Wananchi wako pande zote lakini CCM haitumii kama kigezo cha kulazimisha kupitisha hoja binafsi.
Kama Chadema mnavyolazimisha mawazo ya viongozi wenu kuwa mawazo ya wananchi.
Nyinyi hao wananchi wenu Chadema mnakutana nao katika vikao gani?
Kutwa kucha tunashinda na nyinyi huku mitandaoni.
Kama mikutano na vikao halali ya kisiasa imezuiwa kote nchini kwa sasa.
Je haya mnayoyatimiza kwa sasa yanatokana na ile Ilani yenu ya Uchaguzi 2020 au wananchi wa Maria Space na Club House?
Kwingineko huko mashinani ofisi zenu mmezitelekeza kama hii
[emoji116]
View attachment 2166099