Ulweso
JF-Expert Member
- May 24, 2016
- 23,111
- 28,020
Hii kweli kabisawazazi wengi tunapenda kuwa nunulia watoto midori ya ya kucheza mara nyingi inapatikana kwenye masoko ya mitumba.
huko ilipotoka imebeba mambo mengi na inaweza kuwa imetumika kichawi kabisa.
kuna visa vingi japo vinapuuziwa kuhusu haya mamidori ila inawezekana vikawa kweli.