Lol! watu mnapenda watoto sana humu ndani, jamani duuu! lkn tatizo moja huu upendo mbona mingi midume? wadada sioni! na wao ndo kila kitu kwa mtoto? au maigizo?
Mimi ni mtoto pia jamani, Baba yangu ananipenda sana, ananipa Mafungu ya kukariri ya Biblia, tunacheza karata, mpira si kawaida, ila ngoma inaenda sambamba,
Anafurahi zaidi nikifahulu mitihani yangu, lazima anipe Gift voucher ya maana some times week1 kwenda Robo Wildlife Lodge, ananipendelea sana, mpaka nasema naaam! huyu kweli Baba.
Anajua kutabili shida zangu si kawaida kabla ya kusema lolote! amesha tatua, na lazima anipe mkwanja! naona kama nina bahati ya pekee sana kuwa na Baba km huyu, kuliko rafiki zangu nilio wahi kuwajua!