baz kaiza
JF-Expert Member
- Jan 27, 2015
- 14,971
- 18,641
Wewe wasi wasi wa nini?Hawa redikulosi ndo akina nani? Naona kama janjawid hiv inajiunda
Wewe wasi wasi wa nini?Hawa redikulosi ndo akina nani? Naona kama janjawid hiv inajiunda
Mlikuwa na dogo Mjusi Sharobalo ?Mimi nimeshiba wali wa 700 hapa Buguruni Kwa mama Amina na maji ya chumvi nimeshushia Niko nyuma ya keyboard ⌨️ natype type
Kuzidi yake?Una roho mbaya wewe
Unaumwa wewe baba mwajuma ndala ndefu unanihalibia cv jamvini.Mlikuwa na dogo Mjusi Sharobalo ?
Nichague upande mkuu.Wewe wasi wasi wa nini?