Vinara wa G55 wote wameshanufaika na CHADEMA. Hawana ndoto tena wala cha kupoteza

Akina nani wanadunda gentleman?
hawa waropkaji waliopoteza uelekeo ama?

sasa hivi una umri wa miaka 75,
baada ya miaka mitano si utakua umechoka zaidi gentleman na huenda hata kumbukumbu zinaweza kua shida 🐒
Unataka kusema "Makamu Mwenyekiti" amechoka?
 
Huu uzi ni wa moto kweli..

Any way ukweli mchungu ndio huu
 
Kwa ujinga unaoendelea nchini asee kiwe tu zaidi ya Taliban!
Wa kunyongwa wanyongwe! W kufungwa maisha wafungwe!
 
yaani miaka mitano huufanyi siasa wala kushiriki chaguzi, si utakua lofa wa siasa sasa gentleman?


Chadema haikufanya siasa miaka 10 ya jiwe hadi likadanja itakua hiyo mitano?, acha kujitoa ufahamu kijana! Walitumika covid19 tu wake zao kumtumikia mwendazake na Chadema bado ipo inamlaza mama na viatu deile

Watu wapo busy kutafuta haki ya kila mgombea hata hao sisiemu wakome kupeana uongozi kwa uchawa!
 
Kuingia CHADEMA ilikua ni haki yao na kutoka pia ni haki yao. Kwanini tunaimba vitu ambavyo atuvitendi? Tunaimba Demokrasia ila mtu akitumia hiyo haki ya Kidemokrasia tunageuka na kuanza matusi na mashambulizi.
 
Same to me kwa Lema. Though wakati wa nyuma Lema, Msigwa, Sugu na Lissu walikuwa pamoja na hawa G55 hadi walipogundua uongo wao. Hii Sekretarieti ya Mbowe ilifanikiwa sana kuidanganya kamati kuu kwa miaka mingi
Daah leo hii Mbowe nae anashughurikiwa
 
Kwani Benson Mramba kama sikosei 2016 hapa jamvini ulitangaza kuondoka chamani na kujiunga mbogamboga fc. Vp ulirudi kundini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…