Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
Msiamini saaaana mipango yenu bila kuchukua tahadhari, hawa wenzetu sio watu kabisa, hawapendi mafanikio yetu, wanataka mwaka huu washiriki kivyao ndio maana wameuacha uwanja, hawakuacha hv hv kwa namna navyowajua, unaweza kuta waganga wao wako kwa waarabu wanafukiza.
Mkifanya Mąkosa ya kuamini kuwa kazi imeisha mmetuua wenzenu.
Yale ya Gwanengy Galaxy bado tunayakumbuka.
Watu wa kazi wahakikishe hakuna hujuma na ushindi unapatikana 100% hiyo kesho jioni
Mkifanya Mąkosa ya kuamini kuwa kazi imeisha mmetuua wenzenu.
Yale ya Gwanengy Galaxy bado tunayakumbuka.
Watu wa kazi wahakikishe hakuna hujuma na ushindi unapatikana 100% hiyo kesho jioni