Viongozi jifunzeni kutendea kazi hekima za wazee wakiwa bado hai, Ni aibu na unafiki kusubiri kumpongeza Mzee Warioba msibani

Amina
 
Subiri siku ya msiba watakavyo mpamba, aibu sana
 
Ulishaambiwa shimo la panya halifunikwi kwa kipande cha mkate, wakaenda mbali zaidi kwamba usiongee ukiwa na chakula mdomoni.
KOSA!

Kipande kile cha mkate kimewekwa pale maksudi, kikiwa na 'sumu ya panya'. Bado tu unaamini uongo wa kuambiwa?

Tena kama unaongea ukiwa na chakula mdomoni tayari, unao uhakika zaidi wa kuendelea kukifaidi, kwa sababu tayari kiko mdomoni. Shida ipo wapi hapo!
 

Kosa gani hapo? Maana yake usifunike shimo.la panya isipokua umedhamiria kumuua kwa kuweka sumu kwenye huo mkate.

Ukiwa unakula kuzungumza utashindwa kutafuna na unaweza kudondosha dondosha au wengine kukiona chakula mdomoni unapokua unafungua kinywa kwa kuongea badala ya kutafuna ikiwa umefunga kinywa.
 
Mkuu 'Monk', niliyachukulia maneno hayo uliyoandika kwa uzito mkubwa, nikielewa kuwa na wewe umeyatumia kwa uzito uleule yunayoyasimamia kwa maana yake halisi, kumbe wewe ulikuwa na maana nyepesi kiasi hicho?

Nilipoyaunganisha na jina lako la 'Monk', hapo nadhani ndipo nilipoanzia kukosea kwangu.
 

Jinsi unavyonitafsiri kwa ID yangu ni juu yako mkuu. Nilijibu kama ulivyouliza.

Lakini kwa ufupi, nilichoandika nilimaanisha viongozi wengi wapo kwa maslahi, njaa inawapofusha washindwe kutumia akili na utaalam wao ipasavyo.

Hata hivyo una haki na kila sababu ya kutoa maoni mkuu. And I think "The Monk" got nothing to do with this.
 
Ungekuwa na maana hiyo uliyoeleza hapa, nisingekujibu kabisa kama nilivyokujibu hapo mwanzo; kwa sabau hiyo ndiyo maana hasa niliyolenga kuipinga kwa vile inazuilika, kwa mfano wa hilo tundu la panya na mkate. Unaondoa huo mkate laini, unaweka wenye sumu..., utakuwa umeziba hilo tundu 'permanently'!

Kuhusu tafsiri ya jina, ni rahisi, inalalia kwenye 'historical characters' za watu wa aina hiyo, na mifumo ya mawazo yao; ndipo nikaunganisha na maneno hayo uliyotumia hapo, ambayo yanaakisi tabia za aina ya watu hao.
 
sahihi
 
Hahah
 
 
Hii thread Ni chungu kidogo Kama konyagi ila ndo hivo viongozi wetu wametuzoeza kutuambia uongo na wanataka tuukubali.mfano Magufuli alisema kbs eti hakuna corona aisee hata kama ndo kuwatoa watu hofu ila sio kihivo jamani..
Polepole
 
Mama amefanya Jambo jema kuwatembelea wazee wetu hasa hasa Jaji Warioba.Nadhani Kama alishauliwa kufanya hivi, basi waliomshauli wanaona mbali.
 
Mama amefanya Jambo jema kuwatembelea wazee wetu hasa hasa Jaji Warioba.Nadhani Kama alishauliwa kufanya hivi, basi waliomshauli wanaona mbali.
Kabisa kabisa
 
Unaamini tuna bunge halali hapa Tz kipindi hiki? Nihisi harufu ya uharo hapa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…