Vinicius Junior: La Liga imetawaliwa na ubaguzi wa rangi

Hivi ubaguzi unawezaje kuumiza mtu ?
Katika watu ambao wanakuwaga i don't care ni Mimi
Nimewahi kufanya kazi sehemu ambayo kulikuwa ubaguzi wa rangi wafanyakazi wenzangu walikuwa wana nitukana kila kukicha Wala sikuchukuwa mda Wangu kuwajibu Wala kuumizwa Na wanacho kisema nilipambana Na kazi yangu mpaka ikafika hatua wenyewe wakachoka Zao
Kwa hiyo Kuna mda chukulia ni kawaida tu wewe angalia malengo Yako tu wakutukane wanavyo jua wewe pambana tu hata sisi waafrika tunabaguana sisi kwa sisi Hakuna sehemu ambayo Kuna kosa ubaguzi duniani
Hujakutana na ubaguzi wewe wa kutupiwa ndizi na kuitwa nyani au watoto wa kihindi kujankukugusa ngozi waone kama umejipaka Rami au unawekewa chakula peke yako au pamoja na mbwa na paka. Sikia kwa watu tu na hata huko kazini hukubaguliwa.
 
Hivi ubaguzi unawezaje kuumiza mtu ?
Katika watu ambao wanakuwaga i don't care ni Mimi
Nimewahi kufanya kazi sehemu ambayo kulikuwa ubaguzi wa rangi wafanyakazi wenzangu walikuwa wana nitukana kila kukicha Wala sikuchukuwa mda Wangu kuwajibu Wala kuumizwa Na wanacho kisema nilipambana Na kazi yangu mpaka ikafika hatua wenyewe wakachoka Zao
Kwa hiyo Kuna mda chukulia ni kawaida tu wewe angalia malengo Yako tu wakutukane wanavyo jua wewe pambana tu hata sisi waafrika tunabaguana sisi kwa sisi Hakuna sehemu ambayo Kuna kosa ubaguzi duniani
Mkuu ubaguzi unaumiza ww hujui tu!

Mwaka fulani Nadhani 2009/10 nikiwa likizo niliwahi kutembelea vivutio kadhaa vya utalii mkoani kwangu. Nilipanda mlima Kilimanjaro nikiwa na wife na wadau wengine ninaofahamiana nao, ilikuwa ni kama trip ya kifamilia.

Tulienda pia mbuga na hifadhi kadhaa Arusha na Manyara.

Kimbembe ni wakati tunahitimisha tour yetu tuliamua kwenda waterfalls moja nzuri sana inaitwa Kinukamori Waterfalls ipo maeneo ya Marangu Mtoni.

Bhana tumefika pale tukapiga nyama choma, mbege ya kutosha iliyomixiwa na valeur na konyagi, tusker na kilimanjaro lager za kutosha. Hapo tupo maeneo ya receiption hatujashuka bado chini ambapo ndo falls ilipo na natural swimming pool ambayo imekuwa created na yale maji yanavyochimba pale chini.

Tulikuwa pia na familia ya Kimaro, Tarimo, Chacha nae alikuwepo alikuja na mimi Moshi kuja kujionea uzuri wa hii land.

Bhana wee, wenza na watoto wetu wakaanza kutangulia kushuka chini kwenye swimming pool , sisi tukaja nyuma tumebeba bia zetu za take away tukaendeleze vyombo huko huko.

Sasa kufika mle chini aisee tuliwakuta wahindi nao na familia zao wanakula bata, wengine wapo ufukweni wanakula matap tap yao wengine wamo kwenye maji wanaogelea, eti wenza na watoto wetu ile tu kuvua nguo na kuingia mle kwenye maji duh wamama wa kihindi wakang'aka kihindu na kutoka haraka kwenye maji sambamba na kuwatoa haraka sana watoto wao.

