Kodi za kujenga Chato lipeni nyinyi wa Chato.Yaani mkuu Ukitaka kuishi kama sultani kwenye awamu ya huyu Rais mwema mwenye Moyo wa huruma na upendo kwa RAIA wake
Tii sheria bila shuruti
Lipa kodi
LA sivyo utaumia sana maana mianya ya wapiga dili imeziba kabisa
Mpaka vizazi VyaoHaya matoto bwana
Yanajiongelesha ongelesha kama mavichaa
Eti "hawajasema wanachokilalamikia"....etc etc
Wacha wajifanye kutokuelewa,wataelewa vizuri
Na atokee kiazi mwingine aongee mbovu kuhusu USA tena,wataona new SEC of State atanyanyua ban to higher state ya "Kuvunja Haki za Binadamu"
Sasa hivi wameachwa kwenye "Kuvuruga Uchaguzi Mkuu".
Sasa watokee vibaraka wa serikali watoe matamko ya kipumbavu kuidharau USA waone next step!
Maana hii aliitoa Pompeo pale tu jiwe alipotoa maneno mabovu kwa US mbele ya balozi wa UK alipokua anafungua shule ya Ihungo....
Baada ya matamko yale tu,in an hour or so,Pompeo ka-launch ana arsenal,uzuri hajataja watu,bado list ni confidential
Siku kapumbavu kama sijui Ole Sabaya kanaenda kuomba visa popote,kanapigwa decline ndio mtajua whats up!
Na hii sio kwa hivi vijiongozi mavi mavi tu,hadi familia zao,any binadamu related to these monkeys!
Na uzuri wa Ban ya USA ni worldwide,sio eti kwenda USA pekee yake,mzee ni worldwide hata kwenda hapo Kenya....
Now you get the fvcking picture how dangerous this is!
Yupo wapi mwanasheria ALBERTO MSANDO aje awajibie hii makuzi ya kura nyinyi. Mnapoteza muda wa watu wakati majibu nnayo tayarYapo kwa Palamagamba ukiyaona unaweza kuzimia hadi wapinzani wamo!
Sasa aende China kufanya nini?Pompeo mwenyewe kawekewa vikwazo haruhusiwi kukanyaga China na Hongkong.
Kuna Majaji huwa wanatishiwa kwa kushikiwa bastola na mawakala wa TISS kabla ya maamuzi. Namuelewa vizuri Jaji Kaijage si mtu wa kupindisha, ila kulikuwa na nguvu ya kutishia maisha yake.Judge wetu wewe, maadili ya kazi yako unayajua vyema kabisa, je ulitenda haki sawa na maadili hayo? Mola ndie muamuzi wa haki na ndie atakuhukumu kwa haki sawa na matendo na kiapo chako!
Kwani chato ni kenya?Kodi za kujenga Chato lipeni nyinyi wa Chato.
NEC wanafanana na Kaini wa Bibilia , Mungu anamuuliza yu wapi nduguyo anasema mim si mlinzi wake. Zaburi 53: 1 Mpumbavu anasema moyoni mwake hakuna Mungu. Hivyo hutenda maovu, hukataa haki, hukataa mema kufikiri hakuna aliye mwema na moyoni mwake amemkataa Mungu n unataka sheriaHivi kweli wewe Jaji Kaijage ni mzima kweli?
Unawezaje kusema kuwa wale ambao hawakuridhika na matokeo wapeleke malalamiko yao kwenye vyombo vya sheria?
Hivi kwani wewe Jaji Kaijage, unadhani wale wagombea wa Urais, watapeleka wapi malalamiko yao, wakati nyinyi wenyewe mmeawafungia milango ili wasiweze kupeleka popote malalamiko yao?
Au ndio tuseme unajifanya umejisahaulisha, kwa kujifanya kuwa huijui ile sheria inayosema matokeo yakishatangazwa na Tume ya uchaguzi, hakuna mahakama yoyote hapa nchini itakayoruhusiwa kusikiliza Shauri hilo?
Mauti ni popote mkuuSasa imekuwaje mbunge wenu kafia India? Kwamba hizo hospital za bure watibiwe nguchiro kama wewe?
Mkuu ukweli utabaki pale paleOh'poor you comrade,Unaonekana make sure wajukuu zako hawawi kama wewe..Unaonekana michango yako hapa forum..it's not too late jitahidi ufike angalau Nairobi my friend..hao wageni wanaokuja hapo doesn't mean kwenye nchi zao kuna mahitaji wanakosa it might help you kuondokana na mawazo mgando.
Mahakama zipi hizo mpinzani atasikilizwa zimeshapuuzwa ukiona watu hawaendi mahakamani jitafakari Sana mahakama zenyewe zinasubiri maagizo Toka juu. Cdm walifungua kesi mahakamani za kupinga wagombea kuenguliwa mpaka Leo mahakama ipo kimya“Kulikuwa na accredited observers (waangalizi waliopewa vibali) na walitoa ripoti. Tuone walisemaje kwenye ripoti zao. Kama Marekani walikuwa na waangalizi ripoti yao itaonyesha."
Asante sana Jaji Semistocles Kaijage! mpaka leo hakuna hata kesi moja ya kupinga matokeo ya uchaguzi iliyopokelewa kwenye mahakama zetu. Huku mtaani kuna utani wa "kama uliibiwa kuwa una ushahidi....hapana ushaidi niliuchoma!"
Viongozi badilikeni , Nchi na Taasisi nyingi Duniani kwa sasa zinaongozwa kidigiatli, watu wana twit na ujumbe unafika. Mkisubiri taarifa rasmi wenzenu wana chanja mbuga, Wanafanya mamuzi . Trump ameongoza Marekani miaka 4 kwa twitter.“Hatujapata taarifa rasmi zaidi ya kuona katika mitandao na hatuwezi kufanyia kazi vitu vya mitandaoni. Wizara yetu ina utaratibu mzuri wa mawasiliano na Balozi na hatujaletewa taarifa rasmi,” alisema Buhohela.
Watajua wakienda Ubalozi wa Marekani kuomba visa.Majina ya waliowekewa vikwazo yako wapi?
Sidhani Kama una akili timamuNani anataka kwenda marekani?
Mabeberu wanatuonea wivu kwa sababu tupo Uchumi wa kati na RAIA WOTE wa Tanzania wanamaisha mazuri sana tofauti na zamani
Hiyo ni sawa na kumwekea kikwazo Rais Magufuli kutembelea Mwandiga!Pompeo mwenyewe kawekewa vikwazo haruhusiwi kukanyaga China na Hongkong.
Huko akafuate nini Corona. Kuna nchi duniani ukiwa na hela yako ukipigwa BAN Kichwa kinauma sio Huo cjui hong kong cjui China. Mpango mzima ni USA mkuu. Wew hapo ulipo uambiwe marufuku US na mpunga unao utajisikiaje.usipime mkuuPompeo mwenyewe kawekewa vikwazo haruhusiwi kukanyaga China na Hongkong.