bioto
JF-Expert Member
- Oct 1, 2017
- 1,261
- 2,097
ila ukicheua mtaa mzima unanukaMbege
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ila ukicheua mtaa mzima unanukaMbege
Aisee kaka mimi ni mpenzi sana wa The Castle lager toka nijue bia nayo ina harufu ukinywa nyingi but ukinywa 1-5 harufu hutosikia.Ila Dry Savanna ni habari nyingine unaweza ukanywa kumi na ukaenda kufanya usaili na mtu hasikusome kabisa!Kunywa savanna unapokuwa na mkutano na watu wa muhimu harufu sahauKwema wakuu
Napenda kunywa bia Ila sasa zinanipa tabu baada ya kunywa kuna harufu inabaki mdomoni na kila nikiongea na mtu ananiuliza vipi Leo umekunywa pombe..
Nikaamia kwenye nyagi nako ni vile vile mtu akiwa karibu yako harufu yote anaipata ya nyagi
Nikaona isiwe ishu ngoja niweke kambi kwenye dompo huko ndo hapafai kabisa harufu inatema sana..
Niko katika jamii ambayo hawatumii vilevyi vya aina yoyote ile hivyo nataka nisiwe tabu kwa watu wengine
Naomba kujuzwa ni kilevi gani naweza kutumia bila harufu yake kubaki kinywani...
Nawasilisha kwenu wakuu wenu mtiifu katika ujenzi wa viwanda
Kweli.....mtu unabugia mipombe kama kiwanda kinafungwa keshoHarufu inatokana na kuvuka kipimo.. Ukinywa kidogo huwezi kutoa harufu.... Jaribu na Valuer Brandy...
Zimekatazwa, karibu kugoogle ucheki msala wakeSt Anne
Kinywaji Safi sana.Pata Smirnoff Black ice.
Ila mdogo mdogo... Ni tamu so unaweza kufakamia mwisho wa siku ukaita maji - 'mma'
KabisaMagic moments hata unywe 10 mtu hawezi kukusanukia
hhaha naiheshimu sana hii kitu !sema tamuuu !sasa wewe gonga had 7 uone habari yakePata Smirnoff Black ice.
Ila mdogo mdogo... Ni tamu so unaweza kufakamia mwisho wa siku ukaita maji - 'mma'
Magic moments hata unywe 10 mtu hawezi kukusanukia
[emoji109] [emoji109] [emoji109]Pata Smirnoff Black ice.
Ila mdogo mdogo... Ni tamu so unaweza kufakamia mwisho wa siku ukaita maji - 'mma'
Huku kwetu haipatikaniTena ya Kibosho!
Hiyo inatema vibaya mnooooMmhh valuer ambayo unaipumua mpaka siku ya pili baada ya kuinywaa