Mr Dudumizi
JF-Expert Member
- Sep 9, 2020
- 7,799
- 14,215
Kundi la nyumbu ambalo limejaa humu na kwenye vilabu vya gongoTundu alishawahi kuongoza nini [emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kundi la nyumbu ambalo limejaa humu na kwenye vilabu vya gongoTundu alishawahi kuongoza nini [emoji23]
Baadhi yaliyokuwemo katika utawala wa MwinyiMleta mada ni mzaliwa wa miaka ya 90 ukijumlisha na matango pori aliyolishwa huko alipoandikia uzi huu, ndio maana hakuweza kuuona mchango wa Mwinyi. Hapo ilitakiwa Mwinyi awe nafasi ya pili kwa vile ya kwanz siku zote huwa anapewa Nyerere. Mkapa angepokezwa kijiti na Nyerere huenda mpk miaka ya 2000 watu wangekuwa bado wanapiga miswaki ya miti, wanafulia majani ya mipapai, redio au taarifa ya habari watu wangekuwa bado wanaenda kusikiliza kwa mjumbe, chai ya mkono mmoja nk. Mkapa alikuwa na chembe chembe ya utawala wa Nyerere kwahiyo mengi ambayo angeyakuta kwa Nyerere na yeye angeyafanya yale yale au kwa lugha nyingine angetawala kwa style ile ile ya Nyerere. Ndo maana nasema Mkapa leo kuonekana amefanya mazuri ni kwa sababu alikuta Mwinyi ashamtengenezea na kumpa yeye amalizie vichache vilivyobaki
Kilichomfanya mleta mada asimuweke salim ktk list yake nafikiri (1) dini yake (2) uzanzibar wake. Angekuwa dini moja na mleta mada basi tungemuona akishika hata nafasi aliyompachika Chifu MkwawaNashangaa, huyo Salim Ahned Salim hatajwi tajwi, sijui kwa vile VIJANA WA LEO hawakushuhudia utumishi wake!?
Hata Nyerere alikuwa anamkubali sana, mpaka kufikia kupewa Uwaziri Mkuu. (Kwa vile ni Mzanzibari, sijui kama alistahili kuwa Waziri Mkuu wa JMT! )
Huyo namba 3 mtoe hapo , hastahili , kumuacha hapo ni kumkufuru Mungu , jiangalieSi mchezo
1) azimio la Arusha ndio iliyokuwa sababu ya watanzania kutoka katika maisha ya kawaida na kuanza kuishi maisha ya umasikini wa kutupwa. 2) Mfumo wa vyama vingi uliondolewa na huyo huyo Nyerere unaesema aliongoza 20% ya watanzania kudai demokrasia, lengo la Nyerere kuondoa demokrasia ilikuwa ni kutaka kuiongoza Tanzania kwa mawazo yake yeye, inamaana hata akikosea kama binadam asiwepo mtu mungine wa kumkosoa. 3) sipingani na ww. 4) Hata wakati wa Nyerere walanguzi wengi walineema kwa kuiibia serikali na kuja kuwauzia watu mitaani ilikuwa hauwezi kula milo mitatu bila kujigusa mfukoni, kwahiyo wenye pesa zao hawakwenda kupanga folen bali waliletewa majumban na walanguzi, Mwinyi alipoingia madarakan alianza kwanza kukomesha hawa walanguzi kwa kuanzisha "fagio la chuma" ambapo walanguzi wengi walikamatwa, walifungwa na wengine kutoroka nchi. 5) Muungano huwa unapata misuko suko awamu zote hata wakati wa Nyerere, uliza kuhusu mzee Jumbe utaambiwa. 6) Sarafu kushushwa thaman huku wananchi wakipata mahitaji yao ya msingi kama chakula, madawa, nguo nk sioni tatizo, hauwezi kuacha mtoto wako afe na njaa au magonjwa eti kwa kuogopa kushushiwa hela yako thamani. 