Viongozi mtatuua kwa sonona

Viongozi mtatuua kwa sonona

Huo Mchele wa 2800,si kama chenga za kupikia vitumbua.Wakuu Hali ni Tete alafu Wanasiasa wanawaza uchaguzi 2025 badala ya kutatua matatizo ya wananchi,nyiee!
Hali ni mbaya nafahamu,

But mchele wa 2800tsh upo na ni mzuri tuu.
Labda ni kwa maeneo nilipo mimi.
 
Endelea kulalamika,sera ya Kilimo ni biashara hakuna kufunga mipaka
Tanzania imefikia lini level ya Kilimo Biashara?icho Kilimo cha pinda mgongo kitatupeleka wapi!
Punguza uchawa,ata Marekani Wanalima ila wanazalisha chakula cha kutosha,ziada ndiyo inauzwa.Sasa Mkulima analima heka moja anavuna junia 3 na kuuzia walanguzi wa Kariakoo,Tandale na Temeke, ndiyo Kilimo Biashara [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Haya, nenda kaandamane serikali ifunge mipaka wakulima wakuuzie Bei ya kutupa
 
Kama unaona maharagwe ni ghali si ununue nyama maana bei ya nyama haijapanda kwa asilimia kubwa kama bei ya maharagwe.

Mfano Kitimoto hapa nilipo kilo ni elfu nane na imekua hivyo kwa miaka karibu mitano sasa
🤣🤣🤣🤣 Kiti moto kilo 8000 maana yake nusu ni 4000 ambayo ndiyo bei ya maharagwe kilo.
 
Maharagwe kilo 4000 + mchele 3500 = jumla 7500Tsh

Hao mnaowasifu wawekezaji wanatulipa 10,000/= per day.

✍️10,000 - 7500 = 2500 🤔

🤔Bado sijanunua mkaa wa kupikia?
🤔Bado viungo?
🤔Bado sijanunua mafuta ya kula?

Nyie mnakula Swala, Pundamilia, Mbuni Tembo......sisi kila siku tunakula maharagwe chukuchuku.

Dar kama segerea tu.
Kiongozi wa Russia huyo Mshenzi Putin ndiyo kaleta mdororo wa kiuchumi kwa kuivamia kivita nchi huru ya Ukraine, hicho ni kilio cha dunia nzima kwa sasa siyo Tz pekee.
 
😀😀😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣Daaah bora tufurahi tu mkuu maana ukijaribu kuongea unaambiwa unafatilia yasiyokuhusu, mwisho unapotea kama wachawi
Anza kuweka ghala la vyakula ndani?
Msimu wa njaa kali unakaribia mkuu?
 
Back
Top Bottom