Do not underestimate any one , ndo maana katika mataifa yalioendea kwao wasiwasi kwa jambo lolote ni akili , kila aina chagizo la hatari lazima fanyiwa kazi , hapa kwetu 29oct si yalianza kwa mazarau ya hivi ,wahuni by saa mbili elekea by saa tatu wakaanza jitapa kwamba kipo wapi , vipi walirudi tena kuzungumza?
Leo anatokea mmoja mmoja kama nguchiro , uyu bwana kaongea sana , na ukiangalia maongezi yake yamejaa ushauri,mzuri na mkubwa tu, kabla ya kujitokeza mlikua mnamjua ?
Sasa elewa hili Taifa lina watu , so asichukuliwe kama kilaza , huyu bwana huongea kwa umakini sana bila jaziba na ikumbukwe anamtafuta ndugu yake , katika kipindi kama ichi ni wachache tu wanaweza mwelewa.
Ikumbukwe alikuja Tesha ila leo hazungumzi je tunajua walio mbele ya hawa kwamba wenda wapo na gamba Gumu kuliko hawa wanaoongea?
Mwaka flani ccm walimchukia sana Mbowe , nashangaa amekua rafiki yao , ila kipindi kile nilitadhalisha kwamba ccm mnamchukia Mbowe ila kwa namna Chadema mfumo wao umeundwa wanaweza kuja patikana viongonzi ambao mtamkumbuka ,Mbowe, lakini pia inaweza kuja patikana viongozi kwa namna chadema imewekeza katika watu kuliko lissu na Heche, by that time hakutakua na ccm tena.
Bahati ya ccm ambayo mlipata ni viongozi waliojawa na maona ambao kwa sasa mnawasulubu kupitia vyombo vya ulinzi , ila mgejua na kupima / kusikiliza hoja zao leo tusingekua hapa ,matokeo yenu mkaanza sikilia maoni ya wazee waliokufa kiroho na mwili, mfano WASIRA , huyu si ndo alikua anasisitiza uchaguzi lazima , OK wamekufa wajukuu zake kibao kwa nini naye asiombe achukuriwe haraka sana ,yupo na faida gani kwa sasa katika nchi , anafikiri amebaki na miaka mingapi ya kubaki duniani , apende asipende kwa umri alionao atakufa tu ,na laana itatafuna kizazi chake chote asema Bwana