Vioja vya watoto wadogo (0-5years), tuambie vioja vya mwanao

Vioja vya watoto wadogo (0-5years), tuambie vioja vya mwanao

Kuna watu huwa wanakera sana kwa uharibifu wa ufupisho wa majina.
The Same na wakwangu ananiita baba malu Kama anavyoniita mama ake, kenyewe kanaitwa Marcus sasa kitaani wakalitohoa jina na kumuita malu kwa kifupi
 
Nina mjukuu(boy) yeye anapokuwa anakula/analishwa anafurahi sana akicheua na ataigilizia siku nzima
 
Lol! watu mnapenda watoto sana humu ndani, jamani duuu! lkn tatizo moja huu upendo mbona mingi midume? wadada sioni! na wao ndo kila kitu kwa mtoto? au maigizo?

Mimi ni mtoto pia jamani, Baba yangu ananipenda sana, ananipa Mafungu ya kukariri ya Biblia, tunacheza karata, mpira si kawaida, ila ngoma inaenda sambamba,

Anafurahi zaidi nikifahulu mitihani yangu, lazima anipe Gift voucher ya maana some times week1 kwenda Robo Wildlife Lodge, ananipendelea sana, mpaka nasema naaam! huyu kweli Baba.

Anajua kutabili shida zangu si kawaida kabla ya kusema lolote! amesha tatua, na lazima anipe mkwanja! naona kama nina bahati ya pekee sana kuwa na Baba km huyu, kuliko rafiki zangu nilio wahi kuwajua!
 
Mwanangu leo kanishangaza, tulikuwa tunaongea video call, baada ya kunisimulia alichojifunza leo,shangazi yake akanitania hongera mtoto kakua sasa anakuita baba, kwa vile hujaoa mpk sasa,ungekuwa huna wa kukuita baba, yeye akajibu angeitwa uncle 😀 nimebaki na mshangao mkubwa, ana miaka minne. Mwanangu anapenda sana kuangalia movie, yaani ukiweka movie hapo, anasahau hata kula, shida yake midori anaharibu alafu anaanza kutengeneza, kavunja ipad yake, gitaa ndogo na midori ya magari.
 
Mm nipo na mwanangu Wa 4.5 yrs ni shida hataki nimguse mama yake

Sasa cku moja nkajua kuwa ameshalala nkaanza kujilia vyangu na Mamake kumbe asimama atuangali mzee niliona aibu sana

Nkaanza kymkomalia alale mwenyw ila kuna wakat anaaigilizia sauti ya kelele za mama yake nkiwa nambandua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Panapo uhai nitarudi baada ya miezi kadhaa.. in sha allah[emoji1431] kuelezea vya mwanangu [emoji4]


Nimesoma comments zote’ aisee kuna watoto wanavituko’ ila naona wazazi wote waliocomment ni wanaenjoy hadi raha
Jaribu hata kupiga simu.Mimi nipo mbali lakini naweza kupiga video call ,tukafurahi na kufanya vituko pamoja.
 
mwanangu wa 3 years hapendi kula jamani, kamekonda Hatari. yaani ili ale inabidi kumpa zile dawa za appetite, nifanyeje apende kula
 
Nimesoma uzi wote nimejikuta natamani kuwa na mtoto , Lakini acha nipambane kwanza niweke maisha safi, Wakija wakute life liko powa, Wafurahie na mimi nifurahie uwepo wao Miaka 6 ijayo na mimi nitakuwa na chakuzungumzia
 
Kuna Chalii mmoja wa Sister 1.4 now
Kwanza hakutambaa hata kidogo , Kalivokuwa kadogo Kila muda yeye Ni kutabasamu, Kalipofokisha 6 months kakakataa nyonyo, 8months kakanza kutembea Kanapenda nyimbo ya Tekno woman sanaaa kalipokuwa kadogo kama kanalia ukikawekea Kanaacha kulia, Kanapenda Nyimbo Hizi hapa
Totori(Id cabasa Ft wizkid)
Rara(Tekno)
Yope remix
Inama
kadogo

Ukiweka Yope kanaanza kucheza

Neno lake la kwanza kuzungumz ni Acha maana Kalikuwa kakigusa Vitu Nakaambia kwa kunguruma, Sasa Hiyo siku Nikashika Simu Ya mama yake saa ngapi asiniambie kwa kukoroma Acha! i was amazed, Kananipenda mno

Before kaanze kuongea kakisikia njaa kataenda kubeba Chupa ya uji na feeding bottle kataleta, Katachukua kopo la maziwa katanletea then kananiangalia nakaandalia uji nakanywesha then Kakimaliza kanataka nikabebe then Kananikumbatia kwa nguvu( like thanks alot uncle)

Nakapenda mnoooo
 
wangu ana 1.8yrs, kwanza mpaka sasa bado ananyonya yaani nikifika home jioni kama yupo macho naingia kwa kujificha maana nikimbeba ni kilio cha kutaka kunyonya, lazima nioge kwanza ndo apate haki yake

Simu yangu imekuwa na alama kama ramani ya tanzania na kama anaangalia cartoon ukimnyanganya anaitupa chini😡😡😡

sasa hivi amefundishwa karate na kupiga sarakasi na kaka zake yaani akiwa anarusha ngumi sasa😂😂😂😂😂😂😂😂

anaita baba na dada kila kitu baba, baba naona mama bado muda wangu hujafika😍😍😍😍

nikiongea na Mr hata kama anacheza atakuja kukaa katikati yetu 😂😂😂😂😂😂😂

Nikiwa job huwa nammis sana vurugu zake, Love you son🥰🥰🥰🥰
 
alichomwaga ana kila kama ng'ombe
20200128_193703.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dogo wangu alikuwa na miaka 4 nadhani na alikuwa hajawahi kuona mtu mlemavu hasa wa miguu, tukapiahana na na mlemavu mmoja daaah Hilo swali sasaaa "Kaka D nini hiyooo..." huku anageuka kwa taharuki akidhani sio mtu ni nini hiyooo kaka D" aisee


Sent from Gnet Phone using JamiiForums
 
Dah hongereni akina baba kwa upendo wetu kwa watoto mimi ni baba wa watoto 2 kila mmoja ana vituko vyake huyu mkubwa sahv nikimuahidi kitu tu kila unikigeuka tu ninae watoto wangu wanaenjoy sana ninapotoka nao matembezini hasa ya mjini hawataki kuongozana na mama yao na nilishajuaga sababu mama yao mgumu sana kuwanunulia vitu wanavyopenda washanijuaga baba yao sibaniagi iliyopo mfukoni naenjoy sana kila ninapowaona ila wananipa shida ninapotoka kwenda kazini inaondoka kwa kutoroka hasa mdgo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom