Vimbwanga ndani ya vyumba vya mtihani.

Vimbwanga ndani ya vyumba vya mtihani.

Mimi kwenye pepa tangu nimeanza A level sijawahi bother kugeuka kuuliza majibu.

Napambana na hali yangu kimya kimya na wala sitaki usumbufu asee.
 
1) Nakumbuka kidato cha kwanza katika mitihani ya kila mwisho wa mwezi,somo biology ndani ya chumba cha mtihani maswali ya what is biology,branches of biology & why do we study biology.

Mimi nikiona mbona tayari nishamaliza pepa usiku kutwa nimekariri kwanini nisijenge kibanda..? fasta fasta nikajaza pepar nikaondoka ndani ya chumba kupiga hatua kama kumi nakumbuka sjaandika jina kwa paper.

Nikarudi fasta nafika tu,msimamizi akanena kwa sababu hujajaza jina lako nakupa viboko vitatu kwa ukumbusho wa kukurupuka,nikapokea bakora tatu za maana kiroho safi aisee.

2) Tupo katika mitihani ya kumaliza muhula wa kwanza kidato cha kwanza,mbele yangu alikuwa anakaa binti mrembo mweupe ka'mgogo sasa Mambo ya Physics yalivyo magumu mapaja yake meupe alijaza madifinition ya Physics kwa hiyo mimi nikawa nakula raha tu kwa chabo (kipindi hicho balehe ilikuwa haijaanza kunihenyesha). Kama ningekuwa katika kipindi cha damu ya moto ningepata shida sana.
 
Katika vyumba vya mtihani kuna wakati huwa yanatokea mambo ambayo yanaweza kukuacha mdomo wazi. Moja ya matukio ambayo huwa nayakumbuka ni:
1. Tulikuwa katika mtihani wa taifa wa kidato cha pili sasa kuna dada mmoja hivi ambaye pia alikuwa ni sista duu hatari, sasa baada ya kufanya mtihani bwama akalala zake kumbe akajisahau akaachia kitu cha mbuuuuuu.....watu tukacheka, na yeye akastuka akiwa anaona aibu kinoma. Msimamizi akaja kutuuliza tunacheka nini watu tukawa kama hatusikii vile, tunajifanya tuko busy na pepa. Tulipotoka ikawa ndo story kwa kila mtu. Usista duu uliisha kwa muda.
2. Kuna siku na mimi yalikuta, nilifanya mtihani nilipomaliza nikawa nasubiri muda wa kumaliza pepa ufike nikaamua kujiegesha juu ya dawati nikalala, bwana weee kuja kuamka naona karatasi ya majibu imelowa na udenda, wakati wa kukusanya mwalimu alipoiona karatasi yangu ya majibu imeloa alikataa kuichukua eti hadi ikauke na matusi juu. Tulipotoka kwenye chumba cha mtihani nilipata tabu sana aiseeee....
matokeo yalipotoka ulifaulu au uliscore zero
 
MIE NILIKUWA NA KOPI MASWALI KATIKA question paper NAHAMISHIA KATIKA booklet.. mpaka muda unafika..

alaf MTIHANI wa MATHEMATICS unalala USINGIZI HAUJI.. unakuwa BORED.. alaf masaa ma 3.. unachoka.. unaanza kuhesabu mabati... ukichoka unalalia desk kama MBWA KOKO.. yaan hatari

Hahahaa kwahiyo wewe ulikuwa unacheza na sifuri tu kwenye namba?
 
Upo kwenye mtihan unakuta mwana anatumia vifaa vyote vya mkebe hafu wewe kapuku hahahaha ... Another booklet please akat wewe ndo kwanza page tatu unahangaika wapi ukondens hata kanyimbo ili umeonekana umeandika sana nyie jaman shule ... Shule achen iitwe shule .. Nawasalimu ndugu zangu pcb popote mlipo ... Phosphoenol pyruvate halet tena pyruvate now days wala atp .. Naye vyuma vimekaza .......
Salute sana mliosoma PCB.

Sitaisahau aisee, nilikiwa najikuta jotoridi ni nyuzi 100°C lakini siku hiyo ilikiwa baridi na mvua ilikuwa inanyesha kidogo
 
Ilikua pepa ha form six bwana. Geography 2. Nimekaa nyuma ya jamaa katumia booklet 4 aisee wakati mie nimetumia moja na nusu. Nikasema hapa nishafeli. Majibu kutoka jamaa ana F ya Geography na overall ana div zero. Nikajiuliza jamaa alikua anajibu nn siku ile. Itakua examiners wanachekaga sana
 
Salute sana mliosoma PCB.

Sitaisahau aisee, nilikiwa najikuta jotoridi ni nyuzi 100°C lakini siku hiyo ilikiwa baridi na mvua ilikuwa inanyesha kidogo
Hahaha negative feedback inageuka positive .. Hypothalamus ina sense tofaut hapo ndipo utajua umuhimu wa maltase mwilin
 
Tulivyokua chuo mwaka wa pili first semister kuna jamaa aliniacha hoi sana. Ilikua pepa ya programming in C. Tulivyotoka jamaa akasema ule mtihan hata akijisahihishia mwenyewe hapat zaid ya tano. Pepa ilivyotoka jama ana Sup,
 
Hahaha negative feedback inageuka positive .. Hypothalamus ina sense tofaut hapo ndipo utajua umuhimu wa maltase mwilin

Homeostatic control hyo. negative feedback control system responds when conditions change from the ideal or set point and returns conditions to this set point.

