Mkuu ubaguzi unaumiza ww hujui tu!
Mwaka fulani Nadhani 2009/10 nikiwa likizo niliwahi kutembelea vivutio kadhaa vya utalii mkoani kwangu. Nilipanda mlima Kilimanjaro nikiwa na wife na wadau wengine ninaofahamiana nao, ilikuwa ni kama trip ya kifamilia.
Tulienda pia mbuga na hifadhi kadhaa Arusha na Manyara.
Kimbembe ni wakati tunahitimisha tour yetu tuliamua kwenda waterfalls moja nzuri sana inaitwa Kinukamori Waterfalls ipo maeneo ya Marangu Mtoni.
Bhana tumefika pale tukapiga nyama choma, mbege ya kutosha iliyomixiwa na valeur na konyagi, tusker na kilimanjaro lager za kutosha. Hapo tupo maeneo ya receiption hatujashuka bado chini ambapo ndo falls ilipo na natural swimming pool ambayo imekuwa created na yale maji yanavyochimba pale chini.
Tulikuwa pia na familia ya Kimaro, Tarimo, Chacha nae alikuwepo alikuja na mimi Moshi kuja kujionea uzuri wa hii land.
Bhana wee, wenza na watoto wetu wakaanza kutangulia kushuka chini kwenye swimming pool , sisi tukaja nyuma tumebeba bia zetu za take away tukaendeleze vyombo huko huko.
Sasa kufika mle chini aisee tuliwakuta wahindi nao na familia zao wanakula bata, wengine wapo ufukweni wanakula matap tap yao wengine wamo kwenye maji wanaogelea, eti wenza na watoto wetu ile tu kuvua nguo na kuingia mle kwenye maji duh wamama wa kihindi wakang'aka kihindu na kutoka haraka kwenye maji sambamba na kuwatoa haraka sana watoto wao.
Baada ya kubaki wenyewe kwenye maji mimi nilikuwa nawaobsev wale wahindi mazungumzo yao japo sikuwa siwaelewi lugha ila kwa ulevi uliokuwa umeanza kuingia kichwani niliona fika kabisa wanatuteta na kututeta huko ni kutuzungumza vibaya, kana kwamba sisi ni vikaragosi, hatufai kuchanganyikana nao kwa swimming pool! What the fu*k! MIMI, MWAFRIKA, KWENYE ARDHI, NYUMBANI KWANGU NILIPOZALIWA NIBAGULIWE NA MGENI? HAPANA AISEE BADO MANGI!
Kilichofuata tulimuita meneja wa eneo lile tukampa dakika3 tu wale mbwa wawe wamefutika eneo lile otherwise tutawafanya ambacho hawatakaa wasahau afu tukienda huko Police tutajua namna ya kumalizana na blacks wenzetu kesi isiende mahakamani!
Chacha uvumilivu ulimshinda alitandika kofi kanjibai moja akasukuma yaondoke haraka yasituletee usenge nyumbani kwetu, huwezi kutubagua nyumbani kwetu afu tukuogope!
Tuliwatukana na kuwasukuma hvyo hvyo na vichupi vyao, hata hawakuvalia pale walipanda magari yao wakaenda kuvalia mbele