Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
Mliambiwa msajili mkaleta usanii Sasa mmejipa kazi ya kutafuta machaka ya kujifichia.Uko sahihi mia kwa mia.
Yanga walishafanya na watafanya Kila liwezekanalo kuhakikisha hatufanyi vizuri,wameshaonesha kua wanachukia na kua na wivu na mafanikio yetu hivyo watahakiikisha hatufuzu wala kufika mbali.
Ile dhana ya kua Kwa mMkapa hatoki mtu inawauma sana,wamehakikisha tunapoteza.
Wanachokifanyaga ni kuwapokea wageni ambao wamekuja kucheza na sisis kisha kuwasaidia ili watushinde.
Viongozi tazameni tahadhari hii.
Simba hata ikiwasajili wachezaji wote wa yanga na yanga ikawatumia kikosi cha coast union,utashangaa Simba wanafungwa hata goli 3 na yanga.Mliambiwa msajili mkaleta usanii Sasa mmejipa kazi ya kutafuta machaka ya kujifichia.
Ni mwendawazimu pekee atakaye shangaa Simba ikitolewa kwakua mpira ni mchezo wa wazi.
Mnasema mmesajili vijana wakati dk 70 washakata upepo.
Mimi huwa simdharau mtu mwenye walau digrii moja. Kama huna digrii ndio nitakuweka kwenye mashakaMangungu for life
Mbona hamjiaimini,zile kauli za kujaza uwanja siku tatu hatuzisikii,ila mpaka sasa hatujasikia sold out,japo sasa hivi jezi mpya ya elfu thelathini inakupatia tickets na hapo jezi haina hata miezi miwili mshaishusha bei kutoka elefu 45 mpaka thelathini.Msiamini saaaana mipango yenu bila kuchukua tahadhari, hawa wenzetu sio watu kabisa, hawapendi mafanikio yetu, wanataka mwaka huu washiriki kivyao ndio maana wameuacha uwanja, hawakuacha hv hv kwa namna navyowajua, unaweza kuta waganga wao wako kwa waarabu wanafukiza.
Mkifanya Mąkosa ya kuamini kuwa kazi imeisha mmetuua wenzenu.
Yale ya Gwanengy Galaxy bado tunayakumbuka.
Watu wa kazi wahakikishe hakuna hujuma na ushindi unapatikana 100% hiyo kesho jioni
Yanga huwa inasajili pia, lakini miaka zaidi ya sita imekuwa haitumii mlango rasmi kwa timu kuingilia uwanjani. Unadhani ni bure hapo?Mliambiwa msajili mkaleta usanii Sasa mmejipa kazi ya kutafuta machaka ya kujifichia.
Ni mwendawazimu pekee atakaye shangaa Simba ikitolewa kwakua mpira ni mchezo wa wazi.
Mnasema mmesajili vijana wakati dk 70 washakata upepo.
Wacha ushamba wa imani potofu wewe, unaamini sana uchawi.Msiamini saaaana mipango yenu bila kuchukua tahadhari, hawa wenzetu sio watu kabisa, hawapendi mafanikio yetu, wanataka mwaka huu washiriki kivyao ndio maana wameuacha uwanja, hawakuacha hv hv kwa namna navyowajua, unaweza kuta waganga wao wako kwa waarabu wanafukiza.
Mkifanya Mąkosa ya kuamini kuwa kazi imeisha mmetuua wenzenu.
Yale ya Gwanengy Galaxy bado tunayakumbuka.
Watu wa kazi wahakikishe hakuna hujuma na ushindi unapatikana 100% hiyo kesho jioni
Kichwa kisicho na akili ni mzigo kwa shingo.Uko sahihi mia kwa mia.