Blender
JF-Expert Member
- Mar 5, 2022
- 6,895
- 11,025
....Wapi hapo!!? location please nianzze kukwepa viazi vikirushwa!
....Wapi hapo!!? location please nianzze kukwepa viazi vikirushwa!
Ngoja tuone mkuuHana huo ubavu,anayetaka kukudhuru huwa hasemi!
Siku zote Niko hapaUkitoka hapo unaenda kujipooza kwa dada zako wahaya
Mkuu,Watawala watalia Kwa uchungu sana kuanzia kesho na kuendelea mnamuona kama chizi au anamkwara ila kuanzia kesho watawala mtaumia sana jiandaeni zamu yenu ya maumivu imefika endeleeni kumuona chizi
Hahaha Nitafutie chumba na mimi hapo mkuuSiku zote Niko hapa
Wewe tu vipo mpaka 20 kule spenkoHahaha Nitafutie chumba na mimi hapo mkuu
Pamoja simu zitaitaWewe tu vipo mpaka 20 kule spenko
Mkuu nenda apo tandale kwa chaga dume panda juu kule upate pepsi ya baridiiii...Jaji Mfawidhi mkuu upo wapi sikuoni mwenzio nateseka huku mbingu Morogoro kuna joto kali na vumbi 😢😢😢
Mmh nime connect dot na clip ya nsnge aiseeHatari ni humu tu
Picha halisi ss nimeanza kuipataHaya tunasubiri
Watawala watalia Kwa uchungu sana kuanzia kesho na kuendelea mnamuona kama chizi au anamkwara ila kuanzia kesho watawala mtaumia sana jiandaeni zamu yenu ya maumivu imefika endeleeni kumuona chizi
Hakuna mahali ameongelea red crossKanali Augustine pole pole!na mikwara yake Kwa viongozi!!
Hao red cross labda ni deep state!!