Viongozi jifunzeni kutendea kazi hekima za wazee wakiwa bado hai, Ni aibu na unafiki kusubiri kumpongeza Mzee Warioba msibani

Tujifunze kuwaombea watu wema na wenye nia njema kwa vizazi vya watu maskini :-

Tumuombee Mzee warioba Mungu ampe maisha marefu ashuhudie kazi yake aliyoifanya kwa uaminifu mkubwa na kwa kupigwa vita sana na makundi ya walevi wa madaraka.

Tumuombee msema kweli Antony Mtaka ,RC wa Dodoma.

Tumuombee msema kweli Antony Dialo.

Tumuombee msema kweli Dr. Bagonza askofu.

Tumuombee , Dr. Shoo

Tumuombee ,Freeman Mbowe.

Tumuombee, Jakaya Kikwete.

Tumuombee Husein Mwinyi rais wa SMZ.

Tumombe Mama Samia S.H Rais wetu.

Tumuombee katibu mkuu wa CCM.
Tumuombee Tundu Lisu.

Tumuombee J.Mbatia.

Tumuombe Mungu katiba mpya ipatikane ikiwa imebeba mustakabali mwema na ustawi wa Taifa letu sio vyama vya siasa na watawala.

Watawala wameshiba kwao katiba sio ishu ya msingi. La msingi kwao ni kuwatawala watu kirahisi kulitia dola na mgongo wa chama kisha wawarithishe watoto wao mali na madaraka.

Mungu ibariki Afrika
Amina
 
Wakati huu wapo hai, wanaongea hamuwasikilizi, wanashauri mmeziba masikio, wanapendekeza lakini mmeshupaza shingo!

Mtapata faida gani kutokusikiliza hitaji LA watu!

Viongozi wakuu mnachokifanya ni kama dereva na tairi!

Sisi wananchi ni matairi hivyo tunapitia msoto mkali sana kuwabeba nyinyi mlioko ndani ya AC!
Hamuwezi kujua joto la barabara!

Hapa duniani binadamu anapita tu, Mnaona fahari gani kuacha makovu mioyoni mwa watu wakati mmepewa mamlaka ya kuwasaidia?

Msisubiri hadi wazee waondoke ndipo muone busara zao wangali hawapo!
Jifunzeni kutumia busara za wazee wakiwa hai!

Kuliko unafiki misibani hautakuja kuwasaidia!!
Subiri siku ya msiba watakavyo mpamba, aibu sana
 
Ulishaambiwa shimo la panya halifunikwi kwa kipande cha mkate, wakaenda mbali zaidi kwamba usiongee ukiwa na chakula mdomoni.
KOSA!

Kipande kile cha mkate kimewekwa pale maksudi, kikiwa na 'sumu ya panya'. Bado tu unaamini uongo wa kuambiwa?

Tena kama unaongea ukiwa na chakula mdomoni tayari, unao uhakika zaidi wa kuendelea kukifaidi, kwa sababu tayari kiko mdomoni. Shida ipo wapi hapo!
 
Kosa gani hapo? Maana yake usifunike shimo.la panya isipokua umedhamiria kumuua kwa kuweka sumu kwenye huo mkate.

Ukiwa unakula kuzungumza utashindwa kutafuna na unaweza kudondosha dondosha au wengine kukiona chakula mdomoni unapokua unafungua kinywa kwa kuongea badala ya kutafuna ikiwa umefunga kinywa.
 
Mkuu 'Monk', niliyachukulia maneno hayo uliyoandika kwa uzito mkubwa, nikielewa kuwa na wewe umeyatumia kwa uzito uleule yunayoyasimamia kwa maana yake halisi, kumbe wewe ulikuwa na maana nyepesi kiasi hicho?

Nilipoyaunganisha na jina lako la 'Monk', hapo nadhani ndipo nilipoanzia kukosea kwangu.
 
Jinsi unavyonitafsiri kwa ID yangu ni juu yako mkuu. Nilijibu kama ulivyouliza.

Lakini kwa ufupi, nilichoandika nilimaanisha viongozi wengi wapo kwa maslahi, njaa inawapofusha washindwe kutumia akili na utaalam wao ipasavyo.

Hata hivyo una haki na kila sababu ya kutoa maoni mkuu. And I think "The Monk" got nothing to do with this.
 
Ungekuwa na maana hiyo uliyoeleza hapa, nisingekujibu kabisa kama nilivyokujibu hapo mwanzo; kwa sabau hiyo ndiyo maana hasa niliyolenga kuipinga kwa vile inazuilika, kwa mfano wa hilo tundu la panya na mkate. Unaondoa huo mkate laini, unaweka wenye sumu..., utakuwa umeziba hilo tundu 'permanently'!

