Benson Mramba
JF-Expert Member
- Oct 29, 2013
- 766
- 1,884
Mramba😀Jueni tu kuwa Mtaa ni mgumu na umri wenu umesogea msipoteze muda mtachanganyikiwa muanze kunywa double kick
Duh.. kweli haya au?kigaila mke wake nani?na Salum nae ni esta matiko au MdeeNi kweli kabisa.
Mke wa Benson Kigaila yuko Covid 19.
Mke wa John Mrema yuko Covid 19.
Mke wa Salumu Mwalimu yuko Covid 19.
Wanasubiri pension tu.
Tajeni majina ya hao wake zao.Isije ikawa ni propoganda tu za kusagiana kunguni.Duh.. kweli haya au?kigaila mke wake nani?na Salum nae ni esta matiko au Mdee
Mkuu mambo mengine inakuwa ngumu kuamini sababu jamaa walikuwa viti vya mbele wanajifanya wafia chama kweli kweli.Benson Mramba binafsi mimi niwe wa kwanza kukuomba radhi kwani nilikuwa mmoja wa watu tuliokuwa tunakusoma uandikacho na tunakataa kukuelewa kisha tunakupinga. TUWIE RADHI.
Kila ulilowahi kusema sasa liko wazi, tulikuwa na
Wavaa Suti na Gwanda za chama lakini kumbe ni vibaka kuliko Panya road.
Ubarikiwe mkuu kwa kuwa mkweli, sasa kwa vile umeonyesha kuwafahamu zaidi ya kawaida sasa usichoke kuanika ukweli wajulikane zaidi.
Moyo wangu mweupe ndugu. Nilijua muda utanitetea. Nawasubiri waanze kuongea. Kwasasa nawasubiri watoke tukazibe mapengo. Then itakuwa ni wakati wa upumbavu kwa upumbavu, hekima kwa hekima na hoja kwa hojaBenson Mramba binafsi mimi niwe wa kwanza kukuomba radhi kwani nilikuwa mmoja wa watu tuliokuwa tunakusoma uandikacho na tunakataa kukuelewa kisha tunakupinga. TUWIE RADHI.
Kila ulilowahi kusema sasa liko wazi, tulikuwa na
Wavaa Suti na Gwanda za chama lakini kumbe ni vibaka kuliko Panya road.
Ubarikiwe mkuu kwa kuwa mkweli, sasa kwa vile umeonyesha kuwafahamu zaidi ya kawaida sasa usichoke kuanika ukweli wajulikane zaidi.
Ni kweli hii!? Aisee Mbowe alikuwa anatuletea uhuni kweli kweli! Sasa ndio naelewa kwa nini akina Mdee walikuwa hawana wasiwasi.Ni kweli kabisa.
Mke wa Benson Kigaila yuko Covid 19.
Mke wa John Mrema yuko Covid 19.
Mke wa Salumu Mwalimu yuko Covid 19.
Wanasubiri pension tu.
Hana hata mradi wa kuku wala kibanda cha tigopesaJohn mrema tangu amalize chuo 2006 pale UDSM hajawahi kufanya kazi popote zaidi ya chadema
Ni mtu ninayemfahamu. Hakuwa chadema kama mpigania haki za watu. Alikuwa mwaajiriwa. Ajira inekoma anaogopa mtaaHana hata mradi wa kuku wala kibanda cha tigopesa
Same to me kwa Lema. Though wakati wa nyuma Lema, Msigwa, Sugu na Lissu walikuwa pamoja na hawa G55 hadi walipogundua uongo wao. Hii Sekretarieti ya Mbowe ilifanikiwa sana kuidanganya kamati kuu kwa miaka mingiMkuu mambo mengine inakuwa ngumu kuamini sababu jamaa walikuwa viti vya mbele wanajifanya wafia chama kweli kweli.
Ni suala la muda tu ukweli lazima utajipambanua ndicho kilichotokea.
Usijilaumu kwanini ulishiriki kuukataa ukweli uliokuwa unaelezwa na wachache wengi mkiwa mmefumbwa na sura za kilaghai za G55.
Benson Mramba alitimiza wajibu wake.
Mimi ningependa kumuomba radhi Gobless Lema nilidhani naye hawezi kufanya anayofanya Sasa.
Duh!Jueni tu kuwa Mtaa ni mgumu na umri wenu umesogea msipoteze muda mtachanganyikiwa muanze kunywa double kick
Kuziba pengo la mil 3 kwa mwezi na umri wa over 45 sio mchezo ndugu.Ni mtu ninayemfahamu. Hakuwa chadema kama mpigania haki za watu. Alikuwa mwaajiriwa. Ajira inekoma anaogopa mtaa
Kigaila nimemuona millennium towers jumamosi. Alikuwa anapqnga usaliti wake. Jamaa hajiamini kabisa.
Upo sahihi kabisa double kik zinahusika huku mtaani.Kuziba pengo la mil 3 kwa mwezi na umri wa over 45 sio mchezo ndugu.
Kumbe? 😳Ni kweli kabisa.
Mke wa Benson Kigaila yuko Covid 19.
Mke wa John Mrema yuko Covid 19.
Mke wa Salumu Mwalimu yuko Covid 19.
Wanasubiri pension tu.
Mkuu we naona umeshakata tamaa hutaki hata kuwachambua mmoja mmoja umewatupa kwenye kapu mojaHakuna mtu ndani ya mipaka ya Tz anayepigania maslahi ya wananchi, asilimia 98 ya wanasiasa wetu wote ni NJAA FC,hata hao unaowataja na walionaki wote ni opportunist tu.Taifa letu kuanzia nyumba nyeupe hadi serikali za mitaa hakuna mzalendo