7) Unasema pesa ikawa rahisi kupatikana, biashara kedekede, watu wakawa na fedha kuliko serikali yao, wakati huo serikali ilikuwa inakusanya sh bilion 25 kwa mwezi.. lkn umeshindwa kujua kwamb kabla ya Mwinyi hela haikupatikana kirahisi, biashara haikuwepo kedekede, na watu hawakuwa na fedha kuliko serikali. Lkn bado Mwinyi alipoingia alikuta hazina nyeupee yan serikali haina pesa hata kidogo na ndio sababu ilisababisha Nyerere akoswe koswe kupinduliwa (au haulijui hili la kupinduliwa?) 8) Hili sina uhakika nalo huenda ni kweli au ni propaganda tu zile zile za kumchafua Mwinyi. 9) Hapa kuna ukweli. 10) Kweli. 11) Mi nafikiri kwa kiasi kikubwa aliheshimika tu kama baba wa taifa lkn angekuwa na nguvu kama hii unayoisema hapa sidhani kama Mwinyi angeweza kuyafanya yale aliyoyakataa Nyerere. 12) Chakula kilianza kuingia kwa wingi wakati wa utawala wa Mwinyi, afu useme eti shule zilifungwa tu kipindi chake kwa kukosa chakula!! Hii bila shaka ni zile zile propaganda za kuchukua mabaya ya Nyerere kumtwisha Mwinyi na kuchukua mazuri ya Mwinyi kupewa Mkapa. 13) Vitu hupanda kutokana na wakati, hata ww hapo ulipo bei ya kiatu au kitanda uyonunulia leo haiwezi kuwa sawa na bei ya kiatu au kitanda uliyonunulia mwaka 2005 uliyonunulia mwaka, pia bei ya ada ya sekondari wakati wa utawala wa Mwinyi au Mkapa haiwezi kuwa sawa na hii ya leo ya utawala wa raisi Samia. 14) Haya ni maneno ya mitaani yasikupe shida kijana. 15) Hizi ni propaganda tu.. Nyerere aliona Mwinyi ashafanya mambo mengi ya kiubinadam na kiutu ktk kuinua nchi kwahiyo akahofia asije akapoteza heshima kwa kuonekana yeye(Nyerere) hajafanya chochote cha maana kwa wananchi wake. Ndo akaja na propaganda za kumchafua chafua kwa kila baya au zuri alilolifanya ilimradi watu wasione mema ya Mwinyi, na kweli kwa 90% kafanikiwa.Baadhi yaliyokuwemo katika utawala wa Mwinyi
1. Azimio la Arusha la mwaka 1967 la ujamaa na kujitegemea liliwekwa kando na Azimio la Zanzibar la 1992 la soko huria (Ruksaa)
2. Mfumo wa chama kimoja (1965/1977) uliondolewa na kuwekwa mfumo wa vyama vingi (1992). Wanachi 20%, wakiongozwa na Baba wa Taifa Mwl Nyerere, wakiukubali huku 80% wakiukataa.
3. Kiliundwa cheo kisicho cha kikatiba cha naibu waziri mkuu na wakati huo alikuwa Lyatonga Mrema.
4. Viongozi na familia zao, wakageuka kuwa wafanya biashara wakubwa na wasiolipa kodi. Rasilimali za nchi zikaanza kutoroshwa nje kama dhahabu iliyokamatwa airpoti ya JNIA.
"Ikulu isigeuzwe pango la wanyanganyi"(NYERERE).
5. Muungano ulipata msukosuko mkubwa haswa kwa kitendo cha Zanzibar kutaka kujiunga na umoja wa nchi za kiislam (OIC) na vuguvugu la kutaka kujitenga la G55.
6. Sarafu ya shilingi ikashushwa thamani kufuatia maelekezo ya IMF na tukaanza kuona noti mpya za shilingi 200, 500, 2000, 5000 na 10000 zinazodunda hadi leo.
7. Pesa ikawa rahisi kupatikana, biashara kedekede, watu wakawa na fedha kuliko serikali yao. Wakati huo serikali ilikuwa inakusanya Shilingi bilioni 25 kwa mwezi.
