Arsenal Gunner
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 10,891
- 17,718
Code ngumu sanaWatawala watalia Kwa uchungu sana kuanzia kesho na kuendelea mnamuona kama chizi au anamkwara ila kuanzia kesho watawala mtaumia sana
Kula mtori nyama zipo chiniCode ngumu sana
Kula mtori nyama zipo chiniMsalaba mwekundu wanasemaje?
KabisaWaache usiwastue
Hatari ni humu tuNasikia mipango ni mikali zaidi jamaa kameza code ya msalaba mwekundu nao wamo
Kula mtori nyama utazikuta chini nyingi sanaTunataka vitendo tushachoka maneno
Kula mtori nyama utazikuta chiniMnaonesha shibe kwenye keyboard
Ngoja tutulie kimya mkuu tuchukue Darubini na kuzoom tuHatari ni humu tu
Haya tunasubiriKula mtori nyama utazikuta chini nyingi sana
Tunataka vitendo tushachoka maneno
Kaka yake Pole pole anataka kukinukishaCode ngumu sana
Naunga mkono hojaTunataka vitendo tushachoka maneno