Vinara wa G55 wote wameshanufaika na CHADEMA. Hawana ndoto tena wala cha kupoteza

Ni kweli kabisa.

Mke wa Benson Kigaila yuko Covid 19.
Mke wa John Mrema yuko Covid 19.
Mke wa Salumu Mwalimu yuko Covid 19.

Wanasubiri pension tu.
Dah,hao ndo wanajiita wanaharakati
 
Ni kweli kabisa.

Mke wa Benson Kigaila yuko Covid 19.
Mke wa John Mrema yuko Covid 19.
Mke wa Salumu Mwalimu yuko Covid 19.

Wanasubiri pension tu.
Lakini nasikia yule mke wa salum kapora jamaa aliyepata dhahama ya dushe kuanguka???
 
Kwanza nikiri kuwa mimi nawafahamu vinara wote kwa uzuri, ubaya, madhaifu na skendo zao n.k.

Kwa muda mrefu tangu 2017 niliandika humu kuwa Mh Mbowe amezungukwa na watu wasiokuwa na akili, wezi na wabinafsi. Waliokuwa wananifuatilia watakumbuka na niliwataja kwa majina mara zote

Kinachoendelea sasa kwa hawa wanaojiita G55 ni frustration za kupoteza fursa na ajira bila kutarajia. Wote ambao ni vinara wa hili kundi Chadema ilishageuka kuwa biashara na ajira yao ya kuwaendeshea maisha. Aidha wote chama kimeshawalipa hawana deni nacho na hawatarajii chochote tena nje bila ya kuwa na vyeo.

Mathalani Mh Grace kiwelu amekuwa Mbunge wa vitimaalum kwa vipindi vinne mfululizo. Salimu Mwalimu amekuwa Naibu Katibu Mkuu Zanzibar kwa miaka takribani 12+ ambapo mshahara wake kwa mwezi haujawahi kupungua mil 3.5 tangu 2015 na kwa nafasi yake amechomeka wabunge kibao wa vitimaalum na kulamba faida, same to Benson Kigaila.

Wakurugenzi wengine kama akina Mrema wamekuwa wanalipwa mil 3 tangu 2015 hadi leo. Chama kimeshawalipa wanachofanya ni kukisaliti chama kwasababu ya ubinafsi na ukosefu wa ajira

Kuziba deficit ya mil 3 kwa mwezi sio jambo dogo. Watu wanadaiwa ada, chakula , status n.k

So to say Mamba wote wa G55 hawana deni kwa Chadema ila Chadema inawadai atleast loyalty. Sasa kwa wale Kenge kila mtu atajijua na sababu zake za kuhama.

Cha msingi tu hakuna pengo lisilozibika zama hizi. Pengo litazibwa kwa jino jingine, jino bandia na ikibidi hata jino la dhahabu litawekwa. Kila la kheri kwenye maisha mapya ya Kitaa.

Jueni tu kuwa Mtaa ni mgumu na umri wenu umesogea msipoteze muda mtachanganyikiwa muanze kunywa double kick
Gentleman,
ni lofa asie na maono wala malengo ndio pekee anaweza kusalia ndani ya chadema isiyo na agenda wala isiyo na sifa wala vigezo vya kushiriki chaguzi za Tanzania kwa miaka mi5 ijayo.

Labda kama mtu huyo lofa ana malengo tofauti na ya kisiasa ndie anaweza kusalia Chadema yenye sura ya saccos, chama cha ushirika au kanisa linalotembea kuomba omba kuchangiwa sadaka kujiendesha hali ya kua imepoteza uelekeo 🐒
 
simjui jina mke wa Kgaila ila kuna video youtube anahojiwa na Odemba, kuhusu mke wake kuw "Covid 19" na wakati huohuo yeye ni kiongozi mkubwa Chadema.

katika majibu yake kakili mke wake ni mmoja

Kunti Yusuph Majala wa Kondoa.

simjui jina mke wa Kgaila ila kuna video youtube anahojiwa na Odemba, kuhusu mke wake kuw "Covid 19" na wakati huohuo yeye ni kiongozi mkubwa Chadema.

katika majibu yake kakili mke wake ni mmoja wapo.
Kunti Yusuph Majala ni mzaliwa wa Chemba Dodoma
 
Gentleman,
ni lofa asie na maono wala malengo ndio pekee anaweza kusalia ndani ya chadema isiyo na agenda wala isiyo na sifa wala vigezo vya kushiriki chaguzi za Tanzania kwa miaka mi5 ijayo.

Labda kama mtu huyo lofa ana malengo tofauti na ya kisiasa ndie anaweza kusalia Chadema yenye sura ya saccos, chama cha ushirika au kanisa linalotembea kuomba omba kuchangiwa sadaka kujiendesha hali ya kua imepoteza uelekeo 🐒
Siasa zinaisha miaka mitano ijayo? Mbona mikutano ilizuiwa zaidi ya hiyo miaka na watu wanadunda tu
 
Akina nani wanadunda gentleman?
hawa waropkaji waliopoteza uelekeo ama?

sasa hivi una umri wa miaka 75,
baada ya miaka mitano si utakua umechoka zaidi gentleman na huenda hata kumbukumbu zinaweza kua shida 🐒
 
Hakuna mtu ndani ya mipaka ya Tz anayepigania maslahi ya wananchi, asilimia 98 ya wanasiasa wetu wote ni NJAA FC,hata hao unaowataja na walionaki wote ni opportunist tu.Taifa letu kuanzia nyumba nyeupe hadi serikali za mitaa hakuna mzalendo
Nadhani ni asilimia 99.99999999999999999999999999999999999...(infinity)
 
Kwanza nikiri kuwa mimi nawafahamu vinara wote kwa uzuri, ubaya, madhaifu na skendo zao n.k.

