Vipi JPM hakutajwa?Yeye na Trump wake waliibana China RAISI MPYA KAJA kasema atarudisha uhusiano wa marekani ulioharibiwa na Pompeo na kamtaja kwa jina kabisa kuwa ndie mharibufu mkubwa aliyeharibu uhusiano wa Marekani na mataifa mengine.Kwenye hotuba kamtaja kwa jina
Uhusiano wa Tanzania na marekani ulikuwa mzuri mno ndio maana maraisi kibao wa marekani walifurika hapa lilivyoingia li Pompeo likaharibu kabisa kutwa kutuponda twitter safari hii kakutana na kidume Biden Kamtaja kabisa kama mtu aliyeharibu mahusiano ya marekani na nchi zingine
Mlamba makalio katika ubora wakeSina haja ya kwenda nchi za watu maana mimi nipo Kwangu Tanzania na napata mahitaji yote Bure
Shule bure
Huduma za afya bure
Ajira ya kumwaga
Maisha rahisi sana
Yaani Tanzania ya Magufuli neema tupu
Tatizo lipo kwa wapiga dili Yaani lazima waumie tu maana mianya imeziba kabisa
Ndio shida ya mafuasi ya Magufuli
Akili mavi matupu
Hivi wewe unadhani viongozi wa nchi serious wakiongea wanaongea blah blah,tishia nyau?
Hiyo umezoea kwenye linchi mavi kunuka huko la CCM!
Watu wapo serious na wanachokisema
Ukipigwa BAN na USA umepigwa ban nchi nzima,unabisha nini wewe maiti?
Ukipigwa na USA ban maana yake G20 yote hupeleki matako
Baada ya hapo vinakuja vinchi vidogo vyote vyenye kunuka mavi,vyote vinapewa directive,hii list ni banned,sasa wewe pitisha hao wasenge then uone what is next!
Yaani wewe unadhani hii dunia una-run wewe?Hu-run wewe maiti!
Hiyo ni travel ban,ukijifanya una matako makubwa unajibu mavi,wanakufata na financial ban.....hutakaa utume hela nje ya nchi kununua chochote,sio wewe tu,na uzao wako wote na makampuni yote yenye uhusiano na wewe TZ......
Hutaweza agiza gari Japan au kununua toothpick China,na hiyo sio wewe tu,wewe na ukoo wako wote na watu wako wa karibu suspected una-benefit from!
Panueni matako zaidi muone Biden atawafanya nini....mavi matupu nyie
Leo Joe Katengua ameanza kutengua upuuzi wote wa Trump. Mtasubiri sanaWakaombe viza majibu watayapata...nani yumo na nani hayumo.
Kwa kawaida hizo makatazo ya visa huambatana na vikwazo vya uchumi.Viongozi wote wakuu, Raisi, makamu, waziri mkuu, IGP, mkuu wa majeshi, mwenyekiti wa tume ya uchaguzi,na wote waliosimamia uchaguzi kwa kofia ya tume, Spika, naibu Spika, Hawa wote hawastahili kupata visa ya kwenda, USA, UK, canada, Wapewe na vikwazo vya kiuchumi.
Lazima wapiga dili mkasirike maana mianya imeziba kabisaMlamba makalio katika ubora wake
Jaji Kapaniki au siyo maana anajua Jina lake halikosekani hapo yeye, Mkewe na Watoto wake...na Wahaya wanavopenda Marekani huyu Lazima afe kwa Kihoro
Imeziba kwa wajanja janja ambao hawataki kufuata sheriaImezibwa kwa wasio na chapa pekee
Wazungu wanataka kututawala Ndio maana inawaima kusikia tupo Uchumi wa katiSidhani Kama una akili timamu
Uchumi wa mji wa Las Vegas ni mkubwa kuliko nchi zote za Afrika
Wewe unayejengewa matundu ya vyoo kwa hisani ya watu wa Marekani ndio
wa kuonewa wivu
Punguza ushamba
Alikuwepo Sokoine na amepita Kama upepo na maisha yanaendelea. Siti ya daladala hainaga mwenyewe ukifika kituo chako utashuka tuImeziba kwa wajanja janja ambao hawataki kufuata sheria
Watu waliokuzidi miaka 300 mbele wakoonee wivu ambae bado unategemea msaada wa kujengewa choo miaka 60 ya Uhuru watu wako wanakufa kwa kukosa 500 ya PanadolWazungu wanataka kututawala Ndio maana inawaima kusikia tupo Uchumi wa kati
Wakiona midege hewani wanajisikia vibaya
Na kwa sasa jinsi maisha yalivyokua bora kwa kila mtanzania lazima waumie
Yaani kuanzia Wafanyabiashara. Wafanyakazi hata Wakulima maisha ni bam bam
Shule bure kuanzia msingi mpaka secondary
Huduma za afya bure
Zahanati kila kona
Yaani Tanzania ya Magufuli neema tupu
Wewe haujui kama mimi tu, tuliza kipago.Kwani wewe wakati uchaguzi unachakachuliwa hukuwepo Tanzania? Basi kama ndivyo, hayo majina hayakuhusu.
Hapo nimekusoma mkuu,nilidhani watayaweka majina hadharani kama walivyofanya kwa Makonda.Watajua wakienda Ubalozi wa Marekani kuomba visa.
Ben Saanane = Ken sarowiwaUtanyooka tu awamu hii. Uchaguzi umeshindwa sasa mmebaki kubwabwaja tu!
Tukuulize wewe.Vipi amepatikana?