Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 11,640
- 24,066
Mimi mzee hakua mzinguaji....sikuwai muona akiyumba yumba pia..Hm..sawa.
Umenikumbusha namimi mzee wangu alikua mnywaji mzuri tena anapiga hasa ila akija home huwezi muona anayumba yumba.
Macho yanakua nyanya tu.
Matukio yake sasa nisiyaseme kwa heshma yake. 😀
Mother hakupenda kabisa na alikua anachukia sana unywaji NDIO kisa Cha Mimi kuchukua POMBE na sipendagi kabisa....