Baba Swalehe
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 20,178
- 39,641
Bs ... Daah mkuu ila mm nltumia vtabu ving sana coz nlkua na ambition sana na neurosurgery ... Thanks to GodHata mimi sikuwaga na BS, nilikomaa na mapamphlet tu na niliambualia C nikasonga mbele
Mambo ya period three element ... Anomalaus behaviours za sodium ..magnesium aluminium siliconNa hakika mtu akipata pamphlet (chemia bios na physics ) kutoka kibaha mzumbe tabora boys na hakika hana haja ya kusoma tuition atatusua vizuri kabisa bila hata kusoma yale mavitabu makubwa makubwa......
Halafu hakuna topic ambao sikuipenda na kuielewa kama inorganic chemistry mpaka namaliza sikujua nisome nini na sikuwa na notes nzuri za hiyo kitu so nilipata tabu sana.....
Mkuu ulikuwa kipanga nn kama bwana CCNP EngineerMambo ya period three element ... Anomalaus behaviours za sodium ..magnesium aluminium silicon
Phosphorous
Sulphur
Chlorine
Argon. Where by its reactions with water. Inadepend na atomization energy na ionization energy where sodium ' magnesium reacts with water ... Forming metal oxide and hydrogen. But aluminium is not reactive and is rendered passively
Phosphorous and sulphur have no reactions with water
Chlorine forms hcl and hypochrolous acid
Argon cant react
Reaction with dilute hcl and sulphuric acid .... Kama unaijua reactivity series zile kompaund ya juu ya hydrogen zote ... Zinareact... Na hzo dilute acidds. Lakin aluminium zenyewe znareact na hot acids ... Zenyewe zinapenda hot totooz tuu hazipend cold. ....
Hahaha dah chem love you deeply from my heart you know it dear ... But mahaba yangu kwa bios hayazid mahaba yangu kwa physics ....
Physics ... Dah hatutakuja kuachana mpaka kifo kitutenganishe
hapana ..mkuu ccnp engineer kipanga si wengine vilaza flan wenye arosto zao ... Kama aromatic compound yenye hamu na free radicalMkuu ulikuwa kipanga nn kama bwana CCNP Engineer
Ila nikupongeze shule uliipenda na ikakupenda congrats once again Neuro surgeon tukutane kwa jukwaa letu pendwa la jf doctorhapana ..mkuu ccnp engineer kipanga si wengine vilaza flan wenye arosto zao ... Kama aromatic compound yenye hamu na free radical
Leo nmekumbuka tu dah it was very nice life ... I loved education jaman mjenge mazingira ya watoto wenu kupenda education my father did it mtu akiniuliza faida ya elimu ... Imenisaidia kufungua kichwa changu ... Kumbuka life path are narrow and constricted wengine inabid tuish hivi humu ndan its my hobby to make people happy ... IlaMkuu ulikuwa kipanga nn kama bwana CCNP Engineer
Mi sio. Neuro mkuu nafundsha huku mchkichiniIla nikupongeze shule uliipenda na ikakupenda congrats once again Neuro surgeon tukutane kwa jukwaa letu pendwa la jf doctor
Umenikumbusha mwanangu mmoja hivi muarabu. Alikuwa anasoma ila vibomu kama kawa. Na akawa hakamatwi, kwa hiyo hali ikafika kipindi akawa anajiita Highly Trained Terrorist.Nakumbuka nipo kwenye U.E Mi hata niwe nimesoma vip lazima niingie na mgombea mwenza kibomu. sa siku hiyo nawaangalia crew yangu wanajifanya wanaelewa et dk za mwisho ndo wanajifanya wanasolve na vitu vinasogea mi huwa sipendi mambo ya kujaribu maisha. Tumeingia wamekuta mambo kama miujiza tu vitu havieleweki, halaf maswali kama matatu hivi nnayo kwenye kibomu , nikawaambia nnayo mazee, wakataka niwaonyeshe nikawarushia vibomu shughuli ikaingia mchanga kibomu hakijafika kimeishia katikati Aiseee pale ndo niligundua rafiki wa kweli ni baba na mama yani kila mtu aligeuka upande wake kwamba hataki kujihusisha kisa kimeanguka vibaya eti...
