up Taliban dhidi ya IS kitendo kilichopelekea Taliban kuichallenge serikali iliyoko madarakani.
Russia ndio muamuzi hapo, kwa vyovyote vile ISIS hawawezi, kumbuka Russia na ISIS ni paka na panya...
Vita vinapigwa alafu unasema media? 🤣 🤣 🤣 Umenikumbusha waziri wa habari wa IRAQ kipindi walipovamiwa na US 🤣🤣🤣Taliban walishamaliza vita.....hizi mpya unazozisikia ni vita za kwenye media," 2001 ulikuwa na umri gani?
Mpira mashindano....Yaani serikali ndio imekuwa kama kikundi cha waasi yaaani 😂😂
Hawa akina "abuu marik' hawafai kabisaHii dini ngumu Sana , na kimsingi waislamu tunaishi nao kinafik tuu Ila washikaji Wana roho moja miyeyusho kichizi ..!! Huwa wanatamani wawe wao tuu sema ndo hvyo
Amahakika naona vijinga vya moto na wakubwa kuigawanyisha nchi kwa kadiri kil mmoja atakavyokuwa na Nguvu.Hiyo nchi haitakalika tena
Kwahiyo tusiwape Chadema Nchi?Mpira mashindano....
hata huku kwetu CDM akifanikiwa kushika dora CCM watakuwa magaidi
Financial Resources zipi?Changamoto ya Russia kubwa ni financial resources,uchumi wake umeporomoka sana-hana capacity kubwa ya kupambana na makundi tofauti tofauti kwenye nchi mbalimbali kwa wakati mmoja kama US.
Mkuu-Kuna uelewa wa mambo mengi sana unakosa,at least to be fair.Financial Resources zipi?
Mkuu Russia unaichukuliaje? yaani waruhusu kuhatarisha usalama wao kwa kisa uchumi umeporomoka?
Israel ina uchumi gani kpambana na maadui miaka yote hio?
Iran ina uchumi gani kufadhili vikundi pale middle east kwa silaha na mafunzo na wapo kwenye vikwazo zaidi ya miaka 40?
Russia ndio exporter mkubwa wa gas ulaya yote hio...
Kasome uelewe mkuu...
Acha kunichekesha mkuu.....
Utasubir sanaa vita imeisha na sasa ni amani na mahaba tu taliban wamelika gavana wa mini zaidi ya ishirini pamoja na ndugu yake ahmad shah Masood kwa namna ya kuunda serekeli mpyaVita vinapigwa alafu unasema media? 🤣 🤣 🤣 Umenikumbusha waziri wa habari wa IRAQ kipindi walipovamiwa na US 🤣🤣🤣
Israel na kupewa misaada linapokuja suala la usalama wao inaweza isichukue maneno ya ushauri toka US, mfano Israel ilipokwenda kupiga kinu kule Iraq wakati wa Reagan ilikuwa in 80's, Reagan aliandika 'I believe Armageddon is near',1-Israel ni recipient mkubwa wa financial aid and military assistance from US.
Rejea vita ya 2006 niliandika hapa Ni jinsi gani Hezbollah iliweza kushinda vita dhidi ya Israel? (2006)2.Tofautisha kufadhili na kupambana- Iran Quds frorce & their proxies kila siku wanatandikwa hapo syria na Israel military-Na hawajaweza fanya retaliation yoyote ambayo ni significant.
Hakuna nchi duniani inaweza kukimbia consequences za economic downturn, lakini tutarudi pale pale tu kwamba usalama kwanza... Central Asia, Russia ana ushawishi mkubwa mno Uzbekistan , Tajikistan , Kirghizistanna nchi zingine wanamkubali sana Russia, walimfurumusha US na hawataki hata kumsikia, walifunga na base zake hapo Asia ya kati... kwa ushawishi tu alionao Russia... IS haiwezi survive...3.Russia uchumi wake upo constrained na US & EU sanctions na uchumi wake kwa sehemu kubwa unategemea Mafuta na gesi ambayo hata US inauza-Na kwa miaka hii ya karibuni bei ya mafuta imekuwa ikiporomoka sana kwenye soko la dunia hvyo pia kuathiri uchumi wake.
Soma post yangu hii post no #994.Wapi Russia alifanikiwa kuwaondoa ISIS mwenyewe,where? Hapo Syria tu kuna majeshi ya US,Turkey,SDF,Iran,Russia,Syria and etc yanapambana kuwaondoa na bado hawajafanikiwa.
Russia hio vita ina maslahi makubwa sana kwake....5.Vita ya Syria imeigharibu Russia fedha nyingi that's why Russia anataka kufanyike mazungumzo ya kumaliza mzozo ili aweze kupunguza involvement yake.
Jamii zile kila mtu ni muasiHuko mbona hapaeleweki asee.?
Kuna kundi lingine la waasi tofauti na Taleban?
Hii dini ngumu Sana , na kimsingi waislamu tunaishi nao kinafik tuu Ila washikaji Wana roho moja miyeyusho kichizi ..!! Huwa wanatamani wawe wao tuu sema ndo hvyo
bro kasome tena hilo jimbo linaitwa PANJSHIR unambiawa hata warusi walipo vamia miaka ya 1970s hawakuwahi kuwa chini yao hao ndio future ya Afgnastan.Hiki ni kikundi kidogo sana cha kikabila la Tajik, sasahivi kinaungwa mkono na Ashraf Ghani rais kibaraka akiekimbia Afghani.
Talbani wako vizuri, kilichobaki na DIE HARD SUPPORTERS wa mabebebru.
Tokea Talibani walipotawala 1990 - 200s Kulikuwa na kikundi kidogo kama hicho kilichoitwa Orthern Allience ambacho baadae kikiungana na Marikani kuwaondowa Taaliban, awas wasaliti na vibaraka watakuwepo