Vimbwanga na Visa vya mahusiano ya JF

Vimbwanga na Visa vya mahusiano ya JF

Sasa mkuu mtandaoni huku unaogopa za uso je mtaani kwako si unawakimbia kabisa, hebu jikaze mpe ya moyoni mwanaume inatakiwa uwe na ujasili.
kalock pm
mtaani si hela yako tu wakwetu
 
Acha kabisa wifi kama wifi yule kivuruge angevuruga familia hafai
Niling'amua mapema saana hilo, nikaona huyu nyama huyu, atasumbua mtima wangu nami sijaumbwa nije kupata tabu kisa mapenzi.. [emoji57] Nikapiga kidochi cha juma nature.. (sio necha we isome, na tu re) [emoji23]
 
Yule maka hapana nikikumbuka ile siku sitasahau halafu usiku ghafla tu anapayuka
 
Back
Top Bottom