Biology ya advanced level tamu sana aisee
 
Hahahahahaaaa.
Kuna vitu vya ajabu sana vilikiwa vinagoma kukaa kichwa, kama zile C3 na C4 pathway[emoji119] [emoji119] [emoji119]
C3 mkuu rahis sana in short ile ni reverse ya glycolysis ... Starting from 3 phosphoglycerate aldehyde .. To 1 -3 phosphoglycerate aldehyde then utaireduce kwenda kwenye glyeceral aldehyde 3 phosphate kwa kutumia nadph2 kuna some of them itarud kutengeneza rubp ... Haf nmesahau mwanzo ni five carbon sugar plus carbon dioxide under rubisco enzyme

Hiyo c4 two cells mesophyl and nini sijui ile pep a 3c sugar ina plus na co2 anda pep decarboxylase ...

Aah nishachoka mkuu ... Ila ... Hadi leo pep decarboxylase yenyewe sijaiona mpaka leo

Ila reaction itaenda mpaka bundle sheath cells ... Na c3 itaendelea asante kwa kusoma mkuu
 
tukiwa chumba cha mtihani CBE enzi hizo ukiona math ngumu unamtengenezea jamaa wa DIT kitambulisho chenye jina lako anenda kupiga paper fresh

sasa masnitch hawakosekani kumbe wakawatonya viongozi siku ya paper tunashangaa wasimamizi wanaingia na polisi venue after venue walipofika venue letu lilikuwa ni T4 bonge la hall wanakuja na mashine kama ya supermarket ile wanamulika kwenye kitambulisho kama kimetengenezwa CBE inapiga beep kama umetengeza nje hailii unapigwa pingu

nakumbuka kuna jamaa wa DIT alitoka mbio akampiga push HOD mmama alivyodondoka akamanyang'anya ile karatasi tuliyosign IN akakikimbia nayo alikimbizwa na polisi akaruka ukuta akadondokea makaburi ya upanga akatokomea 😀😀😀😀
Hii nouma sana Mkuu.....

Hii mbinu nilikuwa natamani kuijaribu sema niliogopa snitches na ukidakwa chuo huna [emoji2][emoji2][emoji2]
 
C3 mkuu rahis sana in short ile ni reverse ya glycolysis ... Starting from 3 phosphoglycerate aldehyde .. To 1 -3 phosphoglycerate aldehyde then utaireduce kwenda kwenye glyeceral aldehyde 3 phosphate kwa kutumia nadph2 kuna some of them itarud kutengeneza rubp ... Haf nmesahau mwanzo ni five carbon sugar plus carbon dioxide under rubisco enzyme

Hiyo c4 two cells mesophyl and nini sijui ile pep a 3c sugar ina plus na co2 anda pep decarboxylase ...

Aah nishachoka mkuu ... Ila ... Hadi leo pep decarboxylase yenyewe sijaiona mpaka leo

Ila reaction itaenda mpaka bundle sheath cells ... Na c3 itaendelea asante kwa kusoma mkuu
Hahahaah, naona dishi bado liko njema mkuu.

Mimi yashavepa kitambo tu japo nilifaulu.

Kwa sasa nimewahi kusoma Anatomy pia, ila ishavepa pia baada ya kufaulu na kusonga mbele[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Homeostatic control hyo. negative feedback control system responds when conditions change from the ideal or set point and returns conditions to this set point.

Biology ya advanced level tamu sana aisee
Example of positive feedback which amplify homological actions is ... Oxtoxcin when mother gives a birth by kuta za ... Nani kutanuka na uchungu .... Mambo ya kina zeroth law ahahaha dah
 
Hahahaah, naona dishi bado liko njema mkuu.

Mimi yashavepa kitambo tu japo nilifaulu.

Kwa sasa nimewahi kusoma Anatomy pia, ila ishavepa pia baada ya kufaulu na kusonga mbele[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hayatakuja kuvepa ... Kuna watu wanaonaga watu vilaza sana humu ndan [emoji23] [emoji23] sijui kwa nini ila jf ni kisiwa cha giza usikute mwifa ni jamaa anayekula dada yangu
 
Hahahahahaaaa.
Kuna vitu vya ajabu sana vilikiwa vinagoma kukaa kichwa, kama zile C3 na C4 pathway[emoji119] [emoji119] [emoji119]
Mziki wa Biology achana nao kabisa..... Mwalimu wa biology muda wote matusi tu nyie vilaza mnadhani mtafaulu biology kwa kusoma ma pamphlets nataka kila mmoja wenu akomae na Biological science (BS) likitabu lenyewe ukiliona kubwa.......

Namshukuru Mungu nililamba Che [C) na sikuwahi soma hilo li bs zaidi ya kumeza yale maswali na majibu yaliyokuwa mule ndani......
 
Hayatakuja kuvepa ... Kuna watu wanaonaga watu vilaza sana humu ndan [emoji23] [emoji23] sijui kwa nini ila jf ni kisiwa cha giza usikute mwifa ni jamaa anayekula dada yangu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kivuli cha JF kimenipa heshima sana ambayo siipati mtaani.

Maajabu ya karne aisee
 
Back
Top Bottom