Kwa muda mrefu tangu 2017 niliandika humu kuwa Mh Mbowe amezungukwa na watu wasiokuwa na akili, wezi na wabinafsi. Waliokuwa wananifuatilia watakumbuka na niliwataja kwa majina mara zote

Kinachoendelea sasa kwa hawa wanaojiita G55 ni frustration za kupoteza fursa na ajira bila kutarajia. Wote ambao ni vinara wa hili kundi Chadema ilishageuka kuwa biashara na ajira yao ya kuwaendeshea maisha. Aidha wote chama kimeshawalipa hawana deni nacho na hawatarajii chochote tena nje bila ya kuwa na vyeo.

Mathalani Mh Grace kiwelu amekuwa Mbunge wa vitimaalum kwa vipindi vinne mfululizo. Salimu Mwalimu amekuwa Naibu Katibu Mkuu Zanzibar kwa miaka takribani 12+ ambapo mshahara wake kwa mwezi haujawahi kupungua mil 3.5 tangu 2015 na kwa nafasi yake amechomeka wabunge kibao wa vitimaalum na kulamba faida, same to Benson Kigaila.

Wakurugenzi wengine kama akina Mrema wamekuwa wanalipwa mil 3 tangu 2015 hadi leo. Chama kimeshawalipa wanachofanya ni kukisaliti chama kwasababu ya ubinafsi na ukosefu wa ajira

Kuziba deficit ya mil 3 kwa mwezi sio jambo dogo. Watu wanadaiwa ada, chakula , status n.k

So to say Mamba wote wa G55 hawana deni kwa Chadema ila Chadema inawadai atleast loyalty. Sasa kwa wale Kenge kila mtu atajijua na sababu zake za kuhama.

Cha msingi tu hakuna pengo lisilozibika zama hizi. Pengo litazibwa kwa jino jingine, jino bandia na ikibidi hata jino la dhahabu litawekwa. Kila la kheri kwenye maisha mapya ya Kitaa.

Jueni tu kuwa Mtaa ni mgumu na umri wenu umesogea msipoteze muda mtachanganyikiwa muanze kunywa double kick
Huu ni ukweli kabisa, chadema ilikuwa saccos per se. Sasa Lissu anafanya kiwe chama cha siasa, sidhani kama kuna member wa saccos atabaki.
Code ngumu hii mkuu. Tunaomba utuegezee kidogo
Kanda maalumu mbona hii issue inajulikana sana. Teacher ni kiben ten.
 
Ndiooooooooooo n hao ndio wake zao walikua COVID-19.
KAZI ni kipimo cha utu
 
Kwanza nikiri kuwa mimi nawafahamu vinara wote kwa uzuri, ubaya, madhaifu na skendo zao n.k.

Kwa muda mrefu tangu 2017 niliandika humu kuwa Mh Mbowe amezungukwa na watu wasiokuwa na akili, wezi na wabinafsi. Waliokuwa wananifuatilia watakumbuka na niliwataja kwa majina mara zote

Kinachoendelea sasa kwa hawa wanaojiita G55 ni frustration za kupoteza fursa na ajira bila kutarajia. Wote ambao ni vinara wa hili kundi Chadema ilishageuka kuwa biashara na ajira yao ya kuwaendeshea maisha. Aidha wote chama kimeshawalipa hawana deni nacho na hawatarajii chochote tena nje bila ya kuwa na vyeo.

Mathalani Mh Grace kiwelu amekuwa Mbunge wa vitimaalum kwa vipindi vinne mfululizo. Salimu Mwalimu amekuwa Naibu Katibu Mkuu Zanzibar kwa miaka takribani 12+ ambapo mshahara wake kwa mwezi haujawahi kupungua mil 3.5 tangu 2015 na kwa nafasi yake amechomeka wabunge kibao wa vitimaalum na kulamba faida, same to Benson Kigaila.

Wakurugenzi wengine kama akina Mrema wamekuwa wanalipwa mil 3 tangu 2015 hadi leo. Chama kimeshawalipa wanachofanya ni kukisaliti chama kwasababu ya ubinafsi na ukosefu wa ajira

Kuziba deficit ya mil 3 kwa mwezi sio jambo dogo. Watu wanadaiwa ada, chakula , status n.k

So to say Mamba wote wa G55 hawana deni kwa Chadema ila Chadema inawadai atleast loyalty. Sasa kwa wale Kenge kila mtu atajijua na sababu zake za kuhama.

Cha msingi tu hakuna pengo lisilozibika zama hizi. Pengo litazibwa kwa jino jingine, jino bandia na ikibidi hata jino la dhahabu litawekwa. Kila la kheri kwenye maisha mapya ya Kitaa.

Jueni tu kuwa Mtaa ni mgumu na umri wenu umesogea msipoteze muda mtachanganyikiwa muanze kunywa double kick
Mimi nafikiri wewe Benson Mramba ndio kenge. Mtu kubadili mawazo hata kama angekuwa analipwa mamilioni ni mawazo binafsi. Watu gani kama mna akili timamu mnamwona mtu ni adui kisa kaachana na ninyi? Kwa tabia hizi, siku Chadema ikichukua madaraka si kkitakuwa zaidi ya Taliban?
Kiukweli Chadema kinatakiwa kufutiliwa mbali haraka sana!
 
Back
Top Bottom