Baada ya kubaki wenyewe kwenye maji mimi nilikuwa nawaobsev wale wahindi mazungumzo yao japo sikuwa siwaelewi lugha ila kwa ulevi uliokuwa umeanza kuingia kichwani niliona fika kabisa wanatuteta na kututeta huko ni kutuzungumza vibaya, kana kwamba sisi ni vikaragosi, hatufai kuchanganyikana nao kwa swimming pool! What the fu*k! MIMI, MWAFRIKA, KWENYE ARDHI, NYUMBANI KWANGU NILIPOZALIWA NIBAGULIWE NA MGENI? HAPANA AISEE BADO MANGI!

Kilichofuata tulimuita meneja wa eneo lile tukampa dakika3 tu wale mbwa wawe wamefutika eneo lile otherwise tutawafanya ambacho hawatakaa wasahau afu tukienda huko Police tutajua namna ya kumalizana na blacks wenzetu kesi isiende mahakamani!

Chacha uvumilivu ulimshinda alitandika kofi kanjibai moja akasukuma yaondoke haraka yasituletee usenge nyumbani kwetu, huwezi kutubagua nyumbani kwetu afu tukuogope!

Tuliwatukana na kuwasukuma hvyo hvyo na vichupi vyao, hata hawakuvalia pale walipanda magari yao wakaenda kuvalia mbele
 
Ubaguzi upo, vini nimchezaji mzuri ila aache kucheza na majukwaa, ni mlalamishi mno
 
Ila tatizo ni mdomo wake, kwanini Rodrigo, Rudiger hawajawahi kutwa na hiyo kadhia?

Vini bado ana utoto na ubishi usio na sababu na ndo maana kila mechi lazima aliwe kadi.

Mi shabiki wa Madrid ila dogo huwa anazingua na ndo maana marefa humdunga kadi.
Huyu dogo tatizo lake ni kama aliamua kupigana hii vita peke yake, sasa anaona imeanza kumshinda, hao wajinga wanatakiwa kupuuzwa sio kuwaonesha unaona wanachokufanyia na kuwajibu, hapo anakuwa anaharibu.

Japo pia mamlaka ya mpira Spain inawalea sana hao wabaguzi, wanawapa adhabu ndogo sana pamoja na timu zao ndio maana hivi vitendo vya kijinga haviishi, dawa ni kuvifungia hivyo viwanja vyao wacheze bila mashabiki kama mechi tano hii tabia ingekwisha.
 
Hamjaelewa concept ya ubaguzi, mchezaji akijitapa na kujikuza ndio wanajaribu kumshusha chini kwa matusi na kejeli. Na sio tu kwa weusi hata Christiano alikua akizomewa na hao hao washabiki wa Real, Courtouis akikanyaga Atletico Madrid ni zomea zomea na matusi mechi nzima lakini sababu ni weupe hatuoni ni ubaguzi.

Waafrika tuache inferiority complex, hiyo tabia ya kucheza cheza akifunga, kujiangusha, kulia Lia na refa ndio inasababisha azomewe. Hiyo fact alipewa na "Koke" ila akaishia kuitwa mbaguzi.

So avune alichopanda. Ila kamwe huwezi sikia Tchouameni au Camavinga wanafanyiwa ubaguzi.
Hii sio inferiority complex, ni reality, wale jamaa wa Spain ni wabaguzi by nature, wameshawafanyia huo ushenzi wachezaji wengi sana wa kiafrika.

Mtu kama Etoo kwa mfano, walikuwa wakimbagua kwasababu tu alikuwa akiwatesa kwa magoli yake, wale jamaa ni wabinafsi sana zaidi ya ligi zote ulaya.
 
Huyu dogo tatizo lake ni kama aliamua kupigana hii vita peke yake, sasa anaona imeanza kumshinda, hao wajinga wanatakiwa kupuuzwa sio kuwaone&ha unaona wanachokufanyia na kuwajibu, hapo anakuwa anaharibu.

Japo pia mamlaka ya mpira Spain inawalea sana hao wabaguzi, wanawapa adhabu ndogo sana pamoja na timu zao ndio maana hivi vitendo vya kijinga haviishi, dawa ni kuvifungia hivyo viwanja vyao wacheze bila mashabiki kama mechi tano hii tabia ingekwisha.
Ujue Vini ndo aliwachokoza wakamtusi.
Yeye akipanikishwa ana react kwa kuwakera mashabiki.
Hebu tujiulize mbona Rodrigo, Rudiger, Mendy hawajakutana na hiyo kadhia?

