Vingilio baadhi ya BAR umekuwa ni Ushamba

Vingilio baadhi ya BAR umekuwa ni Ushamba

MoroGent

Member
Joined
Jan 10, 2018
Posts
84
Reaction score
343
Wakuu Salam sana,

Nipo Moro town, nikaona siyo mbaya nikafungue mwaka wakati napata vyombo murua.
Kichwani mwangu nikafukiria Samaki Samaki, Star Park na Eli's Pub.

Sasa nimeenda Star park nakuta kingilio ni Bia 2 mlangoni, nikasepa, Samaki Samaki nakuta pamejaa afu pako wazi na Kuna manyunyu, nikaenda Eli's Pub nikakuta pako poa sana space bado ipo ndo nipo now.

Ila Star Park wamenikera, kwa zama hizi bado tunaweka vingilio mlangoni lazima, mfano mim sinywi Bia nakunywa pombe Kali why unilazimishe ninunue hizo Bia zako.

Kiufupi hii imenikera na sijaipenda.
 
Niliwahi kuta huo ujinga Arusha sikutaka hata kuuliza mara mbili nikaamua kuondoka nikaenda bar nyingine. Yani mimi nimeacha usingizi wangu nakuja Bar around saa 4 kwamba huaminj kama naingia hapo Bar kutumia? Kwa hyo niache kupumzika nije nishangae vimulimuli vya bar?
 
Back
Top Bottom