Ungekuwa na maana hiyo uliyoeleza hapa, nisingekujibu kabisa kama nilivyokujibu hapo mwanzo; kwa sabau hiyo ndiyo maana hasa niliyolenga kuipinga kwa vile inazuilika, kwa mfano wa hilo tundu la panya na mkate. Unaondoa huo mkate laini, unaweka wenye sumu..., utakuwa umeziba hilo tundu 'permanently'!
Kuhusu tafsiri ya jina, ni rahisi, inalalia kwenye 'historical characters' za watu wa aina hiyo, na mifumo ya mawazo yao; ndipo nikaunganisha na maneno hayo uliyotumia hapo, ambayo yanaakisi tabia za aina ya watu hao.