Viongozi mtatuua kwa sonona

Unadharau kilimo, halafu wa Kwanza kulilia mchele uuziwe buku kilo.
 
Sasa utachukua hatua gani,umelalamika yes,Sasa inatosha?Kwanza hata hawajakusikia.Tabuuuu...!
 
Tukitumia mkaa kupikia mara moja tunaambiwa ni sawa na tumevuta fegi 300. Vile vile tunachafua mazingira (Carbon)
Na tunaambiwa tukipikia mkaa mara moja ni sawa na tumevuta sigara 300. Vilevile tunaambiwa tunachafua mazingira hivyo tutumie gesi
 
Ni mwendo wa kuhamisha pesa ya mshahara kupeleka kwenye kula na bado hautoshi halafu wajinga wanasema mwingi unachezwa
 
Ask Somali
 
Ona jinga hili. Kwahiyo wewe kwa akili zako kila mtu anataka kutafuta shambani?!
 
Tukitumia mkaa kupikia mara moja tunaambiwa ni sawa na tumevuta fegi 300. Vile vile tunachafua mazingira (Carbon)

Na tunaambiwa tukipikia mkaa mara moja ni sawa na tumevuta sigara 300. Vilevile tunaambiwa tunachafua mazingira hivyo tutumie gesi​
😔😔😔😔
Nchi nyingi za kusini mwa jangwa la Sahara matumizi ya nishati ya mkaa na kuni ni makubwa. Kutokana na kuwa ndiyo reliable source of energy for cooking purpose. Hii yote inasababishwa na hali duni ya maisha na vipato kwa wananchi wake. Ni vigumu kumeet standards za matumizi ya gesi ikiwa nishati ya bei rahisi na affordable inapatikana kwa urahisi.

That's it Pal'🙏.​
 
Kweli wenyewe wanakula Jodari pia kolekole na mahanjumati kibao !! Mungu wa mbinguni anawaona !!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…