Ryan Holiday
JF-Expert Member
- Jul 25, 2018
- 2,026
- 4,450
- Thread starter
- #101
Vp kuhusu swala la Ardhi.Masharti ni uwe mtanzania🤣🤣🤣 mkazi wa halmashauri husika🤣🤣🤣🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vp kuhusu swala la Ardhi.Masharti ni uwe mtanzania🤣🤣🤣 mkazi wa halmashauri husika🤣🤣🤣🤣
Hali ni mbaya nafahamu,Huo Mchele wa 2800,si kama chenga za kupikia vitumbua.Wakuu Hali ni Tete alafu Wanasiasa wanawaza uchaguzi 2025 badala ya kutatua matatizo ya wananchi,nyiee!
Sijauliza, nimesema vinalimwa,wanaolima wanaitwa wakulima,ni watu na hutumia fedha na nguvu kulima,kilimo kinawaendeshea maishaAu mazao yanafugwa?
Mbona unauliza majibu.
Ardhi ? Ardhi unakodi tu, hekari moja ni 30kVp kuhusu swala la Ardhi.
Tanzania imefikia lini level ya Kilimo Biashara?icho Kilimo cha pinda mgongo kitatupeleka wapi!Endelea kulalamika,sera ya Kilimo ni biashara hakuna kufunga mipaka
Na sisi wa mjini tunafanyaje sasa?Sijauliza, nimesema vinalimwa,wanaolima wanaitwa wakulima,ni watu na hutumia fedha na nguvu kulima,kilimo kinawaendeshea maisha
😀😀😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣Daaah bora tufurahi tu mkuu maana ukijaribu kuongea unaambiwa unafatilia yasiyokuhusu, mwisho unapotea kama wachawiIpo siku kita happen pale ikulu.
Simba 🦁🦁akikosa chakula kifwatacho ni ITV.
Lakini mihogo ni zao la msimu Pal'.Ardhi ? Ardhi unakodi tu, hekari moja ni 30k
Haya, nenda kaandamane serikali ifunge mipaka wakulima wakuuzie Bei ya kutupaTanzania imefikia lini level ya Kilimo Biashara?icho Kilimo cha pinda mgongo kitatupeleka wapi!
Punguza uchawa,ata Marekani Wanalima ila wanazalisha chakula cha kutosha,ziada ndiyo inauzwa.Sasa Mkulima analima heka moja anavuna junia 3 na kuuzia walanguzi wa Kariakoo,Tandale na Temeke, ndiyo Kilimo Biashara [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nunueni hata Bei zikipanda vipi Kama wao wakulima wanavyonunua elimu na huduma za afya,simu,mavazi kwa Bei juu na hawalalamikiNa sisi wa mjini tunafanyaje sasa?
🤣🤣🤣🤣 Kiti moto kilo 8000 maana yake nusu ni 4000 ambayo ndiyo bei ya maharagwe kilo.Kama unaona maharagwe ni ghali si ununue nyama maana bei ya nyama haijapanda kwa asilimia kubwa kama bei ya maharagwe.
Mfano Kitimoto hapa nilipo kilo ni elfu nane na imekua hivyo kwa miaka karibu mitano sasa
Kiongozi wa Russia huyo Mshenzi Putin ndiyo kaleta mdororo wa kiuchumi kwa kuivamia kivita nchi huru ya Ukraine, hicho ni kilio cha dunia nzima kwa sasa siyo Tz pekee.Maharagwe kilo 4000 + mchele 3500 = jumla 7500Tsh
Hao mnaowasifu wawekezaji wanatulipa 10,000/= per day.
✍️10,000 - 7500 = 2500 🤔
🤔Bado sijanunua mkaa wa kupikia?
🤔Bado viungo?
🤔Bado sijanunua mafuta ya kula?
Nyie mnakula Swala, Pundamilia, Mbuni Tembo......sisi kila siku tunakula maharagwe chukuchuku.
Dar kama segerea tu.
Kila zao ni la msimu mkuuLakini mihogo ni zao la msimu Pal'.
Unajua bei ya dagaa joh?ni mwendo wa ugali na dagaa 2 no option
Mwezi huu wa 3 mbona watu wanavuna, Bei zinashuka tenaHuu mwaka kutakuwa na njaa ya hatari.
Anza kuweka ghala la vyakula ndani?😀😀😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣Daaah bora tufurahi tu mkuu maana ukijaribu kuongea unaambiwa unafatilia yasiyokuhusu, mwisho unapotea kama wachawi
Mh 😳😳Kwani ajaenda Mombasa kupumzika!