Vikwazo vya Marekani: NEC yasema hatua za kisheria zifuatwe pale panapoonekana pana kasoro

Hapo nimekusoma mkuu,nilidhani watayaweka majina hadharani kama walivyofanya kwa Makonda.
Mimi huwa nacheka sana Wamarekani wanavyoona kuwanyima visa viongozi wa Tanzania ni kuwawekea vikwazo, wakati Magufuli mwenyewe ndiyo kwanza anaona wanamsaidia kazi ya kuzuia wafanyakazi wa serikali kusafiri nje.
 
Mkuu umeandika KWA hasira Sana,punguza hasira mkuu, japo Kuna Jambo nimeelewa kupitia andiko lako
 
Mkuu ulichokiandika ni kweli? Ban ya USA ni dunia nzima!!
 
Atakuwa amewekewa vikwazo mbowe maana mpaka Sasa hawajui wanamuwekea Nani hivyo vikwazo.
Kama ni IGP sidhani Kama alishaenda huko kuspend Sasa anayependa kwenda huko ni mbowe na nyarandu kwa wanasiasa.
Mkuu si busara kujitoa ufahamu.
Kwani Mbowe kavuruga uchaguzi upi?

Nijuavyo upinzani na wapiga kura wamevurugiwa uchaguzi na mamlaka zote za maCCM.

Tamko linawalenga wao na huyo IGP ana mradi unaofadhiliwa na wamarekani, sasa asahau.
 
Huyu jaji ni hovyo kuwahi kutokea, anakera sana.
 
Waweke list ya wahusika bas, safi sana na waendelee kuweka vikwazo hadi kwenye Uchumi.
 
Mkuu si busara kujitoa ufahamu.
Kwani Mbowe kavuruga uchaguzi upi?
Nijuavyo upinzani na wapiga kura wamevurugiwa uchaguzi na mamlaka zote za maCCM.
Tamko linawalenga wao na huyo IGP ana mradi unaofadhiliwa na wamarekani, sasa asahau.
Mnahangaika saana, dua zenu kila mara zinagonga mwamba sasa sijui mtashika wapi?
 
Sasa China kuna jambo gani? Umeshawahi kusikia mtu analilia viza ya China?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwenda kula vyura, wachina wenyewe wanakimbia kwao, wanejazana ubungo pale kibao lol.
 

Wafuate sheria ipi wakati wanafungwa kwa kutoa mawazo yao! Mahakama imewekwa mfukoni na CCM hakuna pakwenda na wananchi wwngi ni madogo wenye umri wa miaka 25 na kushuka na wengi hata hawajui dunia inavyoenda
 
Kina Jaji Kaijage na Mahera waende Yuropu na Asia ila Marekani wasahau au kama vipi Chato ipo!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] utamuua muhaya wa watu, na wanavopenda Washington DC? Lol
 
Umeamua kurahisisha zoezi la kuwataja mkuu?
 
Mimi huwa nacheka sana Wamarekani wanavyoona kuwanyima visa viongozi wa Tanzania ni kuwawekea vikwazo, wakati Jiwe mwenyewe ndiyo kwanza anaona wanamsaidia kazi ya kuzuia wafanyakazi wa serikali kusafiri nje.
Sasa tatzo wafanyakazi hao wa Magufuli wanapenda kwenda nje.
Upo hapo?
 
Bado mnaota matokeo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…