Viongozi Mashuhuri watakaomzika Queen Elizabeth II

SSH ni mwanamke na muslim,sidhani kama atahudhuria mazishi!
Huenda akatuma mwakilishi,probably Mzee Kikwete! Au Rais wa SMZ.
Anyway ni mawazo yangu.
Kuhudhuria mazishi ya viongozi kama hao nijuavyo huwa haihusishi kwenda makaburini kuzika , sidhani kama kuna shida yoyote katika imani ya Mheshimiwa SSH kuhudhuria hafla hiyo.
 
Kenya na Rwanda kuna saa wanajiona washakuwa wazungu...

Hizi nchi mbili na wananchi wao wamekuwa na dharau sana miaka ya hivi karibuni.. Ndo wanasababisha EAC inakuwa na mambo ya ajabu ajabu.
We umeona na umesema kweli kabisaa
 
Kuhudhuria mazishi ya viongozi kama hao nijuavyo huwa haihusishi kwenda makaburini kuzika , sidhani kama kuna shida yoyote katika imani ya Mheshimiwa SSH kuhudhuria hafla hiyo.
Mwigulu Nchemba ndiye atamuwakilisha baada ya kupata "umaarufu mkubwa" kwa jinsi alivyo komaa katika kuwakamua Raia bila aibu wala huruma
 
Hii haisaidii chochote kama kaenda Jehanamu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…