8. Wanyama mwalimu aliocha Ikulu kama Swala, Mbuni na Tausi wakaanza kupungua kwa kasi.
9. Wafanya biashara wakubwa kina Bakhresa, Mengi na Raza wakaibuka kipindi hiki.
10. Vyombo huru vya habari, TV, Radio Fm na Magazeti vikashamiri.
11. Mwalimu Nyerere akawa raisi mstaafu mwenye nguvu na ushawishi mkubwa, huku akisimama na kukemea mambo mbalimbali aliyoyaona hayapo sawa
12. Shule za Sekondari za serikali zilikuwa zinafungwa mara wa mara kwa kukosa chakula.
13. Ada ya shule za Sekondari ya Serikali ilipanda kutoka elfu nne hadi nane kwa mwaka.
14. Michael Jackson alitembelea Tanzania huku kajifunika puani kuzuia harufu mbaya na vumbi la Dar es salaam na alifika hadi Ikulu wakati huo Ikulu hakuna masofa [emoji3]
15. Nyerere alimuita Rais Mwinyi ni dhaifu ukiangalia kwenye kitabu cha Mwl Nyerere cha Uongozi wetu na Hatima ya Tanzania cha Mwaka 1994 ukurasa wa 66 Mwl aliandika hivi Nanukuu "Rais Mwinyi ni mtu mwema na mpole lakini ni kiongozi dhaifu; na upole wake na udhaifu wake unatumiwa na watu ambao sio wema"
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Mtaje hata CEO mmoja ambaye amekuwa na Influence/Ushawishi mkubwa na kuacha alama katika Jamii ya watanzania iliyobadilisha fikra na mitazamo na kuweka misingi ya jamii/nchi ya Tanzania katika historia. Shida ya Business magnate na hao CEO's ni kwamba wapo hapo kimaslahi ya biashara zaidi.They are not there to serve society ndio maana Legacy zao huwa zinatoweka mapema katika jamii.Mfano Bwana Abushiri, Tajiri na mfanyabiashara mashuhuri kama asingeshirikiana na Mkwawa katika mapambano ya kudai uhuru wa watanganyika huenda leo hii tusingemkumbuka pamoja na utajiri wake.Mara nyingi Legacy ya mtu huachwa kwa kujitoa kwake katika mambo yanayowagusa wanajamii moja kwa moja.Kwani kuwa kiongozi ni lazima uwe mwanasiasa?
Mbona list haina CEO, Labour Union leader, religious leader, military leader, business magnate, social movement leader, etc.
Sidhani kama hoja yako ina mashiko mkuu, Mkwawa alikuwa dini gani? Alikuwa Mzanzibari au Mtanganyika? Mwinyi pia alikuwa dini gani?Kilichomfanya mleta mada asimuweke salim ktk list yake nafikiri (1) dini yake (2) uzanzibar wake. Angekuwa dini moja na mleta mada basi tungemuona akishika hata nafasi aliyompachika Chifu Mkwawa
Nitarejea kwako mkuu1) azimio la Arusha ndio iliyokuwa sababu ya watanzania kutoka katika maisha ya kawaida na kuanza kuishi maisha ya umasikini wa kutupwa. 2) Mfumo wa chama kimoja uliondolewa na huyo huyo Nyerere unaesema aliongoza 20% ya watanzania kudai demokrasia, lengo la Nyerere kuondoa demokrasia ilikuwa ni kutaka kuiongoza Tanzania kwa mawazo yake yeye, inamaana hata akikosea kama binadam asiwepo mtu mungine wa kumkosoa. 3) sipingani na ww. 4) Hata wakati wa Nyerere walanguzi wengi walineema kwa kuiibia serikali na kuja kuwauzia watu mitaani ilikuwa hauwezi kula milo mitatu bila kujigusa mfukoni, kwahiyo wenye pesa zao hawakwenda kupanga folen bali waliletewa majumban na walanguzi, Mwinyi alipoingia madarakan alianza kwanza kukomesha hawa walanguzi kwa kuanzisha "fagio la chuma" ambapo walanguzi wengi walikamatwa, walifungwa na wengine kutoroka nchi. 5) Muungano huwa unapata misuko suko awamu zote hata wakati wa Nyerere, uliza kuhusu mzee Jumbe utaambiwa. 