PostGE2025 Vilio vitaanza vya watawala muda sio mrefu kuanzia kesho

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Guys guys guys....magari ya serikali 700 yamechomwa, miundombinu imeharibiwa, watu wanataka tu kuwagombanisha na polisi wetu ku.mamamaeee wallah mwigulu unatakiwa sku ile unafanya press urushiwe bomu tu.
 
Watawala watalia Kwa uchungu sana kuanzia kesho na kuendelea mnamuona kama chizi au anamkwara ila kuanzia kesho watawala mtaumia sana jiandaeni zamu yenu ya maumivu imefika endeleeni kumuona chizi
Mkuu,
Em tutoe tongotongo bhasi, ni nini kinaenda kuwasibu kesho hao miungu watu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…