Vini anapewa kadi kila mechi sababu ya upumbavu wake mwenyewe, akiguswa anaacha mpira refa anapeta, afu anamfata refa kumfokea, akipewa kadi watu wanasema kaonewa
 
Aliamua kujiweka mbele binafsi kwenye hii vita, sasa naona imeanza kumlemea, anatakiwa focus na mpira wake , kelele za mashabiki aachane nazo.

Wale mashabiki wana tabia ya kumtazama, wakiona amefanya ujuaji wake uwanja fulani, basi next week akienda uwanja mwingine nao wanamshambulia, akiwajibu hao, next week tena akienda uwanja mwingine anakutana na wengine...

Hii vita asingeiweza, anatakiwa kuachana na mashabiki acheze mpira, asilazimishe kuwa center of attention.
 
La Liga wajitafakari, watu wanasema kwanini kila siku Vini tu na sio weusi wengine. Hapohapo wajiulize kwanini haya matukio hayamtokei kwenye mechi za UEFA?!
Hispania kiujumla ni wabaguzi wa rangi kuliko Taifa lolote duniani.

Ndiyomaana hata nami huwa nashangaa Watu wanaojipendekeza kwa Pep Kiparangoto, lina ubaguzi kupita maelezo na lilibaguaga akina Samuel E'too na Yaya Toure.

2019 lilihamasishaga ubaguzi wa ile Catalonia kipindi kile wanataka wajitenge na nchi ya Hispania wakiamini wao ni sayari nyingine kabisa kwa utajiri wa rasilimali zao za madini na wingi wa Wachezaji bora wakidai bila wao basi Hispania haiwezi kuendelea kabisa kifedha.

Pep Kiparangoto lilisapoti huo upumbavu lilipigwa faini na FA maana kwa sheria za UK Kocha hatakiwi kujihusisha kivyovyote na maswala ya kisiasa.
 
Mimi ni shabiki wa RMA ila Vini kazingua sana kwani jana kwani mweusi alikua peke yake uwanjani? yule dogo ana mambo mengi yasiyo na faida huwezi kucheza kwenye pitch akili zipo jukwaani ! atulize akili acheze mpira ubaguzi siku hizi umepungua sana Italy na Germany ndio kulikua makao makuu ya ubaguzi lakini siku hizi hatusikii matukio .
Too much is harmful Ndugu, sasa inshu imemgusa hadi Kocha wake Carlo Ancelloti kaiona we ni nani hadi umwone Vinicius JR hakuwa sahihi?
 
Huyo ndio kidume wakiona wala ubabaiki na maneno yao wataacha lakini hii unaaza kuandika sijui social media ni utoto.
Wee umeenda huko kusakata kabumbu upate hela zako basi mambo yakusema unaenda sijui kubadilisha mitazamo ha watu huko ni kukengeushwa tuu
Watu wanatofautiana kiakili, kimtizamo, kiuelewa, kiutendaji, kimaamuzi na hata kiuwezo.

Usijumuishe uwezo wa maamuzi ya Dani Alves kwa Wachezaji wote ni ndoto ambayo haitawezekana miaka trillion ijayo.

Kiujumla Binadamu tumeumbwa tofauti.
 
Mkuu ubaguzi unaumiza ww hujui tu!

Mwaka fulani Nadhani 2009/10 nikiwa likizo niliwahi kutembelea vivutio kadhaa vya utalii mkoani kwangu. Nilipanda mlima Kilimanjaro nikiwa na wife na wadau wengine ninaofahamiana nao, ilikuwa ni kama trip ya kifamilia.

Tulienda pia mbuga na hifadhi kadhaa Arusha na Manyara.

Kimbembe ni wakati tunahitimisha tour yetu tuliamua kwenda waterfalls moja nzuri sana inaitwa Kinukamori Waterfalls ipo maeneo ya Marangu Mtoni.