6) Sarafu kushushwa thaman huku wananchi wakipata mahitaji yao ya msingi kama chakula, madawa, nguo nk sioni tatizo, hauwezi kuacha mtoto wako afe na njaa au magonjwa eti kwa kuogopa kushushiwa hela yako thamani. 7) Unasema pesa ikawa rahisi kupatikana, biashara kedekede, watu wakawa na fedha kuliko serikali yao, wakati huo serikali ilikuwa inakusanya sh bilion 25 kwa mwezi.. lkn umeshindwa kujua kwamb kabla ya Mwinyi hela haikupatikana kirahisi, biashara haikuwepo kedekede, na watu hawakuwa na fedha kuliko serikali. Lkn bado Mwinyi alipoingia alikuta hazina nyeupee yan serikali haina pesa hata kidogo na ndio sababu ilisababisha Nyerere akoswe koswe kupinduliwa (au haulijui hili la kupinduliwa?) 8) Hili sina uhakika nalo huenda ni kweli au ni propaganda tu zile zile za kumchafua Mwinyi. 9) Hapa kuna ukweli. 10) Kweli. 11) Mi nafikiri kwa kiasi kikubwa aliheshimika tu kama baba wa taifa lkn angekuwa na nguvu kama hii unayoisema hapa sidhani kama Mwinyi angeweza kuyafanya yale aliyoyakataa Nyerere. 12) Chakula kilianza kuingia kwa wingi wakati wa utawala wa Mwinyi, afu useme eti shule zilifungwa tu kipindi chake kwa kukosa chakula!! Hii bila shaka ni zile zile propaganda za kuchukua mabaya ya Nyerere kumtwisha Mwinyi na kuchukua mazuri ya Mwinyi kupewa Mkapa. 13) Vitu hupanda kutokana na wakati, hata ww hapo ulipo bei ya kiatu au kitanda uyonunulia leo haiwezi kuwa sawa na bei ya kiatu au kitanda uliyonunulia mwaka 2005 uliyonunulia mwaka, pia bei ya ada ya sekondari wakati wa utawala wa Mwinyi au Mkapa haiwezi kuwa sawa na hii ya leo ya utawala wa raisi Samia. 14) Haya ni maneno ya mitaani yasikupe shida kijana. 15) Hizi ni propaganda tu.. Nyerere aliona Mwinyi ashafanya mambo mengi ya kiubinadam na kiutu ktk kuinua nchi kwahiyo akahofia asije akapoteza heshima kwa kuonekana yeye(Nyerere) hajafanya chochote cha maana kwa wananchi wake. Ndo akaja na propaganda za kumchafua chafua kwa kila baya au zuri alilolifanya ilimradi watu wasione mema ya Mwinyi, na kweli kwa 90% kafanikiwa.
Kima wewNa wote wamekufa?. Malipo ni hapa hapa dunian watendeee wema binadamu wenzio bila dhuluma utaishi umri mrefu
Ni kwa vile mwanzo wa uzi wako ulikuwa haujamuweka kiongozi hata mmoja wa dini ile, japo wapo waliofanya mazuri zaidi ya baadhi ya uliyowaweka hapa (mmoja wao ni Mwinyi) ndio maana ikaonekana kama huu uzi umekaa kidini. Wengi tulishangaa uzi kujaa hadi machifu wa makabila kama Mkwawac, huku ukiacha viongozi wa kitaifa na waliolifanyia makubwa taifa hili kama vile mzee Mwinyi. Hata Mkapa uliemuweka humu alikuta kila kitu kishasetiwa na Mwinyi alichofanya yeye ni kutelezea mle mle alipoishia Mwinyi, lkn kwa vile ni dini yetu ulimuweka yeye (Mkapa) na kumuacha mzee Mwinyi mpk pale tulipokusahihishaSidhani kama hoja yako ina mashiko mkuu, Mkwawa alikuwa dini gani? Alikuwa Mzanzibari au Mtanganyika? Mwinyi pia alikuwa dini gani?
