Vile ninavyohisi kuhusu member Mshana Jr

NB:MSIMSUMBUE NDUGU YETU PM MKADHANI ANAZO AJIRA.[emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanasema eti nipake super black, nawaambia haiji kutokea. Mabadiliko lazima uyakubali, shida ni pale zitakapoanza kuota huko unyamwezini😅😅😅
Wacha ziote tu,natumai utawaonyesha wazee wenzio kisanga ni kuanza kuziexpose Kwa watoto wadogo,watashangaa sana🤣🤣🤣achana nayo supa black
 
Kuna watu mnawajadili hapa ila mngeyajua maisha yao ya uhalisia mngeumbuka mno kwani kamwe hawana ukubwa huo, umaarufu huo au hata utajiri huo ila basi tu.
 
Kwenye ukatili hapo hapana...huyu jamaa Mshana Jr japo simfahamu ila Mimi nadhani atakuwa na huruma na upendo...muandiko wake unasadifu japo muda mwingine Huwa anaandika kama anatufokea🤣🤣🤣
 
[emoji23][emoji23][emoji23] usilojua litakusumbua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…