Vikwazo vya Marekani: NEC yasema hatua za kisheria zifuatwe pale panapoonekana pana kasoro

Mnahangaika saana, dua zenu kila mara zinagonga mwamba sasa sijui mtashika wapi?
Kushika mnashika nyinyi hadi mnashika usaha.
Hoja iliyopo ndiyo hiyo viza mtazisikia tu, na vipesa mlivyoweka popite ughaibuni vimeshapigwa pini.
 
Kwa sheria zipi za kimataifa zinaweza kumzuia Rais wa Tanzania asiende USA,UK au CANADA kama akitaka kwenda?
 
Watu waliokuzidi miaka 300 mbele wakoonee wivu ambae bado unategemea msaada wa kujengewa choo miaka 60 ya Uhuru watu wako wanakufa kwa kukosa 500 ya Panadol
Mkuu wewe huwajui vizuri mabeberu
Nchi hii ni tajiri sana kwa sasa
Huduma za afya na masomo bure kabisa
 
Alikuwepo sokoine na amepita Kama upepo na maisha yanaendelea.Siti ya daladala hainaga mwenyewe ukifika kituo chako utashuka tu
Ndio maana Watanzania 84% tuliempigia kura JPM tunataka aendelee kutawala na katiba ibadilishwe.. La sivyo tutaandamana nchi nzima
Hatuwezi kukubali kukosa Rais kama Magufuli
 
Ndio maana Watanzania 84% tuliempigia kura JPM tunataka aendelee kutawala na katiba ibadilishwe.. La sivyo tutaandamana nchi nzima
Hatuwezi kukubali kukosa Rais kama Magufuli
Sema wwe na wapiga dili wanufaika wa awamu hii
 
Sema wwe na wapiga dili wanufaika wa awamu hii
Mkuu awamu hii hakuna wapiga dili tumebaki wafanyakazi.

Wafanyabiashara na Wakulima tunapeta sana

Wajanja janja wapo hoi wanaumia
Ukitaka kufaidi awamu hii ya Rais mwema mwenye Moyo wa huruma na upendo kwa RAIA wake

Tii sheria bila shuruti
Lipa kodi

Vinginevyo utaumia sana maana mianya ya wapiga dili imeziba kabisa
 
Mkuu watanzani wote kwa ujumla tunafaidi sana utawala huu wa Rais mwema mwenye Moyo wa huruma na upendo kwa RAIA wake
Tatizo lipo kwa wapiga dili Yaani lazima waumie tu maana mianya imeziba kabisa
Na wazembe wa kaz pia wanaopiga kelele et maisha magum saiz sjui zaman walimilik billions๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚+ degree holders wanaosubir ajira huku wameshika mitaji ( pc + smartphone za gharama)
 
Type ya wale wanaosema kuzaliwa Africa Bora kuzaliwa mbwa ulaya๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚, kaish huko mbn watz wengi wanaish tuu nje ? Hujazuiliwa๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Awamu hii imewagusa wachache walio na chapa lkn wengi wapo kikaangoni.
Wwe Kama ni kula kulala kwa shemeji aliyepita bila kupingwa huwezi ona Hali halisi,lkn wengi umlilia Mungu atende miujiza. Hawa wafanyakazi wanaokomolewa kwa kunyimwa nyongeza Hali maisha upanda, wafanyabiashara wanafunga biashara zao but yote ni mapito yatapita Kama upepo hakuna aliyewahi kimbiza upepo akashinda
 
Mkuu mimi ni mkulima wa mboga mboga na mahindi ya kuchoma pembezoni mwa mto Ruvu
Mbona naona maisha Ndio yamekua bora??
Watoto wameenda shule bila kuulizwa hata senti
Je kabla ingewezekana?
Mkuu piga kazi Utafaidi Vinginevyo utalaumu bure
 
Hizo mboga mboga unamuuzia nani Hali watu wamepunguza milo sababu ya namba,walengwa ni matajiri wanaoumia ni wanyonge.Huku kigogo mboga zinakomaa shambani Hakuna walaji
 
Hizo mboga mboga unamuuzia nani Hali watu wamepunguza milo sababu ya namba,walengwa ni matajiri wanaoumia ni wanyonge.Huku kigogo mboga zinakomaa shambani Hakuna walaji
Tangu zamani kulikua kuna maskini
Huku kwetu kuna magari yanakuja kila siku kuchukua karoti. Bamia. Pili pili hoho. nk
Wewe kaa hapo mjini subiri kupiga dili upate kitu
 
Jibu/swali kwa nec: Je, Tanzania bado tuna utawala wa sheria?
 
Waweke list ya wahusika bas, safi sana na waendelee kuweka vikwazo hadi kwenye Uchumi.
List ni ndefu sana, hadi Nape Nnauye yumo...

Tume yote ya Uchaguzi

Simon Sirro

Humphrey Polepole

Bashiru Ali

Kalamaganda Kabudi

List ni ndefu mno, wanajuana wenyewe Ubalozi wa Marekani wanauona kama Jehanamu
 
Safi sana wakome tyuuh hawa miungu watu, na wezi wa kura na majambazi ya demokrasia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