Lee jumong
Member
- Nov 13, 2019
- 18
- 46
Mwisho ndio ume hitWatoto katika hatua zao za ukuaji na kujifunza wanakuwa na mambo flani flani ya kufurahisha sana yaani mwanao anaweza kukuvunja mbavu balaa.
Mfano
1. Mwanangu (1.5years) anaweza kuwa anatazama TV akisikia unaongea na simu au umeweka music kwenye simu anakimbia kuja kuangalia simu hata kama TV ilikuwa na TV program ya katuni nzuri kiasi gani[emoji23] [emoji23] [emoji23]
2. Ukitaka alale we nenda kitandani weka music kwenye simu yako atakuja mwenyewe hata kama alikuwa anakwepa kulala[emoji23]
3. Anaheshimu simu yangu kama kituo cha polisi ila ya mama yake kashaipasua ukiiona utajua mama yake anafanya kazi idara ya miamba (geology)[emoji23]
4.Kupenda safari akiona mtu anatoka tu anaanza kuaga bye bye akijua nayeye anahusika na safari[emoji23] [emoji23]
5. Chakula kikiwa tayari, kabla sijaitwa kula yeye akiona mambo yako tayari anakuja kunipigapiga mgongoni(hajajua kuongea) akiashiria msosi tayari basi ukipotezea anaenda anarudi mpaka utakapoinuka[emoji23] [emoji23]
6. Mwanangu anatabia flani kama wivu, akiona naongea na mama yake mara nimemshika mkono tunaongea kama jambo la siri anakuja fasta analia anataka mama yake ambembe[emoji23]
Nadhani hajajua kwamba mama yake ni mke wangu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hivi ni baadi ya vituko vya watoto mdau ongeza vya mwanao
Watoto wanaleta raha sanaaa

Chai maharage hii kaanza kuongea na miezi 8?????Nina mdogo wangu ana 3yrs Ke, she'svery smart aisee.. Ukimwita mtoto hataki anasema yeye ni mkubwa (kaanza kuongea ana miezi 8. Kaacha ziwa na waka 1.
Very bold and strong, anakwambia yeye hatakuja kuolewa.
Anaimba Yope yote na kuicheza.
Namkubali alivyo intelligent, nadhani atakua smart kuliko watoto wote nyumbani
Hii tabia yangu kabisa, maana Mama anasema niliacha kunyonya bado mdogo hata mwaka bado usiku kama sikula nikishtuka nadaiMtoto wangu wa 2 ana mwaka sahv ameacha kunyonya tangu akiwa na miezi 7 anapiga msosi bila shida ila ucku njaa ikimshika hata kama ni saa 8 kama hamkubakiza uji kwenye chupa mtapika anashika kitandani uelekeo jikoni
Sent using Jamii Forums mobile app
Jiwe meko pogba chatomanJembe langu lina miaka3,akimuona mtu flani akiongea kwenye tv,anakimbilia remote na kubadili chanel.Simply ana aleji naye.