De Professor
JF-Expert Member
- May 21, 2021
- 237
- 505
Wakuu, bila kupoteza wakati kuna haka ka kitu kanaitwa Mtungi, ama wanasema Bia tamu, Japo kiukweli mimi sijawah onja, ukiachilia mbali imani ya dini, ila kuna vioja ambavyo vinafanya Pombe niingalie tu.
Kama unakumbuka kioja chochote kilichotokea kwako au kwa jamaa aliekua tungi emu kishushe hapa.
1.Mimi, Nakumbuka kuna Manzi wakati naanza ujana nilivusha Manzi alikua ametokea kwenye sherehe kumbe alikunywa zile wisk za gharama ilikua ni hafla ya wakubwa, sasa yeye muda ule anafakamia kichwani haisikii kumbe ile muda unavyoenda ndo inakolea kichwani, Manzi kufika gheto yupo bwii, akaenda kuoga hapo mi najaindaa na show namfata bafuni namkuta kalala kwenye sink 😄, nilimtoa nikamuogesha nikamlaza sikula mbususu japo nilishindana sana na kichwa ya chini, Asubuhi anashtuka yupo uchi na akajua sikumgusa alinipenda yule mpake kesho maana aliona ni jamaa Gentle siri kwa kubaka.
Kisa cha pili
Bro wangu, hapo ndo nilijua sisi hatuna kichwa cha kunywa pombe kuna siku akajimix akapiga ulabu, alirudi home kajikojolea akataka kulala seblen, afu badala ya kwenda kwake anapoishi akaenda home kabisa kule kuna Bi mkubwa na sister, nasikia sister ndo alimpekela room, akamuacha vile vile badae pombe inaisha anajikuta home kitanda na nguo zinanuka mkojo.
Hii stor hataki kabisa kuizungumzia wala kumkumbushia.
3.Kuna stor kibao wana tukiwa tunasimliana unasikia jamaa baada ya kulewa alianzisha ugomvi...mwingine baada ya kulewa akatongoza mke wa mtu, basi ni balaa tupu, ila kubwa kuliko ni wale wa kuanzisha ugomvi huku hawawezi mikiki, na wale wa kwenda kulala na manzi bila kujali Afya, hizi sijashuhudia kwa macho yangu ila najua watu mnazo