Benson Mramba
JF-Expert Member
- Oct 29, 2013
- 766
- 1,884
Kwanza nikiri kuwa mimi nawafahamu vinara wote kwa uzuri, ubaya, madhaifu na skendo zao n.k.
Kwa muda mrefu tangu 2017 niliandika humu kuwa Mh Mbowe amezungukwa na watu wasiokuwa na akili, wezi na wabinafsi. Waliokuwa wananifuatilia watakumbuka na niliwataja kwa majina mara zote
Kinachoendelea sasa kwa hawa wanaojiita G55 ni frustration za kupoteza fursa na ajira bila kutarajia. Wote ambao ni vinara wa hili kundi Chadema ilishageuka kuwa biashara na ajira yao ya kuwaendeshea maisha. Aidha wote chama kimeshawalipa hawana deni nacho na hawatarajii chochote tena nje bila ya kuwa na vyeo.
Mathalani Mh Grace kiwelu amekuwa Mbunge wa vitimaalum kwa vipindi vinne mfululizo. Salimu Mwalimu amekuwa Naibu Katibu Mkuu Zanzibar kwa miaka takribani 12+ ambapo mshahara wake kwa mwezi haujawahi kupungua mil 3.5 tangu 2015 na kwa nafasi yake amechomeka wabunge kibao wa vitimaalum na kulamba faida, same to Benson Kigaila.
Wakurugenzi wengine kama akina Mrema wamekuwa wanalipwa mil 3 tangu 2015 hadi leo. Chama kimeshawalipa wanachofanya ni kukisaliti chama kwasababu ya ubinafsi na ukosefu wa ajira
Kuziba deficit ya mil 3 kwa mwezi sio jambo dogo. Watu wanadaiwa ada, chakula , status n.k
So to say Mamba wote wa G55 hawana deni kwa Chadema ila Chadema inawadai atleast loyalty. Sasa kwa wale Kenge kila mtu atajijua na sababu zake za kuhama.
Cha msingi tu hakuna pengo lisilozibika zama hizi. Pengo litazibwa kwa jino jingine, jino bandia na ikibidi hata jino la dhahabu litawekwa. Kila la kheri kwenye maisha mapya ya Kitaa.
Jueni tu kuwa Mtaa ni mgumu na umri wenu umesogea msipoteze muda mtachanganyikiwa muanze kunywa double kick