Vioja vya pombe kukolea kichwani, ngono zembe na ujasiri fake

Kuna siku ilkua kidogo niondoke na dem wa jamaa tena kwa kutumia gari yake [emoji28][emoji28]

Ilkua hivi pale tengeru Arusha Kuna sehemu kume waka iyo siku tumeenda na jamaa yangu .tume fika tume kaa hapo tuna kunywa taratibu me na mtindo wa K vant iki kolea na weka pilipili mzuka una panda.

Sasa kuna jamaa mwigine tuli mkuta alkua ame kaa pembeni yetu yuko na pisi yake ,alivyo ona meza yetu ina vibe afu hatuna fujo waka hamia apo .while tuna kunywa mdogo mdogo ,jamaa alivyo ona nme mix pili pili akaomba ajaribu kumbe ni kichwa cha kuku .

kilicho fata ni kelele tu jamaa alkua ana ng'ang'ania bia zote anywe yeye , dem wake nae kachangamka mimi sielewi hadi na romance na dem wa jamaa ye kakimbilia counter ukoo

kufupisha ni nilkua sha ondoka nae kabisa hadi kweny gari . sijui kili tokea nini tuka zima humo humo kwenye gari kati kati ya kuchombezana . asubuhi tuna amka tuko wote plus yule jamaa na mwanangu tume lala kwenye gari hadi leo sikumbuki wala jamaa angu akumbuki tuli fikaje wote mule [emoji28][emoji28]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umeniongezea neno hapa, ivi huwa wadada mnaogopa jamaa akiwa na mzigo mkubwa?
Maana mnachanganya hampendi kibamia na hapo hapo kuna manzi nilikua napanga nae match akaanza kuulizia kama unayokubwa mi hamna [emoji23][emoji23]
Ningejibu hili swali ila basi[emoji1787]
 
Kuna siku ilkua kidogo niondoke na dem wa jamaa tena kwa kutumia gari yake [emoji28][emoji28]

Ilkua hivi pale tengeru Arusha Kuna sehemu kume waka iyo siku tumeenda na jamaa yangu .tume fika tume kaa hapo tuna kunywa taratibu me na mtindo wa K vant iki kolea na weka pilipili mzuka una panda.

Sasa kuna jamaa mwigine tuli mkuta alkua ame kaa pembeni yetu yuko na pisi yake ,alivyo ona meza yetu ina vibe afu hatuna fujo waka hamia apo .while tuna kunywa mdogo mdogo ,jamaa alivyo ona nme mix pili pili akaomba ajaribu kumbe ni kichwa cha kuku .

kilicho fata ni kelele tu jamaa alkua ana ng'ang'ania bia zote anywe yeye , dem wake nae kachangamka mimi sielewi hadi na romance na dem wa jamaa ye kakimbilia counter ukoo

kufupisha ni nilkua sha ondoka nae kabisa hadi kweny gari . sijui kili tokea nini tuka zima humo humo kwenye gari kati kati ya kuchombezana . asubuhi tuna amka tuko wote plus yule jamaa na mwanangu tume lala kwenye gari hadi leo sikumbuki wala jamaa angu akumbuki tuli fikaje wote mule [emoji28][emoji28]
😂😂😂😂😂 hapo sasa kama jamaa angekua hajanywa asubuhi ungemka ukakuta amekupasulia yai kwenye makalio mpaka leo ungekua umeacha pombe
 
Wakuu, bila kupoteza wakati kuna haka ka kitu kanaitwa Mtungi, ama wanasema Bia tamu, Japo kiukweli mimi sijawah onja, ukiachilia mbali imani ya dini, ila kuna vioja ambavyo vinafanya Pombe niingalie tu.
Kama unakumbuka kioja chochote kilichotokea kwako au kwa jamaa aliekua tungi emu kishushe hapa.

1.Mimi, Nakumbuka kuna Manzi wakati naanza ujana nilivusha Manzi alikua ametokea kwenye sherehe kumbe alikunywa zile wisk za gharama ilikua ni hafla ya wakubwa, sasa yeye muda ule anafakamia kichwani haisikii kumbe ile muda unavyoenda ndo inakolea kichwani, Manzi kufika gheto yupo bwii, akaenda kuoga hapo mi najaindaa na show namfata bafuni namkuta kalala kwenye sink 😄, nilimtoa nikamuogesha nikamlaza sikula mbususu japo nilishindana sana na kichwa ya chini, Asubuhi anashtuka yupo uchi na akajua sikumgusa alinipenda yule mpake kesho maana aliona ni jamaa Gentle siri kwa kubaka.

Kisa cha pili
Bro wangu, hapo ndo nilijua sisi hatuna kichwa cha kunywa pombe kuna siku akajimix akapiga ulabu, alirudi home kajikojolea akataka kulala seblen, afu badala ya kwenda kwake anapoishi akaenda home kabisa kule kuna Bi mkubwa na sister, nasikia sister ndo alimpekela room, akamuacha vile vile badae pombe inaisha anajikuta home kitanda na nguo zinanuka mkojo.
Hii stor hataki kabisa kuizungumzia wala kumkumbushia.

