Vinicius Junior: La Liga imetawaliwa na ubaguzi wa rangi

Hahaaaaaa, mwaka 2011 nikiwa nimegraduate na kupata kazi kampuni moja huko Arusha. Eti kabulu moja la Uholanzi lilikuwa linaninyanyasa kisa mwili wangu mnene Arusha sababu tu yeye ndiye General Manager wa Kampuni. Nikamwambia, siwezi kukuabudu wewe yellow monkey na umefanana na nguruwe kisa mshahara wa 1.2M. Hii ni nchi yangu na ukileta ujinga nitakufanyia ubaya. Ikabidi nuterminate mkataba nao.

Yule mtu alininyanyasa sana, dahhh umenikumbusha na hadi nasikia uchungu. Wale akina Gerald na Praygod walitumika kuninyanyasa sana. Eti wananiambia "Mzungu kasema Kwao hawapendi kuona watu wanene wenye shingo nene na kifua kipana"Jamaa alisababisha nichukie kufanya kazi Private sector na niwachukue wazungu maishani mwangu.
 
Hayo maudhi mbona UEFA hatuyasikii. Kaenda Anfield hajazomewa kaenda Etihad hajazomewa kwanini La Liga tu?!

na kwanini awe yeye tu? Real Madrid kuna wachezaji weusi wangapi? mbona hakuna mwengine aliyefanyiwa hayo maudhi?
 
Humu ndani naona kuna watu wamekubali kubaguliwa, kwao eti hiyo siyo issue.

Ubaguzi ni issue ukubwa. Unaumiza kisaikolojia, maana watu wanakufanya wewe si mtu bali mnyama.

Kwanini hapa nchini muna wabagua wahindi na waarabu kila kukicha? mbona wao wanaishi fresh tu na maisha yanakwenda
 
Dani Alves na Didier Drogba hawa magwiji wawili hawakuaga kabisa na infiriority complex.
Samuel Et'oo kuna mechi mpaka alisusa kabisa kuendelea kucheza kwa mambo hayahaya ya ubaguzi wa rangi hapo Spain.
 
Aje Yanga ili atuvushe ligi ya mabingwa,tumechoka kuishia preliminary stage
 
Unawaona walikuwa na msaada?

Mbona aliwanunua sasa kama hakuwapenda?
Sterling kaharibiwa na Pep, alikua anamtoa nje ya mfumo kila leo, yaan na vile alivyo ndo kabisa Pep hampendi hata kidogo, kazima ndoto za Raheem. [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
 
Kama mchezaji hakidhi vigezo vyako ndo unakua umemzima ndoto zake? mbona husemi cancelo, zinchenko, nao wamezimiwa ndoto? pep na conte ukimzingua kidogo hata ukiwa na jina utapigwa benchi mpaka uombe uhamisho
Kwa sterling ndoto zake kazima Pep tena makusudii kabosaa, hajakidhi vigezo ndo ange sajiriwa palee?

Pep mbaguziiii mnooo.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sterling kaharibiwa na Pep, alikua anamtoa nje ya mfumo kila leo, yaan na vile alivyo ndo kabisa Pep hampendi hata kidogo, kazima ndoto za Raheem. [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Hakuwa na jipya katu cost mno anakosa sana magoal
 
Kwa sterling ndoto zake kazima Pep tena makusudii kabosaa, hajakidhi vigezo ndo ange sajiriwa palee?

Pep mbaguziiii mnooo.
niambie wachezaji walikuwepo kabla ya pep aliyebaki ni kdb tu sterling hakusajiliwa na pep ko ni haki yake kumtoa au laa mbona husemi mane kaharibiwa ndoto na klopp
 
[emoji817][emoji817][emoji817][emoji110][emoji110][emoji110]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…