Vinyago/midoli vina roho

Hii kweli kabisa
 
Ulipo Ishia Ndio Ulipaswa Uanzie Hapo
Umetupa Mzigo wakutafuta Tusicho Kijua
 
Mbona ipo wazi kitambo tu, wengi hawana elimu kuhusu ulimwengu usioonekana unavyoathiri maisha yao. Midori sio ya kuweka kabisa nyumbani. Mimi huwa nachoma moto.
 
Thread 'Vinyago/midoli vina roho' Vinyago/midoli vina roho
 
Mbona ipo wazi kitambo tu, wengi hawana elimu kuhusu ulimwengu usioonekana unavyoathiri maisha yao. Midori sio ya kuweka kabisa nyumbani. Mimi huwa nachoma moto.
Kwani ni nani anayeifikisha hapo nyumbani kwako halafu wewe unaichoma moto?
 
Reactions: BRB
Ulaya hamna uchawi mkuu acha kutushika masikio
Uchawi upo duniani nzima sema afrika unaonekana zaidi kwa sababu waafrika wanafanya uchawi duni uchawi wa kimasikini black magic kumroga jirani yako kisa anakula nyama,au watoto wake wasisome.
Wazungu wanafanya white magic, uchawi baridi.Hata kwenye mambo ya intelligence au technology wanatumia Sana uchawi.
Achana na uchawi wa wivu wa maendeleo wa kiafrica huu ni duni sana kwa level za uchawi.
Wayahudi ndio wanaongoza kwa uchawi duniani na elimu nyingi sana za uchawi zimeanzia kwao kutokea middle east
 
Weka mifano hai basi.
 
Mtajua wenyewe na ushirikina wenu. Huniambii kitu kuhusu katedy bear kangu.
 
Tupunguze imani za kishirikina ndugu zangu, baada ya kuchoka kushikana uchawi sisi kwa sisi sasa tumehamia Ulaya.!
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Sisi wenyewe bado hatujamalizana jamaa amewahi tu kurukia ulaya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…