Bhana tumefika pale tukapiga nyama choma, mbege ya kutosha iliyomixiwa na valeur na konyagi, tusker na kilimanjaro lager za kutosha. Hapo tupo maeneo ya receiption hatujashuka bado chini ambapo ndo falls ilipo na natural swimming pool ambayo imekuwa created na yale maji yanavyochimba pale chini.

Tulikuwa pia na familia ya Kimaro, Tarimo, Chacha nae alikuwepo alikuja na mimi Moshi kuja kujionea uzuri wa hii land.

Bhana wee, wenza na watoto wetu wakaanza kutangulia kushuka chini kwenye swimming pool , sisi tukaja nyuma tumebeba bia zetu za take away tukaendeleze vyombo huko huko.

Sasa kufika mle chini aisee tuliwakuta wahindi nao na familia zao wanakula bata, wengine wapo ufukweni wanakula matap tap yao wengine wamo kwenye maji wanaogelea, eti wenza na watoto wetu ile tu kuvua nguo na kuingia mle kwenye maji duh wamama wa kihindi wakang'aka kihindu na kutoka haraka kwenye maji sambamba na kuwatoa haraka sana watoto wao.

Baada ya kubaki wenyewe kwenye maji mimi nilikuwa nawaobsev wale wahindi mazungumzo yao japo sikuwa siwaelewi lugha ila kwa ulevi uliokuwa umeanza kuingia kichwani niliona fika kabisa wanatuteta na kututeta huko ni kutuzungumza vibaya, kana kwamba sisi ni vikaragosi, hatufai kuchanganyikana nao kwa swimming pool! What the fu*k! MIMI, MWAFRIKA, KWENYE ARDHI, NYUMBANI KWANGU NILIPOZALIWA NIBAGULIWE NA MGENI? HAPANA AISEE BADO MANGI!

Kilichofuata tulimuita meneja wa eneo lile tukampa dakika3 tu wale mbwa wawe wamefutika eneo lile otherwise tutawafanya ambacho hawatakaa wasahau afu tukienda huko Police tutajua namna ya kumalizana na blacks wenzetu kesi isiende mahakamani!

Chacha uvumilivu ulimshinda alitandika kofi kanjibai moja akasukuma yaondoke haraka yasituletee usenge nyumbani kwetu, huwezi kutubagua nyumbani kwetu afu tukuogope!

Tuliwatukana na kuwasukuma hvyo hvyo na vichupi vyao, hata hawakuvalia pale walipanda magari yao wakaenda kuvalia mbele
Hao Wahindi, Waarabu, Wahispania, Waitali ni wabaguzi hadi shetani mwenyewe anawashangaa.
 
Waje Epl ligi pendwa ina ahueni, ubaguzi upo ila hauwezi linganisha na ligi za Spain, German na Italy.

Akitaka asibaguliwe aende ligi ya France au Portugal
Hasa France. Kule weusi ni Deal.
 
Too much is harmful Ndugu, sasa inshu imemgusa hadi Kocha wake Carlo Ancelloti kaiona we ni nani hadi umwone Vinicius JR hakuwa sahihi?
Mimi ni mtu kama wewe, Carlo hawezi kumusema vibaya mchezaji wake mbale ya media ila huko ndani lazima watamwambia dogo acheze mpira aache mambo ya nje ya uwanja, pale Madrid kuna wachezaji wangapi weusi kwanini yeye kila siku?
 
Mkuu ubaguzi unaumiza ww hujui tu!

Mwaka fulani Nadhani 2009/10 nikiwa likizo niliwahi kutembelea vivutio kadhaa vya utalii mkoani kwangu. Nilipanda mlima Kilimanjaro nikiwa na wife na wadau wengine ninaofahamiana nao, ilikuwa ni kama trip ya kifamilia.

Tulienda pia mbuga na hifadhi kadhaa Arusha na Manyara.

Kimbembe ni wakati tunahitimisha tour yetu tuliamua kwenda waterfalls moja nzuri sana inaitwa Kinukamori Waterfalls ipo maeneo ya Marangu Mtoni.

