Vikwazo vya Marekani: NEC yasema hatua za kisheria zifuatwe pale panapoonekana pana kasoro

Vikwazo vya Marekani: NEC yasema hatua za kisheria zifuatwe pale panapoonekana pana kasoro

Yaani mkuu Ukitaka kuishi kama sultani kwenye awamu ya huyu Rais mwema mwenye Moyo wa huruma na upendo kwa RAIA wake
Tii sheria bila shuruti
Lipa kodi
LA sivyo utaumia sana maana mianya ya wapiga dili imeziba kabisa
Kodi za kujenga Chato lipeni nyinyi wa Chato.
 
Haya matoto bwana

Yanajiongelesha ongelesha kama mavichaa

Eti "hawajasema wanachokilalamikia"....etc etc

Wacha wajifanye kutokuelewa,wataelewa vizuri

Na atokee kiazi mwingine aongee mbovu kuhusu USA tena,wataona new SEC of State atanyanyua ban to higher state ya "Kuvunja Haki za Binadamu"

Sasa hivi wameachwa kwenye "Kuvuruga Uchaguzi Mkuu".

Sasa watokee vibaraka wa serikali watoe matamko ya kipumbavu kuidharau USA waone next step!

Maana hii aliitoa Pompeo pale tu jiwe alipotoa maneno mabovu kwa US mbele ya balozi wa UK alipokua anafungua shule ya Ihungo....

Baada ya matamko yale tu,in an hour or so,Pompeo ka-launch ana arsenal,uzuri hajataja watu,bado list ni confidential

Siku kapumbavu kama sijui Ole Sabaya kanaenda kuomba visa popote,kanapigwa decline ndio mtajua whats up!

Na hii sio kwa hivi vijiongozi mavi mavi tu,hadi familia zao,any binadamu related to these monkeys!

Na uzuri wa Ban ya USA ni worldwide,sio eti kwenda USA pekee yake,mzee ni worldwide hata kwenda hapo Kenya....

Now you get the fvcking picture how dangerous this is!
Mpaka vizazi Vyao
 
Ukiangalia hizi comments za watu humu ndio utaona tofauti kati yetu waafrika na wazungu, ukiacha hayo mengine tusioweza kuyafanya ya kimaendeleo yani sisi hata kupambania kile tunachoona hakipo sawa napo hatuwezi mpaka hilo nalo mzungu atusaidie sie tunachoweza hapo ni kushabikia tu. Sie hakuna chochote cha maana tunachoweza kufanya duniani hii kazi ni kuangaika kudai demokrasia unaweza kusema ndio kila kitu hata hivyo pia mpaka watusaidie wazungu.
 
Kwa hiyo watalazimisha kupata viza? Wajaribu tuone jeuri kama wanayo
 
Judge wetu wewe, maadili ya kazi yako unayajua vyema kabisa, je ulitenda haki sawa na maadili hayo? Mola ndie muamuzi wa haki na ndie atakuhukumu kwa haki sawa na matendo na kiapo chako!
Kuna Majaji huwa wanatishiwa kwa kushikiwa bastola na mawakala wa TISS kabla ya maamuzi. Namuelewa vizuri Jaji Kaijage si mtu wa kupindisha, ila kulikuwa na nguvu ya kutishia maisha yake.
 
Hivi kweli wewe Jaji Kaijage ni mzima kweli?

Unawezaje kusema kuwa wale ambao hawakuridhika na matokeo wapeleke malalamiko yao kwenye vyombo vya sheria?

Hivi kwani wewe Jaji Kaijage, unadhani wale wagombea wa Urais, watapeleka wapi malalamiko yao, wakati nyinyi wenyewe mmeawafungia milango ili wasiweze kupeleka popote malalamiko yao?

Au ndio tuseme unajifanya umejisahaulisha, kwa kujifanya kuwa huijui ile sheria inayosema matokeo yakishatangazwa na Tume ya uchaguzi, hakuna mahakama yoyote hapa nchini itakayoruhusiwa kusikiliza Shauri hilo?
NEC wanafanana na Kaini wa Bibilia , Mungu anamuuliza yu wapi nduguyo anasema mim si mlinzi wake. Zaburi 53: 1 Mpumbavu anasema moyoni mwake hakuna Mungu. Hivyo hutenda maovu, hukataa haki, hukataa mema kufikiri hakuna aliye mwema na moyoni mwake amemkataa Mungu n unataka sheria
 
Oh'poor you comrade,Unaonekana make sure wajukuu zako hawawi kama wewe..Unaonekana michango yako hapa forum..it's not too late jitahidi ufike angalau Nairobi my friend..hao wageni wanaokuja hapo doesn't mean kwenye nchi zao kuna mahitaji wanakosa it might help you kuondokana na mawazo mgando.
Mkuu ukweli utabaki pale pale
Wapiga dili lazima muumie sana kwenye awamu hii maana mianya imeziba kabisa
Lakini Sisi wazalendo tunapeta tu
We are driving V8
Do you have any idea what is V8?
 
“Kulikuwa na accredited observers (waangalizi waliopewa vibali) na walitoa ripoti. Tuone walisemaje kwenye ripoti zao. Kama Marekani walikuwa na waangalizi ripoti yao itaonyesha."

Asante sana Jaji Semistocles Kaijage! mpaka leo hakuna hata kesi moja ya kupinga matokeo ya uchaguzi iliyopokelewa kwenye mahakama zetu. Huku mtaani kuna utani wa "kama uliibiwa kuwa una ushahidi....hapana ushaidi niliuchoma!"
Mahakama zipi hizo mpinzani atasikilizwa zimeshapuuzwa ukiona watu hawaendi mahakamani jitafakari Sana mahakama zenyewe zinasubiri maagizo Toka juu. Cdm walifungua kesi mahakamani za kupinga wagombea kuenguliwa mpaka Leo mahakama ipo kimya
 
“Hatujapata taarifa rasmi zaidi ya kuona katika mitandao na hatuwezi kufanyia kazi vitu vya mitandaoni. Wizara yetu ina utaratibu mzuri wa mawasiliano na Balozi na hatujaletewa taarifa rasmi,” alisema Buhohela.
Viongozi badilikeni , Nchi na Taasisi nyingi Duniani kwa sasa zinaongozwa kidigiatli, watu wana twit na ujumbe unafika. Mkisubiri taarifa rasmi wenzenu wana chanja mbuga, Wanafanya mamuzi . Trump ameongoza Marekani miaka 4 kwa twitter.
 
Pompeo asubiri kwenda kwa mparange??? habari yake haitushtui🤣🤣🤣
 
Nani anataka kwenda marekani?

Mabeberu wanatuonea wivu kwa sababu tupo Uchumi wa kati na RAIA WOTE wa Tanzania wanamaisha mazuri sana tofauti na zamani
Sidhani Kama una akili timamu
Uchumi wa mji wa Las Vegas ni mkubwa kuliko nchi zote za Afrika
Wewe unayejengewa matundu ya vyoo kwa hisani ya watu wa Marekani ndio
wa kuonewa wivu
Punguza ushamba
 
Pompeo mwenyewe kawekewa vikwazo haruhusiwi kukanyaga China na Hongkong.
Huko akafuate nini Corona. Kuna nchi duniani ukiwa na hela yako ukipigwa BAN Kichwa kinauma sio Huo cjui hong kong cjui China. Mpango mzima ni USA mkuu. Wew hapo ulipo uambiwe marufuku US na mpunga unao utajisikiaje.usipime mkuu
 
Back
Top Bottom