3.Kuna stor kibao wana tukiwa tunasimliana unasikia jamaa baada ya kulewa alianzisha ugomvi...mwingine baada ya kulewa akatongoza mke wa mtu, basi ni balaa tupu, ila kubwa kuliko ni wale wa kuanzisha ugomvi huku hawawezi mikiki, na wale wa kwenda kulala na manzi bila kujali Afya, hizi sijashuhudia kwa macho yangu ila najua watu mnazo
Mkuu pombe sio Tatizo Tatizo ni mtu mwenyewe....

Pombe ikitumika Kwa kiasi huchangamsha na kuburudisha so mtailaumu bureee...
 
Ningejibu hili swali ila basi[emoji1787]
Hahah...msitufanyie hivyo emu tusanueni huwa ni nini? Maana huez amin manzi alikua very serious mpaka akata nimpigie picha aone kwanza, nikamkazia, na kule mwisho wa siku alishtukia kitu imo nadhani badae aliuliza kwani una miguu 3 😂😂😂
 
Mkuu pombe sio Tatizo Tatizo ni mtu mwenyewe....

Pombe ikitumika Kwa kiasi huchangamsha na kuburudisha so mtailaumu bureee...
Ivi pesa ipo, na vibe umezungukwa na wana mnapiga stor mdogo mdogo, unaeza kunywa kidogo kweli? Nahisi ni ngumu sana kutumia kiasi
 
Hahah...msitufanyie hivyo emu tusanueni huwa ni nini? Maana huez amin manzi alikua very serious mpaka akata nimpigie picha aone kwanza, nikamkazia, na kule mwisho wa siku alishtukia kitu imo nadhani badae aliuliza kwani una miguu 3 [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kuna siku ilkua kidogo niondoke na dem wa jamaa tena kwa kutumia gari yake [emoji28][emoji28]

Ilkua hivi pale tengeru Arusha Kuna sehemu kume waka iyo siku tumeenda na jamaa yangu .tume fika tume kaa hapo tuna kunywa taratibu me na mtindo wa K vant iki kolea na weka pilipili mzuka una panda.

Sasa kuna jamaa mwigine tuli mkuta alkua ame kaa pembeni yetu yuko na pisi yake ,alivyo ona meza yetu ina vibe afu hatuna fujo waka hamia apo .while tuna kunywa mdogo mdogo ,jamaa alivyo ona nme mix pili pili akaomba ajaribu kumbe ni kichwa cha kuku .

kilicho fata ni kelele tu jamaa alkua ana ng'ang'ania bia zote anywe yeye , dem wake nae kachangamka mimi sielewi hadi na romance na dem wa jamaa ye kakimbilia counter ukoo

kufupisha ni nilkua sha ondoka nae kabisa hadi kweny gari . sijui kili tokea nini tuka zima humo humo kwenye gari kati kati ya kuchombezana . asubuhi tuna amka tuko wote plus yule jamaa na mwanangu tume lala kwenye gari hadi leo sikumbuki wala jamaa angu akumbuki tuli fikaje wote mule [emoji28][emoji28]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ivi pesa ipo, na vibe umezungukwa na wana mnapiga stor mdogo mdogo, unaeza kunywa kidogo kweli? Nahisi ni ngumu sana kutumia kiasi
Trust me,

Unajua hata kula kupita kiasi linaweza likawa Tatizo...??

Miss use of Drugs sio nzurii,
mkuu kunywa ki staarabu Inawezekana trust me..................

Umenikumbusha zamani nyuma secondary school Kuna jamaa walifanya uvumbuzi......

Mtu anachukua Diazepam tabs vidonge 10 ana vichanganya kwenye POMBE (KIROBA) enzi zile ya virobaa.........

Alaf anakunywa mchanganyiko wake....
 
Trust me,

Unajua hata kula kupita kiasi linaweza likawa Tatizo...??

Miss use of Drugs sio nzurii,
mkuu kunywa ki staarabu Inawezekana trust me..................

Umenikumbusha miaka kadhaa nyuma secondary school.....

Mtu anachukua Diazepam tabs vidonge 10 ana vichanganya kwenye POMBE (KIROBA) enzi zile ya virobaa.........

Alaf anakunywa mchanganyiko wake....
Wataka kusema wewe ni mnywaji ila huwa unakunywa kwa kiasi hujawahi kulewa?
 
Mimi sio mnywaji Wala mlevi naongelea experience maana Nina ndugu jamaa na marafiki na hata mzee wangu alikua anakunywa sana na alikua na maendeleo 😊😊🤓🤓

Tatizo lipo Kwa mtu mwenyewe sio POMBE huko ulaya mbona wanakunywa sanaa lakini hawafanyi ujinga ujinga mwingi
 
Hm..sawa.
Umenikumbusha namimi mzee wangu alikua mnywaji mzuri tena anapiga hasa ila akija home huwezi muona anayumba yumba.
Macho yanakua nyanya tu.
Matukio yake sasa nisiyaseme kwa heshma yake. 😀
 
Back
Top Bottom