matokeo yalipotoka ulifaulu au uliscore zeroKatika vyumba vya mtihani kuna wakati huwa yanatokea mambo ambayo yanaweza kukuacha mdomo wazi. Moja ya matukio ambayo huwa nayakumbuka ni:
1. Tulikuwa katika mtihani wa taifa wa kidato cha pili sasa kuna dada mmoja hivi ambaye pia alikuwa ni sista duu hatari, sasa baada ya kufanya mtihani bwama akalala zake kumbe akajisahau akaachia kitu cha mbuuuuuu.....watu tukacheka, na yeye akastuka akiwa anaona aibu kinoma. Msimamizi akaja kutuuliza tunacheka nini watu tukawa kama hatusikii vile, tunajifanya tuko busy na pepa. Tulipotoka ikawa ndo story kwa kila mtu. Usista duu uliisha kwa muda.
2. Kuna siku na mimi yalikuta, nilifanya mtihani nilipomaliza nikawa nasubiri muda wa kumaliza pepa ufike nikaamua kujiegesha juu ya dawati nikalala, bwana weee kuja kuamka naona karatasi ya majibu imelowa na udenda, wakati wa kukusanya mwalimu alipoiona karatasi yangu ya majibu imeloa alikataa kuichukua eti hadi ikauke na matusi juu. Tulipotoka kwenye chumba cha mtihani nilipata tabu sana aiseeee....
MIE NILIKUWA NA KOPI MASWALI KATIKA question paper NAHAMISHIA KATIKA booklet.. mpaka muda unafika..
alaf MTIHANI wa MATHEMATICS unalala USINGIZI HAUJI.. unakuwa BORED.. alaf masaa ma 3.. unachoka.. unaanza kuhesabu mabati... ukichoka unalalia desk kama MBWA KOKO.. yaan hatari
Salute sana mliosoma PCB.Upo kwenye mtihan unakuta mwana anatumia vifaa vyote vya mkebe hafu wewe kapuku hahahaha ... Another booklet please akat wewe ndo kwanza page tatu unahangaika wapi ukondens hata kanyimbo ili umeonekana umeandika sana nyie jaman shule ... Shule achen iitwe shule .. Nawasalimu ndugu zangu pcb popote mlipo ... Phosphoenol pyruvate halet tena pyruvate now days wala atp .. Naye vyuma vimekaza .......
Hahaha negative feedback inageuka positive .. Hypothalamus ina sense tofaut hapo ndipo utajua umuhimu wa maltase mwilinSalute sana mliosoma PCB.
Sitaisahau aisee, nilikiwa najikuta jotoridi ni nyuzi 100Β°C lakini siku hiyo ilikiwa baridi na mvua ilikuwa inanyesha kidogo
Hahahahahaaaa.Hahaha negative feedback inageuka positive .. Hypothalamus ina sense tofaut hapo ndipo utajua umuhimu wa maltase mwilin
Glycolysis hii mkuu kitambo sana RESPIRATION [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahaha negative feedback inageuka positive .. Hypothalamus ina sense tofaut hapo ndipo utajua umuhimu wa maltase mwilin
Niliwahi kukutwa na hii hali yaaniHahahahaa nshawahi kuipata hii hali, nilikua sioni kitu yani empty, nilitamani kupizi
C3 mkuu rahis sana in short ile ni reverse ya glycolysis ... Starting from 3 phosphoglycerate aldehyde .. To 1 -3 phosphoglycerate aldehyde then utaireduce kwenda kwenye glyeceral aldehyde 3 phosphate kwa kutumia nadph2 kuna some of them itarud kutengeneza rubp ... Haf nmesahau mwanzo ni five carbon sugar plus carbon dioxide under rubisco enzymeHahahahahaaaa.
Kuna vitu vya ajabu sana vilikiwa vinagoma kukaa kichwa, kama zile C3 na C4 pathway[emoji119] [emoji119] [emoji119]
Hii nouma sana Mkuu.....tukiwa chumba cha mtihani CBE enzi hizo ukiona math ngumu unamtengenezea jamaa wa DIT kitambulisho chenye jina lako anenda kupiga paper fresh
sasa masnitch hawakosekani kumbe wakawatonya viongozi siku ya paper tunashangaa wasimamizi wanaingia na polisi venue after venue walipofika venue letu lilikuwa ni T4 bonge la hall wanakuja na mashine kama ya supermarket ile wanamulika kwenye kitambulisho kama kimetengenezwa CBE inapiga beep kama umetengeza nje hailii unapigwa pingu
nakumbuka kuna jamaa wa DIT alitoka mbio akampiga push HOD mmama alivyodondoka akamanyang'anya ile karatasi tuliyosign IN akakikimbia nayo alikimbizwa na polisi akaruka ukuta akadondokea makaburi ya upanga akatokomea ππππ
niko hivyo pia mkuuYawezekana mm ndio mtu pekee duniani nisiyependa kuangalizia wala kuuliza jibu mtu. Natumiaga akili yangu tu
Hahahaah, naona dishi bado liko njema mkuu.C3 mkuu rahis sana in short ile ni reverse ya glycolysis ... Starting from 3 phosphoglycerate aldehyde .. To 1 -3 phosphoglycerate aldehyde then utaireduce kwenda kwenye glyeceral aldehyde 3 phosphate kwa kutumia nadph2 kuna some of them itarud kutengeneza rubp ... Haf nmesahau mwanzo ni five carbon sugar plus carbon dioxide under rubisco enzyme
Hiyo c4 two cells mesophyl and nini sijui ile pep a 3c sugar ina plus na co2 anda pep decarboxylase ...
Aah nishachoka mkuu ... Ila ... Hadi leo pep decarboxylase yenyewe sijaiona mpaka leo
Ila reaction itaenda mpaka bundle sheath cells ... Na c3 itaendelea asante kwa kusoma mkuu
Example of positive feedback which amplify homological actions is ... Oxtoxcin when mother gives a birth by kuta za ... Nani kutanuka na uchungu .... Mambo ya kina zeroth law ahahaha dahHomeostatic control hyo. negative feedback control system responds when conditions change from the ideal or set point and returns conditions to this set point.
Biology ya advanced level tamu sana aisee
Hayatakuja kuvepa ... Kuna watu wanaonaga watu vilaza sana humu ndan [emoji23] [emoji23] sijui kwa nini ila jf ni kisiwa cha giza usikute mwifa ni jamaa anayekula dada yanguHahahaah, naona dishi bado liko njema mkuu.
Mimi yashavepa kitambo tu japo nilifaulu.
Kwa sasa nimewahi kusoma Anatomy pia, ila ishavepa pia baada ya kufaulu na kusonga mbele[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mziki wa Biology achana nao kabisa..... Mwalimu wa biology muda wote matusi tu nyie vilaza mnadhani mtafaulu biology kwa kusoma ma pamphlets nataka kila mmoja wenu akomae na Biological science (BS) likitabu lenyewe ukiliona kubwa.......Hahahahahaaaa.
Kuna vitu vya ajabu sana vilikiwa vinagoma kukaa kichwa, kama zile C3 na C4 pathway[emoji119] [emoji119] [emoji119]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hayatakuja kuvepa ... Kuna watu wanaonaga watu vilaza sana humu ndan [emoji23] [emoji23] sijui kwa nini ila jf ni kisiwa cha giza usikute mwifa ni jamaa anayekula dada yangu