Kuhusu tafsiri ya jina, ni rahisi, inalalia kwenye 'historical characters' za watu wa aina hiyo, na mifumo ya mawazo yao; ndipo nikaunganisha na maneno hayo uliyotumia hapo, ambayo yanaakisi tabia za aina ya watu hao.
 
Kuna watu wanafanya siasa kama ushabiki wa Mpira!

Mpira ni burudani lakini siasa ni maisha ya watu, hupaswi kushangilia jambo linalohusu maumivu ya watu na maisha yao, unaweza ukawa uko madarakani Leo lakini kizazi chako kipo, ndugu zako wapo wataendelea kuumia!
.
sahihi
 
KOSA!

Kipande kile cha mkate kimewekwa pale maksudi, kikiwa na 'sumu ya panya'. Bado tu unaamini uongo wa kuambiwa?

Tena kama unaongea ukiwa na chakula mdomoni tayari, unao uhakika zaidi wa kuendelea kukifaidi, kwa sababu tayari kiko mdomoni. Shida ipo wapi hapo!
Hahah
 
Ungekuwa na maana hiyo uliyoeleza hapa, nisingekujibu kabisa kama nilivyokujibu hapo mwanzo; kwa sabau hiyo ndiyo maana hasa niliyolenga kuipinga kwa vile inazuilika, kwa mfano wa hilo tundu la panya na mkate. Unaondoa huo mkate laini, unaweka wenye sumu..., utakuwa umeziba hilo tundu 'permanently'!

Kuhusu tafsiri ya jina, ni rahisi, inalalia kwenye 'historical characters' za watu wa aina hiyo, na mifumo ya mawazo yao; ndipo nikaunganisha na maneno hayo uliyotumia hapo, ambayo yanaakisi tabia za aina ya watu hao.
 
Hii thread Ni chungu kidogo Kama konyagi ila ndo hivo viongozi wetu wametuzoeza kutuambia uongo na wanataka tuukubali.mfano Magufuli alisema kbs eti hakuna corona aisee hata kama ndo kuwatoa watu hofu ila sio kihivo jamani..
Polepole
 
Wakati huu wapo hai, wanaongea hamuwasikilizi, wanashauri mmeziba masikio, wanapendekeza lakini mmeshupaza shingo!

Mtapata faida gani kutokusikiliza hitaji LA watu!

Viongozi wakuu mnachokifanya ni kama dereva na tairi!

Sisi wananchi ni matairi hivyo tunapitia msoto mkali sana kuwabeba nyinyi mlioko ndani ya AC!
Hamuwezi kujua joto la barabara!

Hapa duniani binadamu anapita tu, Mnaona fahari gani kuacha makovu mioyoni mwa watu wakati mmepewa mamlaka ya kuwasaidia?

Msisubiri hadi wazee waondoke ndipo muone busara zao wangali hawapo!
Jifunzeni kutumia busara za wazee wakiwa hai!

Kuliko unafiki misibani hautakuja kuwasaidia!!

"Kilio cha warioba nikuona katiba mpya inayotibu kiu ya wanainchi ili kila mtu afurahie keki ya taifa*"
Mama amefanya Jambo jema kuwatembelea wazee wetu hasa hasa Jaji Warioba.Nadhani Kama alishauliwa kufanya hivi, basi waliomshauli wanaona mbali.
 
Kabisa kabisa
 
Katiba haidaiwi na chama/cdm au mtu/warioba mzee na siyo swala la kisiasa bali la kijamii.

Kama jamii yenyewe haioni ukuhimu wa katiba mnajisumbua tu.

Uhitaji wa katiba ukifika kijamii wala hauhitaji nguvu nyingi kama unazotumia bali utaona watu wakihamasika wenyewe.

Swala la katiba mpya ni kitu mtambuka lakini pia sababu za kudai katiba ni swala mtambuka.

Kama katiba iliyopo imewashinda kuiheshimu hata mpewe msahafu au biblia bado haifai kitu.

Huto walioba na wenzie ni unafiki tu kwani siku zote wamekuwa wakoapa kupitia katiba hiyohiyo mbovu na hata cdm nai wanaapa kupitia katiba hiyohiyo kwaniji hawakuigomea hadi ibadilishwe ndiyo waape?

Sababu za kudai katiba kubwa kwa cdm na warioba ni NJAA ambayo jamii haioni umuhimu wake kabisaaaa na ndiyo maana imeekaa kimya tu.

Bunge ndiyo la kusimamia mchakato wa katiba mpya siyo cdm wala walioba kama wabunge hawalo tayari ni kazi bure
Unaamini tuna bunge halali hapa Tz kipindi hiki? Nihisi harufu ya uharo hapa!
 
Back
Top Bottom