Sidhani kama hoja yako ina mashiko mkuu, Mkwawa alikuwa dini gani? Alikuwa Mzanzibari au Mtanganyika? Mwinyi pia alikuwa dini gani?
Ok kakaNitarejea kwako mkuu
Kwann mkuu mbn nilikuona unapiga picha juu ya daraja la ubungo? Au ndo umefata ule msemo wa "baniani mbaya, kiatu chake kizuri"!Huyo namba 3 mtoe hapo , hastahili , kumuacha hapo ni kumkufuru Mungu , jiangalie
Kuna wasauzi hapa wanakwambia Magufuli kafanya mambo makubwa zaid ya aliyoyafanya dingi wao wa taifa. They say..dingi he did nothing for themNa Magufuli nae Ni kiongozi bora! Umev urugwa wewe
KNa Magufuli nae Ni kiongozi bora! Umevurugwa wewe
Kitanda usichokilalia huwezi jua kunguni wakeKuna wasauzi hapa wanakwambia Magufuli kafanya mambo makubwa zaid ya aliyoyafanya dingi wao wa taifa. They say..dingi he did nothing for them
K
Tanzania imebahatika kuwa moja ya nchi iliyopata kuwa na viongozi bora kabisa Afrika na hata duniani kwa ujumla.Viongozi hao wamepata kuwa na mchango mkubwa Tanzania na hata kwa bara la Africa. Tunaona mifano ya Mwl. Julius Kambarage Nyerere ambaye amepigania uhuru si kwa nchi ya Tanzania tu bali amekuwa na mchango mkubwa katika harakati za uhuru kwa nchi jirani kama Afrika Kusini, Zambia na Msumbiji.
Tanzania pia imepata kuwa na wanaharakati na wapigania uhuru mahiri walioweza kuitwaa nchi kutoka katika kucha za wakoloni. Tunaona wapigania uhuru na wanaharakati kama Kinjekitile Ngwale, Bwana Abushiri na Bibi Titi Mohammed. Viongozi kama Mtemi Isike, Chifu Mirambo, Mangi Meli na wengineo wengi ambao walikuwa viongozi wa kimila walikuwa mstari wa mbele katika mapambano ya uhuru na hatimaye kuikomboa na kutupatia Tanzania hii tunayoifurahia leo.
Bila kupoteza muda, Naomba niweke orodha fupi ya viongozi waliopata kuongoza Tanzania walioacha alama kubwa na historia ya kipekee kwa ubora wao na uwezo wao wa kiuongozi ambao pasi na shaka uliacha alama kubwa kwa watanzania.
Kwa sasa nitaweka orodha tu kwa kifupi ila nitarejea kuelezea kila mmoja kwa undani zaidi.Pamoja na kuongeza orodha mpaka kufikia kumi (10) Bora.
Updates; Moderators naomba mnibadilishie Title iwe Kumi (10) Bora badala ya Tatu (3) Bora. Ahsante
Viongozi Kumi (10) bora kuwahi kuwepo Tanzania.
1. Mwl.Julius Kambarage Nyerere (Rais wa kwanza wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania)
View attachment 1752017
2. Edward Moringe Sokoine ( Waziri Mkuu wa Tanzania 1977–1980 na 1983 - 1984)
View attachment 1752018
3. John Pombe Magufuli (Rais wa Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania)
View attachment 1752024
4. Chief Mkwavinyika Munyigumba Mwamuyinga (Mkwawa) - Chifu wa kabila la Wahehe
View attachment 1752828
5. Benjamin William Mkapa (Rais wa Tatu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania)
View attachment 1752030
6. Rashidi Mfaume Kawawa ( "Simba wa Vita" - Waziri mkuu wa Tanzania 1972 - 1977" )
View attachment 1752641
7.Ali Hassan Mwinyi ( Rais wa Pili wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 1985 - 1995 )
View attachment 1752648
NB; Inaendelea...
😆😆😆Kitanda usichokilalia huwezi jua kunguni wake
Umesoma vizuri comment za watu humu ukapata darsa kuhusu hao unaowakataa au umeona tu picha zao ukatoa hukumu?Kwa #3, #4 na #7 nakukatalia mapema.