Vinara wa G55 wote wameshanufaika na CHADEMA. Hawana ndoto tena wala cha kupoteza

Vinara wa G55 wote wameshanufaika na CHADEMA. Hawana ndoto tena wala cha kupoteza

Akina nani wanadunda gentleman?
hawa waropkaji waliopoteza uelekeo ama?

sasa hivi una umri wa miaka 75,
baada ya miaka mitano si utakua umechoka zaidi gentleman na huenda hata kumbukumbu zinaweza kua shida 🐒
Unataka kusema "Makamu Mwenyekiti" amechoka?
 
Mimi nafikiri wewe Benson Mramba ndio kenge. Mtu kubadili mawazo hata kama angekuwa analipwa mamilioni ni mawazo binafsi. Watu gani kama mna akili timamu mnamwona mtu ni adui kisa kaachana na ninyi? Kwa tabia hizi, siku Chadema ikichukua madaraka si kkitakuwa zaidi ya Taliban?
Kiukweli Chadema kinatakiwa kufutiliwa mbali haraka sana!
Kwa ujinga unaoendelea nchini asee kiwe tu zaidi ya Taliban!
Wa kunyongwa wanyongwe! W kufungwa maisha wafungwe!
 
yaani miaka mitano huufanyi siasa wala kushiriki chaguzi, si utakua lofa wa siasa sasa gentleman? :pulpTRAVOLTA:


Chadema haikufanya siasa miaka 10 ya jiwe hadi likadanja itakua hiyo mitano?, acha kujitoa ufahamu kijana! Walitumika covid19 tu wake zao kumtumikia mwendazake na Chadema bado ipo inamlaza mama na viatu deile

Watu wapo busy kutafuta haki ya kila mgombea hata hao sisiemu wakome kupeana uongozi kwa uchawa!
 
Kwanza nikiri kuwa mimi nawafahamu vinara wote kwa uzuri, ubaya, madhaifu na skendo zao n.k.

Kwa muda mrefu tangu 2017 niliandika humu kuwa Mh Mbowe amezungukwa na watu wasiokuwa na akili, wezi na wabinafsi. Waliokuwa wananifuatilia watakumbuka na niliwataja kwa majina mara zote

Kinachoendelea sasa kwa hawa wanaojiita G55 ni frustration za kupoteza fursa na ajira bila kutarajia. Wote ambao ni vinara wa hili kundi Chadema ilishageuka kuwa biashara na ajira yao ya kuwaendeshea maisha. Aidha wote chama kimeshawalipa hawana deni nacho na hawatarajii chochote tena nje bila ya kuwa na vyeo.

Mathalani Mh Grace kiwelu amekuwa Mbunge wa vitimaalum kwa vipindi vinne mfululizo. Salimu Mwalimu amekuwa Naibu Katibu Mkuu Zanzibar kwa miaka takribani 12+ ambapo mshahara wake kwa mwezi haujawahi kupungua mil 3.5 tangu 2015 na kwa nafasi yake amechomeka wabunge kibao wa vitimaalum na kulamba faida, same to Benson Kigaila.

Wakurugenzi wengine kama akina Mrema wamekuwa wanalipwa mil 3 tangu 2015 hadi leo. Chama kimeshawalipa wanachofanya ni kukisaliti chama kwasababu ya ubinafsi na ukosefu wa ajira

Kuziba deficit ya mil 3 kwa mwezi sio jambo dogo. Watu wanadaiwa ada, chakula , status n.k

So to say Mamba wote wa G55 hawana deni kwa Chadema ila Chadema inawadai atleast loyalty. Sasa kwa wale Kenge kila mtu atajijua na sababu zake za kuhama.

Cha msingi tu hakuna pengo lisilozibika zama hizi. Pengo litazibwa kwa jino jingine, jino bandia na ikibidi hata jino la dhahabu litawekwa. Kila la kheri kwenye maisha mapya ya Kitaa.

Jueni tu kuwa Mtaa ni mgumu na umri wenu umesogea msipoteze muda mtachanganyikiwa muanze kunywa double kick
Kuingia CHADEMA ilikua ni haki yao na kutoka pia ni haki yao. Kwanini tunaimba vitu ambavyo atuvitendi? Tunaimba Demokrasia ila mtu akitumia hiyo haki ya Kidemokrasia tunageuka na kuanza matusi na mashambulizi.
 
Same to me kwa Lema. Though wakati wa nyuma Lema, Msigwa, Sugu na Lissu walikuwa pamoja na hawa G55 hadi walipogundua uongo wao. Hii Sekretarieti ya Mbowe ilifanikiwa sana kuidanganya kamati kuu kwa miaka mingi
Daah leo hii Mbowe nae anashughurikiwa
 
Kwani Benson Mramba kama sikosei 2016 hapa jamvini ulitangaza kuondoka chamani na kujiunga mbogamboga fc. Vp ulirudi kundini?
 
Back
Top Bottom