Vilevyi gani havitoi harufu kinywani baada ya kunywa

Aisee kaka mimi ni mpenzi sana wa The Castle lager toka nijue bia nayo ina harufu ukinywa nyingi but ukinywa 1-5 harufu hutosikia.Ila Dry Savanna ni habari nyingine unaweza ukanywa kumi na ukaenda kufanya usaili na mtu hasikusome kabisa!Kunywa savanna unapokuwa na mkutano na watu wa muhimu harufu sahau
 
Heineken na Windhoek ndo pombe zisizokuwa na harufu sana!
 
Ukishapombeka safisha kinywa ma usafishe ulimi vizuri
 
Ndizi noma ukiwa umekunywa, inapeleka mapigo ya moyo mbio.

Pombe zisizo na harufu ni whiskey zinazozalishwa ulaya uko like Teachers, hii haiachi harufu kabsa, unaweza ukanywa harafu ukaenda mtafuna mtoto wa kirokole bila ya kukufaham kama umepombeka
 
Pata Smirnoff Black ice.

Ila mdogo mdogo... Ni tamu so unaweza kufakamia mwisho wa siku ukaita maji - 'mma'
hhaha naiheshimu sana hii kitu !sema tamuuu !sasa wewe gonga had 7 uone habari yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…