Bhana tumefika pale tukapiga nyama choma, mbege ya kutosha iliyomixiwa na valeur na konyagi, tusker na kilimanjaro lager za kutosha. Hapo tupo maeneo ya receiption hatujashuka bado chini ambapo ndo falls ilipo na natural swimming pool ambayo imekuwa created na yale maji yanavyochimba pale chini.

Tulikuwa pia na familia ya Kimaro, Tarimo, Chacha nae alikuwepo alikuja na mimi Moshi kuja kujionea uzuri wa hii land.

Bhana wee, wenza na watoto wetu wakaanza kutangulia kushuka chini kwenye swimming pool , sisi tukaja nyuma tumebeba bia zetu za take away tukaendeleze vyombo huko huko.

Sasa kufika mle chini aisee tuliwakuta wahindi nao na familia zao wanakula bata, wengine wapo ufukweni wanakula matap tap yao wengine wamo kwenye maji wanaogelea, eti wenza na watoto wetu ile tu kuvua nguo na kuingia mle kwenye maji duh wamama wa kihindi wakang'aka kihindu na kutoka haraka kwenye maji sambamba na kuwatoa haraka sana watoto wao.

Baada ya kubaki wenyewe kwenye maji mimi nilikuwa nawaobsev wale wahindi mazungumzo yao japo sikuwa siwaelewi lugha ila kwa ulevi uliokuwa umeanza kuingia kichwani niliona fika kabisa wanatuteta na kututeta huko ni kutuzungumza vibaya, kana kwamba sisi ni vikaragosi, hatufai kuchanganyikana nao kwa swimming pool! What the fu*k! MIMI, MWAFRIKA, KWENYE ARDHI, NYUMBANI KWANGU NILIPOZALIWA NIBAGULIWE NA MGENI? HAPANA AISEE BADO MANGI!

Kilichofuata tulimuita meneja wa eneo lile tukampa dakika3 tu wale mbwa wawe wamefutika eneo lile otherwise tutawafanya ambacho hawatakaa wasahau afu tukienda huko Police tutajua namna ya kumalizana na blacks wenzetu kesi isiende mahakamani!

Chacha uvumilivu ulimshinda alitandika kofi kanjibai moja akasukuma yaondoke haraka yasituletee usenge nyumbani kwetu, huwezi kutubagua nyumbani kwetu afu tukuogope!

Tuliwatukana na kuwasukuma hvyo hvyo na vichupi vyao, hata hawakuvalia pale walipanda magari yao wakaenda kuvalia mbele
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] makubwaaaa
 
Hispania kiujumla ni wabaguzi wa rangi kuliko Taifa lolote duniani.

Ndiyomaana hata nami huwa nashangaa Watu wanaojipendekeza kwa Pep Kiparangoto, lina ubaguzi kupita maelezo na lilibaguaga akina Samuel E'too na Yaya Toure.

Lilihamasishaga ubaguzi wa ile Campenou kipindi kile wanataka wajitenge na nchi ya Hispania wakiamini wao ni sayari nyingine kabisa kwa utajiri wa rasilimali zao za madini na wingi wa Wachezaji bora wakidai bila wao basi Hispania haiwezi kuendelea kabisa kifedha.

Pep Kiparangoto lilisapoti huo upumbavu lilipigwa faini na FA maana kwa sheria za UK Kocha hatakiwi kujihusisha kivyovyote na maswala ya kisiasa.
Ila kweli Pep ni mbaguzi simpendii, kazima ndoto za sterling na Jesus.

Wahispania sijui wakojeeee, wanakeraaa mnooo
 
Watu wanatofautiana kiakili, kimtizamo, kiuelewa, kiutendaji, kimaamuzi na hata kiuwezo.

Usijumuishe uwezo wa maamuzi ya Dani Alves kwa Wachezaji wote ni ndoto ambayo haitawezekana miaka trillion ijayo.

Kiujumla Binadamu tumeumbwa tofauti.
Sawa ila mtazamo wake yeye hauna tija.
 
Back
Top Bottom