Naantombe Mushi πππKenya na Rwanda kuna saa wanajiona washakuwa wazungu...
Hizi nchi mbili na wananchi wao wamekuwa na dharau sana miaka ya hivi karibuni.. Ndo wanasababisha EAC inakuwa na mambo ya ajabu ajabu.
Kwa wakenya wana haki ya kujiona hivyo, kwani ni mambo mengi wanafanya kama wazungu(AKILI KUBWAZ)ambayo kwa wafrika wengi hatuyawezi!!ndio maana hata rais wao anakuwa simple tu kwa wananchi wake, tofauti na nchi zote za kiafrika!!mwananchi yupo huru kuikosoa serikali , kwani anajua katiba ina mlinda, na mahakama ipo huru.ki ukweli KENYA ipo level nyingine kabisa na mi nchi yote ya kiafrika.Na hicho ndicho kinapelekea TZ, kuwaogopa sana kwenye EAC, japo uoga huo hauwezi kutusaidia sana.Kenya na Rwanda kuna saa wanajiona washakuwa wazungu...
Hizi nchi mbili na wananchi wao wamekuwa na dharau sana miaka ya hivi karibuni.. Ndo wanasababisha EAC inakuwa na mambo ya ajabu ajabu.
HahahahahaHauna uzoefu kwenye bangi seems
Punguza
Uliposema inazidi nchi zote za Afrika ndipo nilipokuoba wakujaKwa wakenya wana haki ya kujiona hivyo, kwani ni mambo mengi wanafanya kama wazungu(AKILI KUBWAZ)ambayo kwa wafrika wengi hatuyawezi!!ndio maana hata rais wao anakuwa simple tu kwa wananchi wake, tofauti na nchi zote za kiafrika!!mwananchi yupo huru kuikosoa serikali , kwani anajua katiba ina mlinda, na mahakama ipo huru.ki ukweli KENYA ipo level nyingine kabisa na mi nchi yote ya kiafrika.Na hicho ndicho kinapelekea TZ, kuwaogopa sana kwenye EAC, japo uoga huo hauwezi kutusaidia sana.
Mkuu siku zote kumchukia aliyekuzidi, hakukufanyi uwe sawa naye!!!ungekuwa una uhakika na unachokisema ungetaja na hizo nchi, ili kujenga hoja yako.Wao toka miaka hiyo walishajengewa akili ya udadisi, wakati wewe unajengewa akili za uoga na za roho mbaya, ya kumuona aliyekuzidi uwezo ndio adui yako, na ukiwa mdadisi ni hatari!!Nenda vyuo vikuu huko utakuta wakenya wengi ndio wanafundisha kiswahili, nyie leo ndio mnashituka!!!Uliposema inazidi nchi zote za Afrika ndipo nilipokuoba wakuja
Ww !!!Dr. Samia Suluhu ... Tanzania
NaaamWw !!!
Kwa hiyo baada ya kifo chake, mwili wake umegeuka kuwa ni mzoga tu kama mizoga mingine.Mbwembwe za binadamu tu. Uzikwe na dunia nzima au na mtu mmoja wewe uliyekufa haikusaidii cho chote.
Yote ni ubatili!
Haishi Paris kwa wahuni. Huyo anaishi hotelini GenevaHuyo Paul Biya bado anaishi Paris tu hadi leo?
Wewe mwenye jema tueleze unataka nini.Ki vp?
Maana angealikwa mngemsiliba pia
Wabongo hamna jema,hamjuwi mnataka nini
Ova
Huyo 13 ndo alitakiwa kuwekwa namba 1 sasa kama hamjui!12 . Katibu Mkuu wa UN
13. Benjamin Natanyau
Viongozi wa Afrika ni kama wanajipendekeza! Maana hata hao wazungu wenye msiba wao viongozi wao ni wachache.1. Joe Biden - Rais wa Marekani,
2. Emmanuel Macron - Rais wa Ufaransa,
3. Dr William Ruto (PhD) - Rais wa Kenya,
4. Paul Kagame - Rais wa Rwanda,
5. Olaf Scholf - Chansela wa Ujerumani,
6. Paul Biya - Rais wa Cameroon,
7. Patrice Talon - Rais wa Benin,
8. Mohamed Bazoum - Rais wa Niger,
9. Muhammadu Buhari - Rais wa Nigeria,
10. Lazarus Chakwera - Rais wa Malawi,
11. Fillipe Nyusi - Rais wa Msumbiji,
Magufuli ndio dikteta uchwara, Mungu amlaani huko alipo kuzimu.Hangaya hajaalikwa kwa vile ni dikteta
Ukiongea na watu wa Cameroon, kitu wanachokionea aibu sana ni kutawaliwa na Paul Bia miaka yote hii (takriban 40). Ni aibu sana kwa nchi maarufu kama Cameroon kutokuwa na uongozi wa kidemokrasiaHuyo Paul Biya bado anaishi Paris tu hadi leo?