Vibomu Mimi vilinishinda. Ni muoga sana wa hayo mambo. Kilichokuwa kinanisaidia nasoma kwa kuelewa tu, ila hiyo hali nayo ilinitesa. Ma' lecturers walikuwa wanataka niandike kama kwenye vitabu ilivyoandikwa, mi nikawaambia uwezo wangu wa kukariri ni mdogo.Sitosahau udsm nilivyokamatwa na kibomu ,tulikuwa tunafanya test ya proba, kweli nilikuwa mzembe wa kusoma na lecture alikuwa amefundisha distribution zaidi ya kumi halafu mimi nilikuwa sijui kuderive hatamoja ,nikaona ujanja nikutengeneza kibomu then nikaderive distrbtion za msingi ,kikaratasi kilikuwa kidogo sijui hatazilitoshaje[emoji4][emoji4]
Nikatafuta nitakifichawapi nikaona nitakiingiza ndani ya kifuniko cha scientific calculator ili iwerahisi kukitumia kumbe nilijuwa najitilia mafuta, ikafika muda lecture akawa anatusambazia statistical table, kufika kwangu nikaona anashangaa mapigo ya moyo yakaanza kunidunda kumbe kibomu kilikuwa kinachungulia kwa mbali ndani ya mfuniko wa calculator asee ngoja niishie hapo maana fedhea niliopata naijua mwenyewe
Hahaha higly trained terroristf
Umenikumbusha mwanangu mmoja hivi muarabu. Alikuwa anasoma ila vibomu kama kawa. Na akawa hakamatwi, kwa hiyo hali ikafika kipindi akawa anajiita Highly Trained Terrorist.
Tena za ajabu mno[emoji3][emoji16][emoji16][emoji16]kuna majitu yana sifaaa
Hahahhh...huyo mshikaji noma saana...Duuh.tukiwa chumba cha mtihani CBE enzi hizo ukiona math ngumu unamtengenezea jamaa wa DIT kitambulisho chenye jina lako anenda kupiga paper fresh
sasa masnitch hawakosekani kumbe wakawatonya viongozi siku ya paper tunashangaa wasimamizi wanaingia na polisi venue after venue walipofika venue letu lilikuwa ni T4 bonge la hall wanakuja na mashine kama ya supermarket ile wanamulika kwenye kitambulisho kama kimetengenezwa CBE inapiga beep kama umetengeza nje hailii unapigwa pingu
nakumbuka kuna jamaa wa DIT alitoka mbio akampiga push HOD mmama alivyodondoka akamanyang'anya ile karatasi tuliyosign IN akakikimbia nayo alikimbizwa na polisi akaruka ukuta akadondokea makaburi ya upanga akatokomea ππππ
ikawaje mzee baba...problem ilikuwa solved vip?Nakumbuka nipo kwenye U.E Mi hata niwe nimesoma vip lazima niingie na mgombea mwenza kibomu. sa siku hiyo nawaangalia crew yangu wanajifanya wanaelewa et dk za mwisho ndo wanajifanya wanasolve na vitu vinasogea mi huwa sipendi mambo ya kujaribu maisha. Tumeingia wamekuta mambo kama miujiza tu vitu havieleweki, halaf maswali kama matatu hivi nnayo kwenye kibomu , nikawaambia nnayo mazee, wakataka niwaonyeshe nikawarushia vibomu shughuli ikaingia mchanga kibomu hakijafika kimeishia katikati Aiseee pale ndo niligundua rafiki wa kweli ni baba na mama yani kila mtu aligeuka upande wake kwamba hataki kujihusisha kisa kimeanguka vibaya eti...
Nilifaulu aseee...matokeo yalipotoka ulifaulu au uliscore zero
Hao tunawaita higly trained terroristHahahhh...huyo mshikaji noma saana...Duuh.
Mi nakumbuka mshikaji mmoja alikuaga baunsa, aliingia na kibomu knye test ya programming akaweka chini ya question paper. Sasa katika kupitapita, lecturer akakiona kinachungulia chini akapeleka mkono kwenda kukichukua... Weeeee.. Huyo mshikaji alimkata jicho halafu akabana ile question paper na kiwiko. Daaah sikuamini macho yangu, yule lecturer aliogopa, ikabidi aendelee kusimama hapo hadi muda wa paper ukaisha. Baunsa akakunja question paper pamoja na kibomu ndani akatoka.
Matukio mengine yanahitaj ujasiri wa kuzaliwa au kuvuta bange, maana....hatare sana
Sawa!sina akili!ndo mana genius umekuja hapa kunijibuHuna akili mtoa post